Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
hovyooo kidogo wanahitaji maombi
hovyooo kidogo wanahitaji maombi
Hao ni wanaume mifuko sio wanaume rijali
Ndio nimeibuka toka mafichoni nakutana na huu uzi! aisee bishanga hapa amegusa kila idara...sidhani kama kuna kidume ambaye hajaguswa kwa namna moja au nyingine hapo! mi hapo kuna vitu ka 10 hivi vimenilenga!Mkuu bishanga mie kuna waheshimiwa flan sijaona michango yao hapa nataman sn kusoma coment zao kwenye huu uzi,
Nao ni my dia wangu Klorokwin,mwanasheria wetu wa jf na shem wangu Uporoto,my broda Fidel80,my broda Igwe,Bujibuji,katavi,rejao,mzizi mkavu,mzee wa rula,SMU,Pakajimmy mko wapi jaman?
Semen chochote basi kwa huu uzi wa ukweli!
Haaa haaa haaa,that is my broda!Kwa mwanaume rijali aliyo andika Bishanga hapo juu hawezi fanya upumbavu kama huo.
Yawezekana yeye Bishanga anafanya kiaina.
Ndio nimeibuka toka mafichoni nakutana na huu uzi! aisee bishanga hapa amegusa kila idara...sidhani kama kuna kidume ambaye hajaguswa kwa namna moja au nyingine hapo! mi hapo kuna vitu ka 10 hivi vimenilenga!
Afadhali umetokea broda,Ndio nimeibuka toka mafichoni nakutana na huu uzi! aisee bishanga hapa amegusa kila idara...sidhani kama kuna kidume ambaye hajaguswa kwa namna moja au nyingine hapo! mi hapo kuna vitu ka 10 hivi vimenilenga!
Mkuu kwenye huu uzi wa Bishanga uko kweney kundi gani
Haaa haaa haaa,that is my broda!
Unataka kunambia hakuna hata moja linakugusa hapo?
dah..aise kaexpose maujanja yetu yote!Mkuu wacha ni balaa
huu uzi umeleta aibu kwa wanaume mbaya
yaani ni kama anaonyesha kuwa wewe unafanya nini ukiwa home au ukiwa bar au ukiwa popote pale ulipo
Hebu fikiria:
1.Uko ndani ya ndoa,mwaka wa kumi sasa na hamjapata mtoto,mkeo hospitali zote kamaliza na anaambiwa hana tatizo,kila akikwambia na wewe ukapimwe hutaki unajidai huna tatizo,ndo nini sasa hiyo? Kwa nini usipimwe mkajaribu IVF?
2.Ukienda Rose Garden we ndo Reginald Mengi kazi kuzungusha raundi huku ukijidai kusema...'uza nyumba utunze heshima bar'....asubuhi mwanao akikwambia 'baba shati la shule limechanika'..unakuwa mkaaaaaali,hovyooooo!
3.Umetoka zako kwenye mipombe,ni saa saba za usiku ,mama siku nzima mihangaiko kachoka we ukifika kitandani na ny....zako unamrukia tu bila hata maandalizi....ku ku...ku .....aaaaaaaagh....halafu huyo unakoroma,yaani mpaka mkeo anaona ka alikuwa anaota hivi,jamani hiyo sio baiskeli ya gym huyo ni binadamu ati.
4. Mnawaita beki tatu ma haus geli hao,juu ya nini unajipoza kwa mtumishi wa ndani? huoni unamdhalilisha mwenzio? Hivi ukibambwa utasema nini?
5.Ulipompenda ulimkuta ana kakazi kake,we na miwivu yako hutaki afanye kazi unamwachisha,hivi una uwezo wa kumpatia mahitaji yake yote yakiwemo matunzo ya wazazi na ndugu zake? Halafu kwa nini utake mwenzio kazi yake iwe kusafisha makochi na kuangalia plasma wakati wewe uko bize unachangamsha mwili na akili? Kufanya kazi au biashara is more than kuingiza kipato ,na ku interract na watu pia is healthy.
