Mo-TOWN
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,721
- 515
Jamani acheni jokes tujadili achievement hapa, na kama hakuna basi tuseme ili Mh Lema aamke kwani miaka mitano si mingi jamani
On a serious note try to be objective! Una checklist obvious utakuwa una-monitor progress against hiyo cheki list. Pia unaonekana una nia ya kufanya serious evaluation, sina uhakika sana una maana gani ya kuangalia impact in six month uenda unazungumzia outputs na outcomes etc, all in all ni vyema sana.
Nasuggest uwe objective kwa maana badala ya kuzunguka weka hiyo chekilist wazi tushirikishe kuwa situation kwa sasa iko hivi au vile kulingana na checklist then tutajua way forward nadhani itatusaidia sote. Vinginevyo kama Lema asipo-respond objective yako itakuwa imetimia?
Nakupongeza sana I wish tungekuwa na watu kama wewe some 15 years back labda leo tungekuwa tumeamka zaidi kwa maana ya kufuatilia maendeleo yetu.