Shule za sekondari kuliko awamu zote changanya na mkoloni.
Idadi kubwa ya wanafunzi waliofeli na waliopata ZERO kuliko awamu zoooote changanya na Mkoloni.
Intake ya vyuo vikuu, kuliko awamu zote changanya na Mkoloni.
Idadi kubwa ya MIGOMO haswa U-DOM aliyoibuni kutokana kutotimizwa Matakwa yao changanya na Mkoloni.
Barabara za lami kuliko awamu zote changanya na mkoloni.
Idadi kubwa ya AJALI za Barabarani zaidi kutokana na ufinyu wa barabara hizo changanya na Mkoloni.
Kushuka utegemezi wa nchi za nje, kuliko awamu zote changanya na mkoloni.
DENI la taifa limezidi kukua kiasi cha Bajeti yetu ya Mwaka 2011-2012 kulipa madeni hayo changanya na Mkoloni.
Zanahanati, kuliko awamu zooote changanya na mkoloni.
MADAWA kukosekana katika Zahanati hizo kupelekea wakina mama kujifungulia Majumbani changanya na Mkoloni.
Ubora wa vifaa vya mahospitali, kuliko awamu zooote, changanya na mkoloni.
Ongezeko kubwa la Wananchi pamoja na viongozi karibu wooote wa Gambaz kwenda kwa BABU WA LOLIONDO kunywa kikombe baada ya kugundua Hospitali nyingi ni majengo na gharama kuuubwa ukilinganisha na kwa Babu Shs.500 tu changanya na MkoloniMagonjwa sugu yanayo pimika na kutibiwa nchini, kuliko awamu zooote changanya na mkoloni.
Ongezeko kubwa la Wananchi pamoja na viongozi karibu wooote wa Gambaz kwenda kwa BABU WA LOLIONDO kunywa kikombe baada ya kugundua Hospitali nyingi ni majengo na gharama kuuubwa ukilinganisha na kwa Babu Shs.500 tu changanya na Mkoloni
Kufunguwa midomo upinzani (demokrasia), kuliko awamu zoooote changanya na mkoloni.
Idadi kuuubwa ya Maandamano ya kudai haki mbalimbali sio kwa vyama vya siasa tu,bali hata Wanavyuo,Wanafunzi wa Sekondari,Wanafunzi wa Shule za msingi kudai Matuta,Mikopo nk.kuliko awamu zoooote changanya na mkoloni.
Unalo?
Ongezea nitakujibu... Hayo ni ya taifa bado yake ya Binafsi...