Miezi sita ya Godbless Lema Bungeni

Sasa hiyo machinga complex imeshajengwa? Mimi nataka achievement au progess
mbunge hakusema atajenga yeye machinga complex na wala hana uwezo wa kujenga bali amesema ataibua hoja ya ujenzi wa machinga complex na kuzisimamia bungeni na kuhakikisha zinapita. sasa ndo kwanza kikao cha bajeti kimeanza vuta subira utasikia tu. una lingine?
 
WEWEW NI GAMBA KWANI AHADI ZA LEMA NI ZA KWAKE AU ZA CHAMA NA KAMA KUNA ZAKE NA ZA CHAMA UMEMUULIZA SLAA AMETEKELEZA KIASI GANI AHADI ZA CHAMA KWA MKOA WA ARUSHA??

CCM NA JK NI KITU KIMOJA HATA KAMA ATAKUJA MWINGINE BADO ILANI ATAKAYOISIMAMIA NI YA CCM SO KAMA MKAPA ALISHINDWA KIKWETE NAE KASHINDWA MARA MILIONI ATAKAYEKUJA BAADA YAKE ATASHINDWA MARA TRILIONI NA WEWE PIA UMESHINDWA MARA TRILIONI DOLA

batilda buriani wewe;;
 
Hivi ni lini tutaacha jokes kwa mambo ya maana? siasa za ccm zmetawala kila mahali, jamaa yetu hana mzaha kuleta thread hii. Acheni kutoa mambo ya utani. Tuangalie ni mambo gani waawakirishi wetu bungeni walituahidi kutekeleza, ni mangapi wameshaanza kutekeleza, na si kwa Lema tu bali kwa Wabunge wote! kuna mbunge wa jimbo langu nalotoka, alichaguliwa na wananchi wakiwemo na wazazi wangu, kwa sababu ya uelewa mdogo wa raia wa kule, yani mshikaji hana hata mpango wa kutembelea yale maeneo, na amepita karibu awamu tatu lakini hakuna chochote amefanya badala yake yeye ni wa kupandishwa vyeo na kikwete! Aise wanajuana hawaa! Mara zote nimekuwa nikipishana nae pindi anapokuja kuwadanganya raia ili wampe kura tena coz nakuwa npo masomoni, sasa kipindi kijacho 2015, patachimbika, yani nina usongo nae, atanikuta huko! Afu aniambie anataka arudi mjengoni kufanya nini tena kama kwa miaka 15 hajafanya chochote! Kuhusu Lema, huyu mshikaji naomba tumwache kabisa badala yake ni kumpa pongezi kubwa mpaka hapo alipofikia, kumbukeni, sasa hivi wanajaribu kwanza kufukia mashimo yaliyochimbwa na uongozi mbovu ulokuwa ukitawala ktk majimbo hayo, CCM ilipotawala imeacha makovu ya vidonda ndugu ambayo huchukua muda na dawa makini kufuta makovu hayo! Si kwa Arsh tu bali hata sehemu nyingine ambazo CHADEMA wamechukua utawala bado ahadi hazijatekelezwa kikamilifu, bado ni mapema sana, ni bajeti ya kwanza kusomwa tangu CHADEMA iingize makamanda wapya! Afu tukumbuke kua CHADEMA pamoja na wabunge na makamanda wengine wandamizi wapo pale kwa ajili ya kupigania maslahi na haki ya wanatanzania wote na si kwa ajili ya majimbo tu!
Naomba kutoa hoja!
 
basi we baki na hizo akili zako za kizamani, serikali ni ccm sasa unataka walete maendeleo kwa mbunge wa upinzani? hii ni siasa bibie sio sindimba. Nyie mtarudi CCM 2015 lasivyo mtakiona cha moto.

Omr, uzoefu unaonesha kuwa serikali ikiwabagua wabunge au Madiwani wa upinzani inawaongezea kura ktk jimbo au kata husika. Uchaguzi unaofuata mbunge aliyebaguliwa anapata halmashauri yote. Na Diwani akibaguliwa na serikali kuu anapata wenyeviti wa serikali na vitongoji. Kumbuka mfano moja tu wa karatu - walipombana Dr Slaa. Subiri 2015 maeneo ambayo Chadema ina wabunge na madiwani halafu serikali ikawakwamisha - Tutawashtaki kwa wananchi na tutashinda kwa kishindo zaidi. Kinondoni tunakusanya rekodi zetu.
 
