Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

Umesomea nini?
Umejaribu kuwaza namna yakutumia elimu yako na ukajiajiri?
 
Elimu ni nini na kwanini unaelimika ? Ambao hawakwenda kwenye shule unadhani hawana elimu ?

Shida sio elimu bro, kwa elimu hii hii ya kibongo, ya kidumu cha maji na fagio, na kuwahi kuhesabu namba,wengine tumetoboa kwa ajira za hapa hapa nchini,shida ni kuwa fulsa ni chache Sana, uchumi wetu(kwa makosa ya CCM) hauwezi, kutoa ajira kwa, kila graduate wa chuo kikuu!
Nchi kama US ambayo inamaendeleo makubwa ya, kitekinolojia, serikali inayokuwa madarakani, hufanya juhudi kubwa kuhakikisha inatengeneza ajira nyingi kuliko mahitaji(sio, upuuzi,wa wanasiasa wetu waliofirisika,wanaosisitiza vijana wajiajiri) , mwaka juzi USA, ilikuwa, na nafasi, za, ajira milioni 6,na, wahitaji milioni 4!
Elimu ni muhimu bro, shida Afrika, nafasi ni finyu!
Tumebakiza kuwa wachuuzi tu,
Kwa, wadogo zangu, piga shule vzr,tafuta passport,
Angalia fulsa nje
 
Kwa hiyo wewe ni IT halafu unalalamika eti huna kazi..?

Yaani umeshindwa hata kufungua banda la kuunguza CD au kurusha nyimbo/movies kwenye flash au kwenye simu hapo mtaani kwenu ?
Mkuu hivi unajua CD ni obsolute.... Sisemi anashindwa kutafuta cha kufanya au usipoata ujira haimaanishi elimu haina maana na wala elimu haipatikani shule pekee....

Bali nachosema hizi pumba za kama taifa kila mtu anaweza kujiajiri ni kupotoka kwa hali ya juu na failure kwa watunga sera kutokuweka opportunities za watu kupata ujira..., mtaani ni pagumu na kujisimamia panahitaji discipline (na hio haipatikani shuleni ni tabia ya mtu kujinyima na kujituma jambo ambalo wengi hawana) Hence watunga Sera inabidi wahakikishe majority wanapata ujira kwa kufanya mambo ya maendeleo
 
Habari wanaJF....

Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.

Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.

Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.

Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
Nina Uzi Kwa ajili ya vijana NDIO maana kaka angu mkubwa mwaka 2004 na degree yake ya education aliacha kazi ya ualimu serikalini Kila mtu kwenye ukoo wetu alishangaa sana na kumsihi asiache kazi....mkuu Tanzania Kuna fursa nyingi sana sema tu runachelewa sana kukutana na MAGIANT (GURU) Wetu wankukuonyesha njia.....

Biashara Kuna madogo apo kumi na mbili wana aminiana wanacheza mchezo wa 1m monthly mkuu mtu ana mke na familia na inaishi vyema na mchezo wa 1m anacheza mkuu inauma sanaa Kwa nyinyi wasomi sisi na degree zetu tulivumilia mengi now # financial freedom is around the corner 😊😊☺️☺️🤓🤓
 
Conc
Habari wanaJF....

Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.

Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.

Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.

Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maanconc
Information Technology (IT)
Kuna baadhi ya fani
 
Nina Uzi Kwa ajili ya vijana NDIO maana kaka angu mkubwa mwaka 2004 na degree yake ya education aliacha kazi ya ualimu serikalini Kila mtu kwenye ukoo wetu alishangaa sana na kumsihi asiache kazi....mkuu Tanzania Kuna fursa nyingi sana sema tu runachelewa sana kukutana na MAGIANT (GURU) Wetu wankukuonyesha njia.....

Biashara Kuna madogo apo kumi na mbili wana aminiana wanacheza mchezo wa 1m monthly mkuu mtu ana mke na familia na inaishi vyema na mchezo wa 1m anacheza mkuu inauma sanaa Kwa nyinyi wasomi sisi na degree zetu tulivumilia mengi now # financial freedom is around the corner [emoji4][emoji4][emoji3526][emoji3526][emoji851][emoji851]
Kaka yako mkubwa baada ya kuacha kazi ya ualimu alitoboa kimaisha au
Na hao vijana wanafanya biashara gani
 
Mkuu sorry ulisoma kozi gani?
Na je ulimaliza chuo kipi na mwaka gani?

Je umejisajili na Ajira portal??
Maana huko vijana wengi wanapata kazi siku hizi bila kuwa na connection
 
Kaka yako mkubwa baada ya kuacha kazi ya ualimu alitoboa kimaisha au
Na hao vijana wanafanya biashara gani
Mkuu 😊 io ELIMU hailipiwi darasani yes mkuu Tupo dar es salaam TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Tunaishi vyema mm na degree mbili kabatini mkuu 😊🤓 tunachelewa sana kujua nini tunataka maishani.....
 
Mkuu hebu anza kuitumia elimu kama maarifa kuanzia hapo uliposasa! Ondoa mawazo yakutegema wengine watumie maarifa Yao kukuajiri wewe. Unaweza ukaanzia hapo kwakuchakata fulsa zilizopo hapo , changamoto za watu kizigeuza kisomi ili upate maokoto! Yupo mdau Fran kweli alipoteza muda kwakuamini elimu yake ni muhimu kuliko yeye kuyatambua maarifa ndani ya kitaa; lkn alipofanya uthubutu kwakujikamua kias kidogo alianza na mgahawa wa supu ya mbuzi aseee Sasa hivi yupo mbaliii sana ndugu kiongoz kikubwa ondoa masononeko Mzee wangu anza Sasa muda bado ni rafiki!
 
Amini wakati wako upo njiani
Don't pressurize yourself by looking others,
Trust the process,your time will come.
Haya ni maneno ya kutia moyo yasiyo na uhalisia.
Kwa nchi masikini kuna fani ukisoma kama IT,education Arts,Law etc.........kupata ajira sio suala la Imani,ni suala la nafasi za ajira chache ambazo wenye mamlaka huweka ndugu zao
 
Habari wanaJF....

Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.

Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.

Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.

Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
Mchawi konekshen Wallah [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Walioishia la 7 na form 4 wanamaisha mazuri. Nami nimeshikilia hapo[emoji1][emoji1]
 
That's what I'm doing right now. Kwanza nmeamua kurudi kijijini kabsa. So, kulima, kuchunga ng'ombe ndo shughuli naenda kufanya kwasasa
Uwachunge ki-IT ili wawe tofauti na uliowakuta, wa kwako unakamua kwa computer, maziwa unauza kwa njia ya mtandao.
 
Back
Top Bottom