Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Angekuwepo hapa Mchungaji Masanilo angeelewesha vizuri hili somo la leo na akina mama wote mnao frahi kwa hili somo fraha ingeingia shubiri ngoja nimtafute aje asaidie kuwaelewesha wenye mioyo migumu kama wazee wenu walipo kuwa kule Masa jangwani
Haaa haaa broda!!,
Huyo ndie mchungaji bigwa wa akinamama au?
Cha ajabu hii mada imetolewa na mwanaume,
Hapa anayehitaji hayo mafundisho ni msomaji au muandishi?
Haleluya mtumishi,jipange upya na chama chako!
 
Mimi hapa natafuta mbinu ya kumfikishia mhusika huu ujumbe leoleo
Hata kama hajapita hapa lazma aupate! Hata tu usiku niingie jf kwenye hii topic afu nimtegeshee hadi asome

Thanx Bro Bishanga
ahsante,hope itamsaidia mzee arekebishe pale penye mapungufu.
 
Thanks Bishanga for posting a thread of the month....

Hakuna cha kuongeza maana message iko complete
ahsante wataoukubali ukweli huu labda watabadilika,ndo uzuri wa jf.
 
Wakuu rudieni tena mara mbili mbili huo uzi mtaelewa kwa nini mm napinga kwa nguvu zangu zote.

Fidel,seriously speaking unapinga nini hasa,kwamba wanaume hatuna mapungufu yaani we are born perfect?kweli?
 
Hi my big shem!
Leo bishanga kawakamata pabaya lol!
Shuhuli yenu hiyo leo!
Salam zangu kwa my big sisy!


Canta, babu umemwona wapi?

Halafu, niambie kama kuna jipya lolote hapo? ambalo halijulikani? ama sielewi.....hahahahaha
 
Hee!Na nyie mlienda maliwatoni?Maana makande niliyokula asubuhi leo na uji wa limao,vimefanya mambo!
 
sawabho; Sasa wewe umejuisha wanaume wote, ilihali wa kawako tu ndio anakufanyia hayo. Umesahua kuwa binadamu wanatofautiana kutoka mmoja kwenda mwingine. Wengine akili ya kuambiawa anachanganya na yake kuacha ushauri mbaya pale pale. Sio mianaume yote, mingine ina malezi mazuri, inajali.


Mkuu haiitaji kujitetea katika hili maana naona Bishanga hapo kagusa zaidi makundi mawili ya wanaume- Walevi na walio na vimada. Kwani hakuna wanaume ambao hawako kwenye hayo makundi mawili?. Kwa kusoma hii post wadada wengi wameonyesha ni jinsi gani waume zao walivyo na tabia zilizotajwa hapo juu na bishanga na kuchukulia ndivyo tulivyo wote.....HAPANA. Haina maana wanaume kutochangia huu uzi basi bishanga ametukamata kooni, Watu wanasoma huu uzi na kuupotezea tu maana hawahitaji kujitetea. Wake zao ndo wanajuwa waume zao wakoje..... .
 
Canta, babu umemwona wapi?

Halafu, niambie kama kuna jipya lolote hapo? ambalo halijulikani? ama sielewi.....hahahahaha

Haaa haaa,habari yako binafsi my big shem,babu kachungulia na kusepa,mpnz wangu Kloro naye kapiga chabo na kusepa!Lzm utakua hujaelewa tu shem wangu,cheki na my big sisy hapo akutafsirie hapo lol!Leo mwenzen kawachana live bila chenga!
 
I miss the following katika huu Uzi...

Darling Kaizer,
Darling Shem ODM,
In-law bro Finest
Shem zangu MTM, RR na Kimey,
kakangu Bigirita
na fellow members kama Teamo na Baba_Enock...

Siui hawajaona huu uzi..... lolz

Asante Fidel kwa kupita hapa.... ila nimeishiwa nguvu kukuta hapa unazungumzia mpira (au sababu sijasoma page za nyuma)

Love...am here...hujaniona jamani hata kabla hujatokezea?

"We do not describe the world we see.
We see the world we describe." (Descartes)
 
Haaa haaa,habari yako binafsi my big shem,babu kachungulia na kusepa,mpnz wangu Kloro naye kapiga chabo na kusepa!Lzm utakua hujaelewa tu shem wangu,cheki na my big sisy hapo akutafsirie hapo lol!Leo mwenzen kawachana live bila chenga!


Mwongozo............
 
Mie najua tu kwamba, Ma-Lesibian wameifurahiya kweli hii thead yako!
 
Back
Top Bottom