6.Mkeo akikusoea unaanza kumtangaza kwa watu...'mkeo wangu sijui yukoje....mara hivi mara vile.....huoni unajiaibisha mwenyewe?
7.Na hizo nyumba ndogo hizo,ukienda huko kazi kumsimanga mkeo,matokeo yake siku mkeo akigombana na hawara yako anashangaa matusi anayovurumishiwa...we nae mwanamke wewe...si kikojozi wewe....du toba yarabi!
8.Ukiumwa kidogo tu full madeko yaani unajitia hata kidole huwezi kukisogeza,mwenzio serious tumbo linamsumbua,hata kusema ngoja nikae ndani nimuuguze mwenzangu ndo kwaaaanza unawahi kaunta Jackies,sana sana unampigia simu dada yako akamwangalie wifi,inahuu kwani yeye ndo kamwoa,akilalamika mkeo unamsimanga eti anadeka.
9.Nje utembee sasa ndo hata kuzaa uzae kabisa huko? maduka zinakouzwa condoms huyajui? au utasingizia ilikupasukia,na wa pili nayo ilipasuka? acheni hizo!
10.Huko kwenye mabaa na huo upuuzi unaoongelewa huko ....eh chapati shurti ikaangwe pande zote...sijui nini sijui nini...unarudi nyumbani na mipombe yako unataka ujaribu upuuzi wako kwa mkeo,peleka huko ujinga wako.
11.Umelala nje asubuhi unajitia kurudi nyumbani umefungwa pingu ili mke aone ulilala kituoni,mambo ya 1947 hayo,kinamama hawadanyiki na hizo siku hizi!
12.Mpira ..mpira...mpira....hamchoki? wikiendi nzima uko bar unaangalia mpira ,jumamosi man siti vs man yu,jumapili aseno vs chelz, weekdays kazi,hivi lini unakaa na kukagua kazi za watoto za shule? lini unakaa na mke na wanao na ku chat nao? mpira ndo utakaokuzika?
13. Ubinafsi wako huo,ukikaa sebuleni remote control haiko mbali na wewe unabadilisha tu chanel,si umuulize mkeo au wanao kama nao kuna kitu wanataka kuangalia? kuna mtu aliwahi kusema eti wanaume huona remote control kama ni extension ya mb....zao.
14.Sijui ndo umepiga wapi kabomu kako cha kwanza unamnunulia hawara yako ka vitz wakati mkeo anapanda daladala,kha!
15.Mke akilalamika mitabia yako mibovu unaanza..'kwani unataka nini..gari nimekupa..zaabu nakununulia...frigi imejaa chakula...kelele za nini? kwani kwao hakuacha chakula? yeye alikufuata wewe ati na sio plasma yako.
.......itaendelea....leo wababa wa humu ndani nakula nao sahani moja!
Mimi mwanaume rijali sipo kundi lolote hapo na siamini kama kuna mwanaume mwenye akili zake timamu anayafanya hayo
Haaaa haaaa,my broda hii ya wote tu!Hao ni wanaume mifuko sio wanaume rijali
dah..aise kaexpose maujanja yetu yote!
kunasiku mshkaji wangu alishtumia hiyo technique ya kurudi asubuhi na difenda ya polisi hom..but bado ilikuwa ni mshike mshike!
Haaa haaa my broda hata no 8?Mi hapo siguswi na kitu mwanaume rijali aka dume la mbegu upuuzi huo siwezi kufanya
Yaani kama kuna mwanaume rijali anasema hajaguswa hapa atakuwa na matatizo. Hata number 12 ya kuangalia mpira??Afadhali umetokea broda,
Yani bora hata ww umeuona ukweli jamaa leo kapita mlemle kwenye ishu zenu!
Niliamua kupiga mbiu coz nimeona wengi wenu wanaingia km guest wakichungulia wanasepa!
Leo nasi tumepumua lol!
Hata mie namshangaa kaka yangu Fidel ina maana hata ile ya no 8,ya kudeka akiwa anaumwa!Yaani kama kuna mwanaume rijali anasema hajaguswa hapa atakuwa na matatizo. Hata number 12 ya kuangalia mpira??
Haaa haaa my broda hata no 8?