Unajua nyie mnaleta jokes hapa. Mkapa amesha staaf na sasa anakula maisha yake mazuuuuuuuuuuuuuuuuri kila siku yuko US,UK,LUSHOTO na etc. Kikwete 2015 haombi kura kama Lema atakuwa zake pale Chalinze mzee anapumzika kwenye kasri lake ulilolichangia wewe kulijenga wakati nyumba unayo ishi haina hata umeme. The issue hizi kwa yake aliyo ahidi Lema je kuna indication gani za ku take off hata kwa logistics tu? Kumbuka hayo ndio tutamuuliza 2015. To build two machinga complex is not a joke, there are lot to be involved in terms of logistics before even sourcing funds.

kalale kule unataka kumfunza nani utapeli hapa mnaanza dirty campaign sasa eeeh mtaathirika I am telling hamtafika mwisho
 
Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi na wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.

ha ha ha ha ha.............Wewe kweli not enough unaongea uharo mpaka aibu....naomba nikuulize haya..
1.Una miaka mingapi? maana naona kama akili zako za kitoto...
2.Una elimu gani? maana inaonekana kama unamzaha mzaha sana...
3.Una undugu na Mzee Makamba wa CCM ...maana naona kama akili zenu zinafanana......
 
Mi navyojua Rais tumuache tu maana ni full sanaa na ndo maana tyunataka mabadiliko, sasa tubataka kujua kutoka kwa kijana anayehamasisha mabadiliko
 
Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi na wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.

amekuhenyesha kwenye uchaguzi mpaka umeamua kumpa shikamoo leo!!!!! mbona alivyotangazwa hukwenda kumpa mkono siku ileile?? pole lakini, ila nakushauri uanze kuwasaidia machalii wa arusha na ikiwezekana tekeleza ahadi ulizowapa hata km kura hazikutosha kukufikisha mjengoni, fikiiria zaidi 2015
 
Pukudu thanks very much hili hata mimi nimeliona ila nataka yale ambayo yana impact kwa jamii nzima. Nina uhakika watu wenye shida ya ada ni zaidi ya mia nne hapa Arusha. So tuhesabu vile vitu vyenye impact kwa jamii nzima na siyo society yenye access na yeye.

Mi naishi Njiro(Korona) aliwahi kutoa ahadi yeye na diwani wa huku kwamba wakipata tu madaraka, suala la barabara za manispaa na za kikata litafanyiwa kazi. Inshallah naona barabara ya Msolla ilichimbwa wakati wa Masika (yalipokaribia) na si haba japo imeanza kuharibika tena sasa!

Kama una check-list usemayo, nibora basi uiweke kwa hadhara ili watu wafannye tathmini ya utekelezaji wake/wao kwa ujumla!
 
Mimi nakushauri NE kuwa hebu viweke hivyo vipaumbele alivyoahidi huyo Mbunge wenu na Timeline aliyotoa ili vijadiliwe kimoja kwa kimoja na kuvitolea tamko.

Sasa Tamko hilo litamsaidia Mbunge huyo kulifanyia kazi kwani atajuwa wananchi wanakumbuka kila ahadi uliyotoa na kujua kama hata tekeleza basi utakuwa mwisho kwake kugombea tena 2015.

Viweke hadhwarani tuvijadili
 
Ameanza na uchumi anagawa pesa kwa wapiganaji wa UDOM za kununua bangi na gongo ili waandamane. Msiwe na haraka kuna mengi mazuri yatafuata baadaye.
Hizo sasa kashfa, mkuu matumiz ya lugha pls!
 
AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...
  1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
  2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
  3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
  4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
  5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
  6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
  7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
  8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
  9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
  10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
  11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
  12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
  13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
  14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
  15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
  16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
  17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
  18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
  19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
  20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
  21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
  22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
  23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
  24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
  25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
  26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
  27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
  28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
  29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
  30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
  31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
  32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
  33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
  34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
  35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
  36. Kulinda haki za walemavu - Makete
  37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
  38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
  39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
  40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
  41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
  42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
  43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
  44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
  45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
  46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
  47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
  48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
  49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
  50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
  51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
  52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
  53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
  54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
  55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
  56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
  57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
  58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
  59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
  60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
  61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
  62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
  63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
  64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
  65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
  66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
  67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
  68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
  69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha

---2005 Alikuja na Maisha bora kwa kila Mtanzania,hili halina ubishi lilikuwa ni changa la macho kwa Watanzania,Kama haitoshi akasema anawajua kwa majina wala rushwa,lakini hatuoni hata mmoja aliyemchukulia hatua===hii ni kutaka sifa na popularity.

