Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

kakwambia nani? mimi ndo mme mkamilika, sina doa hata moja! muulize memba flan humu mmu atakwambia.
we ndo wale hata mahaba ya wali yakipewa mtu mwingine hapakaliki ndani mpaka hayo matatizo unayaona i wounder unakaaga wapi kuona hayo au wanawake ndo mashosti wanakuhadithia?

sorry...my bad....i just thought and ask!
 
Waambieee wanaume wenye tabiaa kama hizi waziache na siku zote mke wa kwanza ndio kichwaa cha familiaa kavumiliaa mengi na anaendeleaa kuvumiliaa kwa bibi mdogo mnapendewaa pesaa tu ndio maana hata hua hamdumuu lol
Wapendeni wake zenu msiwazoee kama dekio likiisha unalitupa !!!!!!!!
 
Hebu fikiria:

1.Uko ndani ya ndoa,mwaka wa kumi sasa na hamjapata mtoto,mkeo hospitali zote kamaliza na anaambiwa hana tatizo,kila akikwambia na wewe ukapimwe hutaki unajidai huna tatizo,ndo nini sasa hiyo? Kwa nini usipimwe mkajaribu IVF?

2.Ukienda Rose Garden we ndo Reginald Mengi kazi kuzungusha raundi huku ukijidai kusema...'uza nyumba utunze heshima bar'....asubuhi mwanao akikwambia 'baba shati la shule limechanika'..unakuwa mkaaaaaali,hovyooooo!

3.Umetoka zako kwenye mipombe,ni saa saba za usiku ,mama siku nzima mihangaiko kachoka we ukifika kitandani na ny....zako unamrukia tu bila hata maandalizi....ku ku...ku .....aaaaaaaagh....halafu huyo unakoroma,yaani mpaka mkeo anaona ka alikuwa anaota hivi,jamani hiyo sio baiskeli ya gym huyo ni binadamu ati.

4. Mnawaita beki tatu ma haus geli hao,juu ya nini unajipoza kwa mtumishi wa ndani? huoni unamdhalilisha mwenzio? Hivi ukibambwa utasema nini?

5.Ulipompenda ulimkuta ana kakazi kake,we na miwivu yako hutaki afanye kazi unamwachisha,hivi una uwezo wa kumpatia mahitaji yake yote yakiwemo matunzo ya wazazi na ndugu zake? Halafu kwa nini utake mwenzio kazi yake iwe kusafisha makochi na kuangalia plasma wakati wewe uko bize unachangamsha mwili na akili? Kufanya kazi au biashara is more than kuingiza kipato ,na ku interract na watu pia is healthy.

6.Mkeo akikusoea unaanza kumtangaza kwa watu...'mkeo wangu sijui yukoje....mara hivi mara vile.....huoni unajiaibisha mwenyewe?

7.Na hizo nyumba ndogo hizo,ukienda huko kazi kumsimanga mkeo,matokeo yake siku mkeo akigombana na hawara yako anashangaa matusi anayovurumishiwa...we nae mwanamke wewe...si kikojozi wewe....du toba yarabi!

8.Ukiumwa kidogo tu full madeko yaani unajitia hata kidole huwezi kukisogeza,mwenzio serious tumbo linamsumbua,hata kusema ngoja nikae ndani nimuuguze mwenzangu ndo kwaaaanza unawahi kaunta Jackies,sana sana unampigia simu dada yako akamwangalie wifi,inahuu kwani yeye ndo kamwoa,akilalamika mkeo unamsimanga eti anadeka.

9.Nje utembee sasa ndo hata kuzaa uzae kabisa huko? maduka zinakouzwa condoms huyajui? au utasingizia ilikupasukia,na wa pili nayo ilipasuka? acheni hizo!

10.Huko kwenye mabaa na huo upuuzi unaoongelewa huko ....eh chapati shurti ikaangwe pande zote...sijui nini sijui nini...unarudi nyumbani na mipombe yako unataka ujaribu upuuzi wako kwa mkeo,peleka huko ujinga wako.

