Miezi sita ya Godbless Lema Bungeni

Miezi sita ya Godbless Lema Bungeni

Jamani siyo kila wakati ni JOKES hapa JF. Mimi nafurahishwa sana na jitihada ambazo Lema anazionyesha katika ku executute
ecute his position, nevertheless in 2015 we will not measure him for petty stuff which you are trying to present in this forum. Kuna mambo makubwa kama ya hiyo Secondary anayotegemea kuikabidhi Dec. Tuongelee hospitali kubwa 3 zenye hadhi ya Mt Meru, tuongelee, Machinga Complex 2, barabara, maji etc. Watoto mia 4 mimi nalikubali ila tusifikiri ni Lema peke yake ndo kalianzisha hili. Lowassa anasomesha watoto zaidi ya 1000 huko umasaini lakini sidhani kama Lowasa akija omba ubunge Arusha utampa kwasababu tu ana uwezo wa kusomesha watoto.
 
Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi a wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.
Jaman unajua Watu kama NE hua wanamalengo yao humu 1.kueneza itikadi ya chama chake.{ccm} 2.kuitetea serikali iyopo madarakani ili aendeshe maisha yake ya kila siku. 3.kuwa teyari kuwalisha jf memberz matango pori ili kumfuraisha bosi wake NePI.{NAPE}. Ushauri wangu kwako ni kukutaka uanze tumia Akili yako na si ya kuazima .note sio dhambi kutumia akili yako ipasavyo. Tafakari ..........chukua hatua.
 
Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi na wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.

Mhh nahisi kama hoja yako ina harufu ya uchama chama fulani hivi!! Kama kweli haina harufu ya uchama kwa nini umhoji Lema peke yake??? (Utasema kwa kuwa ni mbunge wako). Kama hivyo ndivyo katika hali ya vurugu iliyopo Arusha sasa katika baraza la madiwani unafikiri kuna nini cha maendeleo kinaamuliwa hapo??? (Kwa akili fupi za kichamchama ) wengine watasema kuwa yote yanasababishwa na Lema, (je vurugu za UV-CCM na katibu wa CCM Mkoa CHATANDA??). Kuifanya hoja yako iwe na mashiko basi tuwaulize wabunge wetu wote wa bunge la Jamhuri ya Muungano kuwa je baada ya hii miezi sita kupita ni yepi mlotufanyia wananchi wenu???.
 
CCM chama kizee mbona hakijafanya chochote.
Hebu tukumbushe tuliahidiwa BORA MAISHA YAENDE KWA MTANZANIA AU MAISHA BORA KWA MTANZANIA?
KWASABABU INAWEZEKANI HATUKUMUELEWA MKUU KWASABABU MAMBO IMEKUWA MBAYA BORA YA JUZI,

Mkapa alisema sera za CCM hazitekelezeki, no alisema hazetelezi nadhani.
Mkuu alienda mhali akawaahidi wanakijiji atawajengea wanja wa ndege, wananchi wenyewe hawana hata hela ya kununulia panadol wanataka wanja wa ndege wa nini?

Sasa wewe ulitegemea awafanyie nini wakati anatokea chama kitoto? hapo mlipoteza kura tu.
 
Jamani WADANGANYIKA sorry WATANGANYIKA. Hivi anayeleta maendeleo katika jimbo ni MBUNGE AU SERIKALI, Embu tukumbushane hapa, Mbunge atapata wapi pesa za kuleta maendeleo, kazi za mbuge nikupeleka hoja za wanachi bungeni pamoja na vipaumbele vya jimbo nakuwatetea wanajimbo wake. KISHA serkali kuu hutoa fungu kwaajili ya maendeleo ya jimbo.
kama tunapima ubora wa aliechagualiwa kwa kuangalia maendeleo ya eneo lake basi inabidi tuchague viongozi matajiri, Mengi. Manji, Mo N.k

