Miezi sita ya Godbless Lema Bungeni

Miezi sita ya Godbless Lema Bungeni

Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi na wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.
  1. Kumuangusha Matilda "Buriani"
  2. Kushinda Uchaguzi wa Arusha Mjini
  3. Kuchapa makonde askari mabwege
  4. Kuamsha varangati kwenye vikao vya madiwani
  5. kusimamia maandamamo nchi nzima
  6. kusapoti CDM majimbo mengine
  7. kusapoti n akutete vurugu UDOM
  8. Kumuumbua PM live bungeni
Una hoja nyingine??
 
Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi na wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.
Hudhuria vikao vyake vya hadhara utapata majibu yote. Wananchi wa kila kata wana list yao!!!
 
Ni angalizo zuri, pana, lenye sura ya uwajibikaji kwa walee wateule wetu. Check list hawakosi kuwa nazo, je kasi ya utendaji wao jimboni ukoje?
Nakuunga mkono NE, leo umeweka kitu adimu hapa jamvini tofauti na nilivyozoea kusoma threads zako.

Asante Yousuph, si ndo maana kuna majukwaa tofauti? Hivyo tunacheza miguu yote
 
Kweli tuache utani, maana nakumbuka vizuri sana ahadi za mheshimiwa Lema na miezi inakatika. Atuambie way forward na ile mipango yake imefikia wapi
 
nashukuru kama unaweza jibu kwa niaba yake. hebu basi tuwekee achievements ili nasi yufanye evaluation ya time against perfomance. Asante sana mwanaharakati
hebu tukuze fikra zetu kidogo, unataka achievements juu ya nini? umesema checklist ya ahadi za mhe mbunge unazo ziweke hapa jamvini tuanze kukujibu au unataka nikujibu usichokijua. kama hautoweka hiyo checklist hapa hautapata jibu ama utajibiwa mchakato unaendelea kama ulivyozea.
 
Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi na wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.

hata hayo mapambano anayokimbizina nayo yana impact kubwa sana, ni mbunge wa tanzania akitokea arusha, yeye tu pekee ni wabunge 50 wa magamba. watu wengi asaivi wanaelewa uonevu wa serikali dhidi yao kwa sababu yake na wenzake wa CDM, hilo pia hulioni? ukimaliza na hiyo checklist naomba uanzishe thread nyingine itakayouliza checklist ya wabunge wa magamba km sophia simba, januari makamba, nk.
 
Hudhuria vikao vyake vya hadhara utapata majibu yote. Wananchi wa kila kata wana list yao!!!

Maendeleo ni kitu visible kama yapo yatakiwa tu yaonekana wala siyo lazima uende kwenye vikao. Mbona tunajuwa maendeleo ya baadhai ya states zilizo US ikiwa wala wengine hatujawahi kufika huko
 
Kweli tuache utani, maana nakumbuka vizuri sana ahadi za mheshimiwa Lema na miezi inakatika. Atuambie way forward na ile mipango yake imefikia wapi

kweli kabisa, ila naomba tuanze na raisi wetu, maana ahadi zake kwakweli ni nyingi mno.
 
pia taratibu nyingine na programme za maendeleo ya jimbo yanatekelezwa na madiwani, hebu tumualike Nanyaro amwage data. Suala la kitaifa ingekuwa ametoa utetezi wake ktk ile issue ya waziri mkuu na hatua zikachukuliwa ingekuwa ni corner stone ya uwajibikaji na kuwa serious and perfect kwa mtu yeyote wakati anaongea bungeni na ingekuwa step ahead for development of democracy
 
Ndugu hakuna utani hapa, kama huna comment hamia jukwaa la jokes.

Mbunge wako hakutoa ahadi ya kujenga machinga complez mbili? au na wewe uliyeanzisha mada hujui hata ahadi moja ya Mbunge wako?
 
Maendeleo ni kitu visible kama yapo yatakiwa tu yaonekana wala siyo lazima uende kwenye vikao. Mbona tunajuwa maendeleo ya baadhai ya states zilizo US ikiwa wala wengine hatujawahi kufika huko

upo arusha? km upo arusha utayaona, km haupo arusha bora mpigie nduguyo aishie huko na umuulize atakwambia na anaweza akakupa hiyo cheklist, asaiv mh. lema hataweza kukujibu coz yupo bungeni anashirikiana na wapambanaji wengine kuhimiza bunge kufuta matumizi yasiokuwa ya lazima ili keki ya nchi hii itumike ipasavyo kwa walalahoi.
 
