Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

sisty shemeji yako uporoto hausiki kabisa hapa. Haya mambo yatakuwa yanamlenga klorokwin na finest.

Nimekusoma sisy!ww ukimfagilia my shemu mie huku salut kwa kwenda mbele lol!big up my shem,sisty kakusafisha huku unastahili pongezi!
 
Nimeangalia kamusi yangu sijaona sehemu wanaelezea MIANAUME ni nini na sidhani kama hii ni sifa. Vivyo hivyo kumwambia mtu HOVYOO ni syo neno la staha hata kidogo. Ndio maana narudia kuwa huo ni upuuzi.

Ila mambo wanayofanya hao wakinababa/wanaume/vijana ni staha sio???? Kwa taarifa yako 90% wanaona ni sifa, 9% wanakwazika(wanawake wao ndio matatizo), 1% they are not perfect(nobody is perfect) lakini wana UTU.
Kwanza Bishanga ameandika machache sana kuna mengi zaidi ya hayo.......punguza hasira Tata labda ww uko ndani ya 1% kama sio 90%:laugh:
 
Nimeangalia kamusi yangu sijaona sehemu wanaelezea MIANAUME ni nini na sidhani kama hii ni sifa. Vivyo hivyo kumwambia mtu HOVYOO ni syo neno la staha hata kidogo. Ndio maana narudia kuwa huo ni upuuzi.

Wewe kweli ni tata. Unatoka povu kwanini sasa ukweli unauma eeh??
 
Haluuuuuu naona sina cha kupinga na so far sio wengi waliopinga.......ni ukweli kabisa wala hujakosea kabisa
 
kakwambia nani? mimi ndo mme mkamilika, sina doa hata moja! muulize memba flan humu mmu atakwambia.

Khaaa JF kuna mengi kumbe,kumbe mkuu wewe ni baba,sorry kama nitakuwa nimekosea ila hilo jina ndio limenichanganya.....
 
Love...am here...hujaniona jamani hata kabla hujatokezea?

"We do not describe the world we see.
We see the world we describe." (Descartes)

hahahaha..... So typical of you Sweetie... B' anadai bora tu ujumbe umefika....lolz (uzuri haupo kwenye kundi hilo)
 
Khaaa JF kuna mengi kumbe,kumbe mkuu wewe ni baba,sorry kama nitakuwa nimekosea ila hilo jina ndio limenichanganya.....
usijali,ninaitwa Bishanga Abashaija,male,adult,residing in Dar es salaam.
 
hahahaha..... So typical of you Sweetie... B' anadai bora tu ujumbe umefika....lolz (uzuri haupo kwenye kundi hilo)
umeamkaje Asha?
mbona umetutenga na uzi wako wa leo?ngoja nikachungulie lakini.
na hiyo bracket ndo nin umeficha hapo?
 
umeamkaje Asha?
mbona umetutenga na uzi wako wa leo?ngoja nikachungulie lakini.
na hiyo bracket ndo nin umeficha hapo?

B' basi ninakukaribisha bana... Uzi wenyewe wababa wameiniga wengi kuliko hata wadada...
alafu hapo kwenye mabano ITS ALL ABOUT FRICTION....
 
Khaaa huyu naeeee! Kusimanga wengine tu!!!!
kutwa kucha humu mmu mbona na sisi bize tunawasimanga kina mama?you think they enjoy it? tena sa ingine tunatoa hoja za kuwaonea tu,acha uzi huu ule kwetu.
 
Back
Top Bottom