11.Umelala nje asubuhi unajitia kurudi nyumbani umefungwa pingu ili mke aone ulilala kituoni,mambo ya 1947 hayo,kinamama hawadanyiki na hizo siku hizi!

12.Mpira ..mpira...mpira....hamchoki? wikiendi nzima uko bar unaangalia mpira ,jumamosi man siti vs man yu,jumapili aseno vs chelz, weekdays kazi,hivi lini unakaa na kukagua kazi za watoto za shule? lini unakaa na mke na wanao na ku chat nao? mpira ndo utakaokuzika?

13. Ubinafsi wako huo,ukikaa sebuleni remote control haiko mbali na wewe unabadilisha tu chanel,si umuulize mkeo au wanao kama nao kuna kitu wanataka kuangalia? kuna mtu aliwahi kusema eti wanaume huona remote control kama ni extension ya mb....zao.

14.Sijui ndo umepiga wapi kabomu kako cha kwanza unamnunulia hawara yako ka vitz wakati mkeo anapanda daladala,kha!

15.Mke akilalamika mitabia yako mibovu unaanza..'kwani unataka nini..gari nimekupa..zaabu nakununulia...frigi imejaa chakula...kelele za nini? kwani kwao hakuacha chakula? yeye alikufuata wewe ati na sio plasma yako.

.......itaendelea....leo wababa wa humu ndani nakula nao sahani moja!

Aisifiaye mvua imemnyea! Kama mwanaume ndivyo ulivyo au mzazi wako wa kiume kakupitisha malezi hayo, na kama ni mwanamke badilisha mume huyo hakufai
 
Umepotelea wapi wewe mkuuu au ndo umebadili mwelekeo wa id kwa mwaka mpya?
hebu fikiria:

1.uko ndani ya ndoa,mwaka wa kumi sasa na hamjapata mtoto,mkeo hospitali zote kamaliza na anaambiwa hana tatizo,kila akikwambia na wewe ukapimwe hutaki unajidai huna tatizo,ndo nini sasa hiyo? Kwa nini usipimwe mkajaribu ivf?

2.ukienda rose garden we ndo reginald mengi kazi kuzungusha raundi huku ukijidai kusema...'uza nyumba utunze heshima bar'....asubuhi mwanao akikwambia 'baba shati la shule limechanika'..unakuwa mkaaaaaali,hovyooooo!

3.umetoka zako kwenye mipombe,ni saa saba za usiku ,mama siku nzima mihangaiko kachoka we ukifika kitandani na ny....zako unamrukia tu bila hata maandalizi....ku ku...ku .....aaaaaaaagh....halafu huyo unakoroma,yaani mpaka mkeo anaona ka alikuwa anaota hivi,jamani hiyo sio baiskeli ya gym huyo ni binadamu ati.

4. Mnawaita beki tatu ma haus geli hao,juu ya nini unajipoza kwa mtumishi wa ndani? Huoni unamdhalilisha mwenzio? Hivi ukibambwa utasema nini?

5.ulipompenda ulimkuta ana kakazi kake,we na miwivu yako hutaki afanye kazi unamwachisha,hivi una uwezo wa kumpatia mahitaji yake yote yakiwemo matunzo ya wazazi na ndugu zake? Halafu kwa nini utake mwenzio kazi yake iwe kusafisha makochi na kuangalia plasma wakati wewe uko bize unachangamsha mwili na akili? Kufanya kazi au biashara is more than kuingiza kipato ,na ku interract na watu pia is healthy.

6.mkeo akikusoea unaanza kumtangaza kwa watu...'mkeo wangu sijui yukoje....mara hivi mara vile.....huoni unajiaibisha mwenyewe?