ANZA NA JK NA AHADI ZAKE ZA MAKA MITANO YA AWALI HALAFU UJE AHADI ZAKE ZA MIAKA MITANO YA SASA UKIMALIZA URUDI KWA MKAPA NA AHADI NA UTEKELEZAJI WAKE THEN NDIO UJE KWA CHADEMA MIND U CDM HAWANA SERIKALI

gamba wewe umetumwa eeeehh;;;;
 
Pukudu thanks very much hili hata mimi nimeliona ila nataka yale ambayo yana impact kwa jamii nzima. Nina uhakika watu wenye shida ya ada ni zaidi ya mia nne hapa Arusha. So tuhesabu vile vitu vyenye impact kwa jamii nzima na siyo society yenye access na yeye.

Mkuu watoto 400 kupewa msaada wa ada ya masomo ina impact kubwa mno kwa jamii nzima. Hao watoto 400 wana familia zao, hivyo wenyewe kupata fursa ya kusoma na kupata maarifa, ina maana hayo maarifa watakayopata yatawanufaisha pia watu kutoka kwenye familia zao!!

Mkuu it is a shame kama hujui umuhimu wa elimu katika jamii kwa ujumla!!!!
 
Mi nashangaa wewe ni kibibi lakini umemsalimia kijana mdogo, ivi akikuomba hutampa kweli?

Afu zile saa alizowekwa ndani, alizoshughulikia ishu za kitaifa,,utagundua miezi sita itakua haijafika.
 
ANZA NA JK NA AHADI ZAKE ZA MAKA MITANO YA AWALI HALAFU UJE AHADI ZAKE ZA MIAKA MITANO YA SASA UKIMALIZA URUDI KWA MKAPA NA AHADI NA UTEKELEZAJI WAKE THEN NDIO UJE KWA CHADEMA MIND U CDM HAWANA SERIKALI

gamba wewe umetumwa eeeehh;;;;

Unajua nyie mnaleta jokes hapa. Mkapa amesha staaf na sasa anakula maisha yake mazuuuuuuuuuuuuuuuuri kila siku yuko US,UK,LUSHOTO na etc. Kikwete 2015 haombi kura kama Lema atakuwa zake pale Chalinze mzee anapumzika kwenye kasri lake ulilolichangia wewe kulijenga wakati nyumba unayo ishi haina hata umeme. The issue hizi kwa yake aliyo ahidi Lema je kuna indication gani za ku take off hata kwa logistics tu? Kumbuka hayo ndio tutamuuliza 2015. To build two machinga complex is not a joke, there are lot to be involved in terms of logistics before even sourcing funds.
 
Ngoja kwanza Symbion warekebishe umeme. Mama Clinton alikuwepo kule jana. Mambo mengi yamesimama umeme hakuna
 
mkuu watoto 400 kupewa msaada wa ada ya masomo ina impact kubwa mno kwa jamii nzima. Hao watoto 400 wana familia zao, hivyo wenyewe kupata fursa ya kusoma na kupata maarifa, ina maana hayo maarifa watakayopata yatawanufaisha pia watu kutoka kwenye familia zao!!

Mkuu it is a shame kama hujui umuhimu wa elimu katika jamii kwa ujumla!!!!

dont give fish, teach how to do fishing.
 
Pukudu thanks very much hili hata mimi nimeliona ila nataka yale ambayo yana impact kwa jamii nzima. Nina uhakika watu wenye shida ya ada ni zaidi ya mia nne hapa Arusha. So tuhesabu vile vitu vyenye impact kwa jamii nzima na siyo society yenye access na yeye.

Nadhani kitendo cha bwana Lema kuweza kuhamasisha vijana sehemu mbali mbali za nchi ni impact kubwa sana. hakuna kitu kikubwa kama kuwaelimisha watu waliokoseshwa elimu na viongozi wabovu mpaka kufikia hatua ya kuelewa kwamba katiba iliyopo inahitaji mabadiliko.
jambo jingine ni mbunge yupi ndani ya miezi 6 ameweza kusaidia hata wanafunzi 10 tu wa jimbo lake. jibu ni moja tu kakuna kwasababu hawaishi na jamii yao wapo bongo wanakula bata.
 
Back
Top Bottom