---Juzi amekuja na mpya ya kumpatia kila mwanafunzi Computer ambayo iko connected kwa internet, it's high time now kwa watanzania kuhoji uwezo wa RAIS wetu,ni kwamba anafanya Wa Tanzania ni wapumbavu sana kiasi kwamba hawawezi ku reason kuwa hilo sual haliwezekani???

Hata kwa wanafunzi tu wa vyuo vikuu hilo suala halitekelezeki leo anatuambia ataanza na shule za msingi,umeme ni tatizo..hivi jk anajua kuwa its only 10% ya wa Tanzania wana access na umeme na 0.05% ya watanzania ndo wanaweza kutuima computer na wana access na internet,hata kwa nchi ambazo zimeendelea kuzidi sisi hilo suala halipo,,yeye anataka kuhadaa Wa Tanzania aili aendelee kubaki madarakani!!!!!me nadhani pia JK na uwezo mdogo sana wa ku reason ndo maana hata hafikirii kuwa suala kama hilo watu wenye akili timamu hawawezi kusadiki,inahitaji mtu mwenye akili za mwenda wazimu kuamini ahadi kama hizo.

----WITO WANGU
Nawaomba wana JF wooote..mu influence watu wenu wa karibu wasimchague JK na CCM yake,watatoa ahadi nyingi sana,watasema watajenga fly over,watasema watajenga majumba angani--->tuwapuuuze na ahadi zao hizo...tuwaulize kati ya zile walizoahidi 2005 ni ngapi wametekeleza mpaka tuwape ajira nyingine kwa miaka mitano!!!!!!

Watakuja na gia ya kuwa wamejenga DOdoma University,tuwapuuze pia kwa sababbu kwanza ulikuwa ni ukumbi wa bunge wa zamani (chimwaga),halafu huo ni wajibu wake...tuipuuzie kete ya kipuuzi kama hii.
SAY NO TO CCM-----SAY NO TO JK-----WANYIMENI KURA

vipi hapo juu magamba yamefikia wapi?
 
do u teach u r husband how to sex or u give him sex??

batilda burian wewe''

kuna thread moja kule jukwa la chini huyu dada aliweka wazi juu ya kutoa ule mtandao wa 0715..........nadhani ana matatizo...hata ukimuliza hiyo checklist yake iko wapi hana na wala hawezi kuiweka hapa........
 
Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi na wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.
Mkuu jamaa amekwisha fanya makubwa ktk jimbo lake nadhan kuliko mbunge yoyote ktk bunge hili la 10. Kwa kupitia ArDF (Arusha Development Fund) Mh. Godbless Lema ameweza kupeleka watoto wapatao 400 shule, hii ni pamoja na kuwalipia gharama za ada, matibabu na mahitaji mengine muhimu. Pia ameahidi kukabidhi shule ya sekondali ifikapo mwezi december kwa ajiri ya kutatua tatizo la watoto wa masikini na yatima kukosa masomo. Mh. Godbless Lema yupo makini sana, usimpime kwa macho, mfatilie vizuri..
 
Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi na wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.
Mkuu jamaa amekwisha fanya makubwa ktk jimbo lake nadhan kuliko mbunge yoyote ktk bunge hili la 10. Kwa kupitia ArDF (Arusha Development Fund) Mh. Godbless Lema ameweza kupeleka watoto wapatao 400 shule, hii ni pamoja na kuwalipia gharama za ada, matibabu na mahitaji mengine muhimu. Pia ameahidi kukabidhi shule ya sekondali ifikapo mwezi december kwa ajiri ya kutatua tatizo la watoto wa masikini na yatima kukosa masomo. Mh. Godbless Lema yupo makini sana, usimpime kwa macho, mfatilie vizuri.. CHADEMA WAKO VIZURI SANA!
 
kuna thread moja kule jukwa la chini huyu dada aliweka wazi juu ya kutoa ule mtandao wa 0715..........nadhani ana matatizo...hata ukimuliza hiyo checklist yake iko wapi hana na wala hawezi kuiweka hapa........
 
ha ha ha ha ha.............Wewe kweli not enough unaongea uharo mpaka aibu....naomba nikuulize haya..
1.Una miaka mingapi? maana naona kama akili zako za kitoto...
2.Una elimu gani? maana inaonekana kama unamzaha mzaha sana...
3.Una undugu na Mzee Makamba wa CCM ...maana naona kama akili zenu zinafanana......

1. Nina miaka 24
2. Elimu yangu form four ila pia nina cheti certificate ya business administration
3. Sina uhusiano na Makamba
 
Back
Top Bottom