Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,283
- 55,886
- Thread starter
- #81
Wanaothamini kidogo ni wachache sana,unashangaa leo unatoa laki,kesho anakuambia nimeona nguo nzuri,nataka kuenda saluni,hujakaa sawa anakuambia mzigo wake umekwama anaomba umpe laki 3,mpaka mtu unachanganikiwaKuna michepuko inajielewa balaa.
Yaani unakutana na mwanamke ana malengo makubwa makubwa na anayatimiza.
Anathamini hata kidogo unachompatia na hana time na ndoa yako.!