7.na hizo nyumba ndogo hizo,ukienda huko kazi kumsimanga mkeo,matokeo yake siku mkeo akigombana na hawara yako anashangaa matusi anayovurumishiwa...we nae mwanamke wewe...si kikojozi wewe....du toba yarabi!

8.ukiumwa kidogo tu full madeko yaani unajitia hata kidole huwezi kukisogeza,mwenzio serious tumbo linamsumbua,hata kusema ngoja nikae ndani nimuuguze mwenzangu ndo kwaaaanza unawahi kaunta jackies,sana sana unampigia simu dada yako akamwangalie wifi,inahuu kwani yeye ndo kamwoa,akilalamika mkeo unamsimanga eti anadeka.

9.nje utembee sasa ndo hata kuzaa uzae kabisa huko? Maduka zinakouzwa condoms huyajui? Au utasingizia ilikupasukia,na wa pili nayo ilipasuka? Acheni hizo!

10.huko kwenye mabaa na huo upuuzi unaoongelewa huko ....eh chapati shurti ikaangwe pande zote...sijui nini sijui nini...unarudi nyumbani na mipombe yako unataka ujaribu upuuzi wako kwa mkeo,peleka huko ujinga wako.

11.umelala nje asubuhi unajitia kurudi nyumbani umefungwa pingu ili mke aone ulilala kituoni,mambo ya 1947 hayo,kinamama hawadanyiki na hizo siku hizi!

12.mpira ..mpira...mpira....hamchoki? Wikiendi nzima uko bar unaangalia mpira ,jumamosi man siti vs man yu,jumapili aseno vs chelz, weekdays kazi,hivi lini unakaa na kukagua kazi za watoto za shule? Lini unakaa na mke na wanao na ku chat nao? Mpira ndo utakaokuzika?

13. Ubinafsi wako huo,ukikaa sebuleni remote control haiko mbali na wewe unabadilisha tu chanel,si umuulize mkeo au wanao kama nao kuna kitu wanataka kuangalia? Kuna mtu aliwahi kusema eti wanaume huona remote control kama ni extension ya mb....zao.

14.sijui ndo umepiga wapi kabomu kako cha kwanza unamnunulia hawara yako ka vitz wakati mkeo anapanda daladala,kha!

15.mke akilalamika mitabia yako mibovu unaanza..'kwani unataka nini..gari nimekupa..zaabu nakununulia...frigi imejaa chakula...kelele za nini? Kwani kwao hakuacha chakula? Yeye alikufuata wewe ati na sio plasma yako.

.......itaendelea....leo wababa wa humu ndani nakula nao sahani moja!
 
Excel unamfahamu huyu mzee Bishanga au ndo wewe
hebu nifumbue macho nisije nikakufananisha naye kumbe ndo wewe mwenywe
umeamua kubadili id yako pls sitaki kininukie bure na kuleta majanga hapa
 
Last edited by a moderator:
Excel unamfahamu huyu mzee Bishanga au ndo wewe
hebu nifumbue macho nisije nikakufananisha naye kumbe ndo wewe mwenywe
umeamua kubadili id yako pls sitaki kininukie bure na kuleta majanga hapa
ladyfurahia! mbona una wasiwasi hivyo? Bishangaaa..mmh!

i dont know him! i have been hearing his stories only!
 
Last edited by a moderator:
ni binamu yangu halafu
vilevile ni shemeji yangu kwa dada yangu The secretary upo hapo

ila mm niko kwenye ndoa na ninae wangu sio huyo bishanga pls pls
usijeleta balaa humu mjengoni pls pls pls pls pls nakuomba sana
uwe na siku njema
kwani Bishanga ni nani yako mama?

yasije kunitokea yale ya passion lady!
 
Last edited by a moderator:
Kama wanaume wanafanya hivyo ndiyo maana wake zao sisi wanaume tunaojua thamani ya mwanamke tutaendelea kuwagegeda kiulaini huku nje mpaka ziote sugu.
 
