Kuja kushtuka miaka 60,ukiangalie mbele hapaonekani....Haa😀😁😂
Kwake unakuwa ni 'source of revenue'Acha wale hela zetu tunatafuta kwa ajiri yao na natoa hela roho nyeupe
Tupe ushuhuda mkuuMOJAWAPO ya thread ya akili Sana kutoka kwa mtoa mada.
Siku nyingine sjui simu unampaga mwanao au?
Kweli kabisa mkuuMida yote ni kupigwa mizinga tu;nikitafakari matumizi ya mwezi mmoja najikuta hakuna la maana nililofanya zaidi ya kukaa kati na kugaramia tu.Nikitazama mbele naona mwisho ni mbaya,kutimiza malengo binafsi inakuwa changamoto.....tuishi na michepuko kwa akili,ikiwezekana acha kabisa.