valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,855
- 889
Ni upuuzi kudhani kuwa wewe ukiwa na tabia hizo hapo juu basi wanaume wote wako hivyo.
kwani amesema ni wanaume wote twenye hizi tabia mkuu?
Ni kwa baadhi, na ametaja vijitabia vingi tu.
Ni upuuzi kudhani kuwa wewe ukiwa na tabia hizo hapo juu basi wanaume wote wako hivyo.
nakumbuka nikiwa praimari mimi na rafiki yangu tulipita nje ya mgahawa tukamwona baba yake anajichana michai na mibajia,rafiki yangu kwaBishanga hongera!!
Kwa nyongeza tu,
Wanaume wanatoka nyumbani bila kula makusudi ili akale kwenye hotel/kwa mama-lishe kabla ya kuingia kazini. Akitoka kazini anapitia kwa hoteli kabla ya kufika nyumbani, wakati nyumbani wanahangaika yeye kashiba.
Wako wale wanaovaa suti na nguo nzuri, lakini wanawaacha watoto na nguo kuukuu. Ni moja ya sababu kwanini wanaume hawapendi kuwapeleka watoto hospitali au kwenda mahali ambako atalazimika kuwa mkono kwa mkono na mwanae.
taaaaaaaabu kweli kweli wana wa Adam hatupendi kusasambuliwa ila raha twaipata kwa kuwananga wenzetu hasa kina mama.
mkuu Bishanga unakunywa kinywaji gani aisee? Waiter hebu ukuje pande hii l.o.l
Switie kaka jamani!!! Khaaa.... Nazichukua baraka zangu aisee, lol...switie?bishanga?mmmhhhh subiri TF aje ndo utajua kwa nini sungura aalinyimwa pembe akapewa mbio!
My switie kaka Bishanga,
mie hapa leo nimepita tu source: mamndenyi.
Sina cha kuongeza wala kupunguza kwa sasa.
Ubarikiwe sana
Missing you so much!SL, Sema neno moja tu na roho yangu itapona!
Mkuu bishanga mie kuna waheshimiwa flan sijaona michango yao hapa nataman sn kusoma coment zao kwenye huu uzi,
Nao ni my dia wangu Klorokwin,mwanasheria wetu wa jf na shem wangu Uporoto,my broda Fidel80,my broda Igwe,Bujibuji,katavi,rejao,mzizi mkavu,mzee wa rula,SMU,Pakajimmy mko wapi jaman?
Semen chochote basi kwa huu uzi wa ukweli!
shusha munkari mzee,ichunguze nafsi yako uone katika mahusiano nini mapungufu yako.Kutukana hakujengi Mkuu!
Habari yako da husni!
Shuhuli yao ila hawaonekani!
Za kwetu wanavyotufugiaga kazi!
Leo wanalo hili,bishanga kawaweka mtu kati,sie zamu yetu kuchekelea!
Haaaa haaaaa haaaaaa haaaaa!
Mkuu Bishanga hii ndo namna mpya ya utongozaji hapa jamvini ama kuna kitu sielewi!?
sasa Mkuu hapa unagomba na package au unagomba na kilicho ndani ya package? Hivi issue hapa ni title ya thread au content ya thread?Nimeangalia kamusi yangu sijaona sehemu wanaelezea MIANAUME ni nini na sidhani kama hii ni sifa. Vivyo hivyo kumwambia mtu HOVYOO ni syo neno la staha hata kidogo. Ndio maana
narudia kuwa huo ni upuuzi.