Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,198
Mi nazijua tarehe kuliko ata kalenda yenyewe nikila papuchi lazima niweke Record kama yangu kweli fresh nalea chalii tuwanajua kutime
Mi nazijua tarehe kuliko ata kalenda yenyewe nikila papuchi lazima niweke Record kama yangu kweli fresh nalea chalii tuwanajua kutime
Ni kweli mkuumke anakuombea baraka, matokeo yake inakuwa laana
Pole sana kwasababu umelitambua hilo anza upya utasimama tuNimejitafakari sana,nikaona ninafanya makosa makubwa sana
Mi nazijua tarehe kuliko ata kalenda yenyewe nikila papuchi lazima niweke Record kama yangu kweli fresh nalea chalii tu
Mtoto atalelewa na mama yakeSiku ya siku unampelekea mke mtoto wa nje au
Nimeangalia watoto wangu nikagundua nafanya kosa kubwa sanaYuko tayari kutibuwa kwa mke halali ili uwe naye yeye
kuna mmoja ni mwanachuo fulan,ana chura matata leo anataka umpe fedha ya matumizi ya mwezi mzima,hujakaa sawa anataka laptop,hujageuka unaambiwa wazazi wangu wanataka matumizi....maji yamenifika shingoni inabidi nikimbie tu.

Mbaya zaidi bado kuwaambia nimerudi njia kuu,ninachokifanya sasa hivi ni kupunguza mawasiliano na kupangua appointmentPole sana kwasababu umelitambua hilo anza upya utasimama tu
Ni bora umpeleke mtoto akiwa mkubwa angalau akiwa na miaka 5Siku ya siku unampelekea mke mtoto wa nje au
Wewe yaani upo katika ndoa unapeleka mtoto wa nje mmmmNi bora umpeleke mtoto akiwa mkubwa angalau akiwa na miaka 5
haya mambo wakati mwingine yanachekesha,ila ndio hivyo tunaumizwa.
Mbaya zaidi bado kuwaambia nimerudi njia kuu,ninachokifanya sasa hivi ni kupunguza mawasiliano na kupangua appointment

mazoea yanatabu sanaUnawapa vyakula vyakawaida halafu huko unatoa fungu dhambi hiyo hata kama hawakuoni,Nimeangalia watoto wangu nikagundua nafanya kosa kubwa sana
Ni hatari sana,mi nilikuwa naona kama ikitokea hivyo bora awe shule ya bweni lakini asipelekwe kwa bi mkubwa.Wewe yaani upo katika ndoa unapeleka mtoto wa nje mmmm
Acha wale hela zetu tunatafuta kwa ajiri yao na natoa hela roho nyeupe

huyu!Na wao hupenda kutambuliwa na utakuta akili zao wanazijua wenyeweMtoto atalelewa na mama yake
kuna mmoja ni mwanachuo fulan,ana chura matata leo anataka umpe fedha ya matumizi ya mwezi mzima,hujakaa sawa anataka laptop,hujageuka unaambiwa wazazi wangu wanataka matumizi....maji yamenifika shingoni inabidi nikimbie tu.
haya mambo wakati mwingine yanachekesha,ila ndio hivyo tunaumizwa.

Ni hatari sana,mi nilikuwa naona kama ikitokea hivyo bora awe shule ya bweni lakini asipelekwe kwa bi mkubwa.

baki njia kuuNajaribu kufikiria utaanzaje kuwaambiamazoea yanatabu sana