Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Daaaaaaaaaaaaaaah!!! big big big point man nimeipenda hii post kupita maelezo imenigusa sana. NAPENDA SANA KUWA HIVYO NIKIINGIA KWNY NDOA NA MIMESHAJIFUNZA MENGI..GOD HELP ME

Karibu sana mkuu
tunakuombea ufike huko na uwe na familia bora
 
Hili lisredi limetuzalilisha sana sisi vichwa vya familia.

Kulaaleki huyu aliye hack password ya bishanga............nikimkamaaata!

Ngoja niwahi kuangalia mpira.


hahaaa haha password imekuwa hacked tena jamani?, yanakuhusu mangapi hapo hadi ukimbilie kuangalia mpira?
 
msaidie nduguyo Fidel,nikiongea mimi ananiambia mpumbavu.

Amekataa anang'ang'ania msimamo wake
hataki kukubali ukweli wake kuwa ana mapungufu
yeye anaona yuko right kwa kila akifanyacho
 
Naona kabadili stail yuko kimungu sasa lol!
Km vipi mwaga bwana tumalizane naye!
Wenzie wamekubali kabaki yeye,
Broda km vp kubali bwana DA ataharibu!!!!

Ulikuwa hujui kuwa mm mlokole? Huyo DA anatafuta umaarufu kama mbunge wa CCM
 
Huyu anataka promo tu D.A hamna kitu kama hicho, niamini na nielewe mwanaume makini kama mm hawezi fanya upupu huo hapo juu sawa sawa?
Haaaa haaaa haaa,
Ungemruhusu basi amwage hayo anayoyajua,
Hapo tutaweza kulinganisha hoja na kujua nani mkweli,
Ila hii uliyoanza nayo ya kimungu mie hoi lol!
 
Mkuu tushajua mapungufu yako wapi na tunayafanyia kazi kila siku
na ndoa ni kama darasa tunajifunza mapya kila siku mkuu

Kweli hata mm nimekusihi sana utulie nyumbani uwe mme mwema sio kunyang'anyana remote control na watoto, mtoto anataka aangalie katuni wewe unataka Man U sijui
 
Haaaa haaaa haaa,
Ungemruhusu basi amwage hayo anayoyajua,
Hapo tutaweza kulinganisha hoja na kujua nani mkweli,
Ila hii uliyoanza nayo ya kimungu mie hoi lol!


Mie mpaka nikahisi mtu kaiba password yake
lakini baada ya kusoma btn lines nikagundua mwandiko wake
 
Back
Top Bottom