HAYA NI MAONI YA
NGU
 
Kuna vitu viwili ndio ilikuwa kauli yake kubwa ya kuombea kura, Godbless Lema, kwenye kampeni alikuwa anawambia wananchi wa Arusha mjini, mkinichagua kitu cha kwanza nitajenga Machinga Complex mbili na Barabara za juu Flyover, sijui hiyo huwo ujenzi umeishaanza
 
Jaman unajua Watu kama NE hua wanamalengo yao humu 1.kueneza itikadi ya chama chake.{ccm} 2.kuitetea serikali iyopo madarakani ili aendeshe maisha yake ya kila siku. 3.kuwa teyari kuwalisha jf memberz matango pori ili kumfuraisha bosi wake NePI.{NAPE}. Ushauri wangu kwako ni kukutaka uanze tumia Akili yako na si ya kuazima .note sio dhambi kutumia akili yako ipasavyo. Tafakari ..........chukua hatua.

Hivi kweli umekosa kabisa la kuchangia? Mh
 
Achivement kubwa aliyoifanya Mh. Lema na kutuonesha umma wa watanzania kuwa tuna Waziri Mkuu anayesema UONGO bungeni.
 
NE, Nakupongeza kwa kuanza na hili la MP wetu hapa A-town, katika ku-evaluate miezi yake 6 toka awe Mbunge.Naamini kuna watu wa karibu na huyu jamaa watamkumbushe kuhusu ahadi zake, na tahadhari kubwa kwa Lema ni kwamba atumie sana busara katika harakati zake za kuleta maendeleo na kuondoa utawa dhalimu wa Manispaa ya Arusha, hii ikiwa na maana kwamba Lema ana nguvu ya umma nyuma yake lakini asitumie nafasi hii vibaya. Atashangaa kufumba na kufumbua miaka tano tayari na hana la kujitetea nalo. <br><br>Lema unanafasi nzuri ya kutekeleza mambo yote uliyoahidi, ila angalizo kubwa kwako ni kwamba usije ukabweteka na uungwaji mkono wa wananchi wa Arusha. Songa mbele tafuta njia nzuri ya kuwaunganisha wananchi wa Arusha, tatua tatizo la Manispaa ya Arusha kwa BUSARA zaidi kuliko maandamano na ushawishi ufanana na kuleta vurugu.
 
Aisee wewe naona umeelewa thread yangu vizuri. Kuna wapuuzi humu wanakurupuka tu nakuchangia.
 
Oh ok, do you think so?

You must be an obscure person living in different planet, if you don't know this simple FACT.

This makes me to question your inteligent capabability and probably you're not in a postion
to evaluate Hon. Lema.

BTW, go back to the drawing board and read JOB DESCRIPTIONS of MPs.
 
sisi tuliomchagua ndio tunajua alichofanya wewe nenda kwa buriani.
ulimchagua kikwete mpaka leo amekufanya nini?acha ujinga dogo sumu haijaribiwi kwa kuionja.
cheki list ya gamba je unayo?tunaomba uiweke hapa ili tujadili kwa pamoja.
 
1. Nina miaka 24
2. Elimu yangu form four ila pia nina cheti certificate ya business administration
3. Sina uhusiano na Makamba

unatakiwa uwe shule muda huu, wewe upo JF toka asubuhi. ha ha ha ha ha ha
 
basi we baki na hizo akili zako za kizamani, serikali ni ccm sasa unataka walete maendeleo kwa mbunge wa upinzani? hii ni siasa bibie sio sindimba. Nyie mtarudi CCM 2015 lasivyo mtakiona cha moto.

Wewe ni Mjinga na huna adabu na hujui maana ya siasa kabisa, Sasa hivi Lema hawatetei wanaCDM peke yake wa Arusha bali jimbo lote la Arusha na Serikali inalielewa hilo fika, na nilazima wakae na Mh Lema waongee mambo ya maendeleo kwa manufaa ya Wananchi wote. Kama umekosa cha kusema humu jamvini uwe una kaa kimya, Wenye Busara zao wakusemee!
 
Tusimwangalie Lema tu bali hata wabunge wengine vilevile
 
Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi na wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.
avatar33078_1.gif
 
Back
Top Bottom