Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

Shida sio elimu bro, kwa elimu hii hii ya kibongo, ya kidumu cha maji na fagio, na kuwahi kuhesabu namba,wengine tumetoboa kwa ajira za hapa hapa nchini,shida ni kuwa fulsa ni chache Sana, uchumi wetu(kwa makosa ya CCM) hauwezi, kutoa ajira kwa, kila graduate wa chuo kikuu!
Nchi kama US ambayo inamaendeleo makubwa ya, kitekinolojia, serikali inayokuwa madarakani, hufanya juhudi kubwa kuhakikisha inatengeneza ajira nyingi kuliko mahitaji(sio, upuuzi,wa wanasiasa wetu waliofirisika,wanaosisitiza vijana wajiajiri) , mwaka juzi USA, ilikuwa, na nafasi, za, ajira milioni 6,na, wahitaji milioni 4!
Elimu ni muhimu bro, shida Afrika, nafasi ni finyu!
Tumebakiza kuwa wachuuzi tu,
Kwa, wadogo zangu, piga shule vzr,tafuta passport,
Angalia fulsa nje
Kweli mkuu.
I appreciate your tirelessly effort and constructive comments.
 
Mkuu hebu anza kuitumia elimu kama maarifa kuanzia hapo uliposasa! Ondoa mawazo yakutegema wengine watumie maarifa Yao kukuajiri wewe. Unaweza ukaanzia hapo kwakuchakata fulsa zilizopo hapo , changamoto za watu kizigeuza kisomi ili upate maokoto! Yupo mdau Fran kweli alipoteza muda kwakuamini elimu yake ni muhimu kuliko yeye kuyatambua maarifa ndani ya kitaa; lkn alipofanya uthubutu kwakujikamua kias kidogo alianza na mgahawa wa supu ya mbuzi aseee Sasa hivi yupo mbaliii sana ndugu kiongoz kikubwa ondoa masononeko Mzee wangu anza Sasa muda bado ni rafiki!
Yes, asante sana mkuu.
 
Conclusion:
Tanzania
emoji1241.png
elimu haina maana.
True..💯💯💯
 
Ukikaa muda mrefu bila kazi CV yako inakuaje jamani tafuta sehemu ya kujitolea walau mwaka mzima
Ndio hapo mnatakiwa kutumia ujanja kujibu maswali ya usaili, au nini cha kujaza kwenye CV.

.......Nilikuwa nimefungua shughuli zangu binafsi zinazohusiana na taaluma, nilikuwa nifanya hiki na hivi, na hizi ni mfano wa hudumu nilizokiwa ninatoa katika kampuni yangu.....

Siku hizi sio lazima uwe na ofisi kwenye kibanda/jengo, hata online hiyo ni ofisi pia........
 
Habari wanaJF....

Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.

Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.

Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.

Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
Watu tulikuwa tunakesha na maji miguuni
Ila Leo tunakesha kuwaza kazi
 
Swali gani hili wakati maelezo yote yako ndani ya thread. Au kikubwa uonekane ume comment Kwa kusoma heading tu. Duuh. Unauliza maswali,majibu Yako kwenye maelezo. Na bado unazidi kumuuliza
Acha shobo hujaulizwa wewe
Pia elewa swali kwanza sio kukurupuka kujibu nyauba wewe
 
Habari wanaJF....

Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.

Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.

Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.

Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
Keep on fighting.... never give up!.
 
Pole Bro, I feel you.

Achana na Mockers, hawaelewi uhalisia wa mambo. IT sio nyepesi na interviews zake nyingi ni 3-ways (written, pract & oral). Ambacho wadau wengi hawajui ni kwamba hii kada ni evolving means kila mwaka kuna mambo mengi mapya yanaongezeka na ni seriously tough topics mf. Artificial Intelligence & Data Analysis.

Kwahiyo interviews zako zote utakazofanya uwezekano wa kutoboa ni 30/70 kwa sababu interviewer ana uwanja mpana sana wa kukuumiza hata ukirudia mara 50 kwa sababu syllabus nyingi za vyuo haziendi na Trend ya Technology.

So the more unakaa mtaani the more IT yako inakua Old kwenye corporate world and so interviews will always be harder for you.

Kuna mambo mawili unaweza kufanya hapo ulipo (of course ni ushauri so you can take it or leave it):

1. Kama bado una hisia kwamba IT inatakiwa ikupe ajira one day, then in your free time jifunze Data Analysis (R programming, Probability & Statistics na Advanced Excel). Uki master hii Kada vizuri, it can land you a job in one Attempt. Hakuna longolongo hapo! .

2. Kama umeamua kabisa kutundika viatu kwenye suala la ajira, take a long and hard look kwenye agribusiness. Kilimobiashara ndio biashara yenye uti wa mgongo mgumu zaidi hapa duniani. Itakua biashara ya mwisho kufa sekunde chache kabla Dunia haijapotea kwenye uso wa ulimwengu.

The Choice is Yours. I Rest my Case.

Very productive advice. I second you mkuu
 
Habari wanaJF....

Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.

Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.

Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.

Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
Hongera
 
Back
Top Bottom