Kama wanaume wanafanya hivyo ndiyo maana wake zao sisi wanaume tunaojua thamani ya mwanamke tutaendelea kuwagegeda kiulaini huku nje mpaka ziote sugu.

Aisee....... unaowagegeda siyo wake za watu bhana! wanawake walioolewa wanajiheshimu sana Mkuu!
 
Aisee....... unaowagegeda siyo wake za watu bhana! wanawake walioolewa wanajiheshimu sana Mkuu!
Kugegeda nigegede mimi kukataa ukatae wewe. Endelea kubisha wakati wenzako kila siku tunavua pete za watu na simu wanazima kwanza.

Wewe endelea kujiamini hivyo hivyo wakati haki ya msingi humpatii mwenzio uone kitakachotokea.
 
Kugegeda nigegede mimi kukataa ukatae wewe. Endelea kubisha wakati wenzako kila siku tunavua pete za watu na simu wanazima kwanza.

Wewe endelea kujiamini hivyo hivyo wakati haki ya msingi humpatii mwenzio uone kitakachotokea.

Aisee umetisha sana! hivi kumbe ni kweli? Duh...... bado nipo nipo kwanza aisee, na kibamia changu naogopa kuchapiwa kila siku!
 
Aisee umetisha sana! hivi kumbe ni kweli? Duh...... bado nipo nipo kwanza aisee, na kibamia changu naogopa kuchapiwa kila siku!
Mkuu kuwa na kibamia sio tija, unaweza kuwa na muhogo wa jang'ombe lakini bila kujua namna ya kuutumia utaishia kuumiza mwenzio na kumuacha na utitiri wake. Akiwashwa bado atatafuta wa kumkuna tu.
 
ni binamu yangu halafu
vilevile ni shemeji yangu kwa dada yangu The secretary upo hapo

ila mm niko kwenye ndoa na ninae wangu sio huyo bishanga pls pls
usijeleta balaa humu mjengoni pls pls pls pls pls nakuomba sana
uwe na siku njema

hilo tatizo dogo sana bana!! but hukunambia mapema kama uko kwenye kikaango cha ndoa!

kwani nani baby wako humu anaekutumia laki mbili ya kwendea kusuka?!!

please ntambulishe nimjue, asipokuwa na sifa... nauvaa u-cheguavara!
 
siwezi kukwambia niliye naye kwani nawajua watu humu jf mlivyo
utamwona tu ipo siku utamtambua alivyo vuta subira
halafu yeye hizo 200,000 ni kama hela ya mhogo kwake
huwaga ananipa 5,000,000/= kwenda kwenye shoping zangu kwa siku moja
na isitoshe sisukagi nywele mm nina style ya kipekee upo hapo
sasa wewe utaweza hapo?
hilo tatizo dogo sana bana!! but hukunambia mapema kama uko kwenye kikaango cha ndoa!

kwani nani baby wako humu anaekutumia laki mbili ya kwendea kusuka?!!

please ntambulishe nimjue, asipokuwa na sifa... nauvaa u-cheguavara!
 
siwezi kukwambia niliye naye kwani nawajua watu humu jf mlivyo
utamwona tu ipo siku utamtambua alivyo vuta subira
halafu yeye hizo 200,000 ni kama hela ya mhogo kwake
huwaga ananipa 5,000,000/= kwenda kwenye shoping zangu kwa siku moja
na isitoshe sisukagi nywele mm nina style ya kipekee upo hapo
sasa wewe utaweza hapo?

come on!!

you are speaking too much..!!!!

afu nshajua kitu.. ntakwambia privately..!


si unajua tena penye kuku wengi..
 
Umeongea ukweli mtupu na hizo nyumba ndogo zinazoambiwa mapungufu ya wenyao walitakiwa wajue na wenyewe watasemwa hivyohivyo coz wenyewe ni watu kama hao wengine
 
Back
Top Bottom