Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

Jamani nahisi ndiyo maana sisi huwaga maskini sana,wazungu wenzetu utakuta Mzee Ila mtoto wake wdoogo
Angalia hao wazee wanavozaa bila uzazi wa mpango,sasa mtu uwe ma miaka 40 mwanao wa kwanza awe na miaka 8,kweli? Haaah
 
Nyie mnaozaa bila ya kujipanga mnafanya watoto wa mitaani kuzidi na omba omba wengi sana sana kwa ndugu, na ndio maana watoto wanakua mashoga baadae koz hamuwez kuwahudumia
Wewe suala la ushoga ni tabia ya mtu tu,na hata watoto wa mtaani ni tabia ya mtoto tu,mifano tunayo mingi sana tumeona kwa macho yetu.tangu umeanza kujipanga una kiasi gani mkuu? Kwani mtt anakula mabilioni?maneno ya mkosaji hayo.hata sisi wazazi wetu wangesubiri kujipanga basi leo hii tusingezaliwa
 
Ndio anaweza akawaanalo tatizo labda la mfumo wa maisha kuwa mgumu kuwa na mtoto lakisio kushindwa kupata mtoto.
 
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.

Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.

Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza
..Kwani kuzaa ni Formular kwamba Pai=22/7?
 
Ndio maana mnazaa watoto wanaishia kuzagaa mitaani na mkiwapeleka shule basi zile za kidumu mkononi,1st born wangu nilikua na 30 years nilikua na uhakika wa kumlea katika njia sahihi ingawa wadogo zangu walinitangulia ila niliweka malengo mtoto aje anikute nimefanya ABC's sio nisake mtoto kisa umri.
Pata mtoto ukiwa na miaka 18 na mimi 30 ila muhimu wapate malezi bora sioni sababu ya kukimbizana kama wataishia mtaani tu,kwa wale ambao wanahisi wamechelewa fanyeni vitu kwa mipango siku hizi hakuna zile za mtoto kulelewa na babu na bibi au ba'mdogo lazima tujipange hakuna haja ya kuwasikiliza haw wanaowaaminisha eti lazima mtoto aje ukiwa umri fulani.
..Asante sana mkuu nimekuelewa.Type ya mtoa uzi hapo juu ndo wanaolalamika mtoto akikosa Mkopo wa magu sababu hakuwa na succession plan katika maisha.Anakurupuka tu.
 
..Asante sana mkuu nimekuelewa.Type ya mtoa uzi hapo juu ndo wanaolalamika mtoto akikosa Mkopo wa magu sababu hakuwa na succession plan katika maisha.Anakurupuka tu.
We jamaa acha porojo,umri unakutupa mkono huo
 
Kutokana na hii post yako nimegundua yafuatayo:
(1) Wewe utakuwa bado mtoto (ndio kwanza umebalehe/umevunja ungo) au;
(2) Huna uzoefu na kitu kiitwacho MAISHA au;
(3) Umekariri maana ya maisha na hivyo huelewi maana yake halisi!
NB:
Jitahidi usome au kuchunguza maisha ya watu walio karne 2 mbele yetu, utagundua kuwa kuoa/kuolewa, kuzaa ni almost NEGLIGIBLE, ndio maana kwa sasa hasa nchi za kimagharibi zina program za ku-import wafanyakazi toka oversees, eg Green Card (USA). Watu wanaojua maana ya maisha wana tabia ya kutanguliza furaha binafsi mbele na sio cjui mtoto, mume/mke, ndugu, nk!
..huyu atakuwa amevunja ungo
 
Endelea kukariri, peleka wanao shule ya kata. Hongera kwa kusoma udsm. Afu inaonekana unafatilia sana maisha ya watu, ndio maana unasema ishu za kuzaa kisa unaangalia watu wengine wanaishije,umejuaje umewazidi kimaisha?
..anazani kuwa na RAV4 ndo kawazidi maisha,..
 
Nijuavyo maisha si hoja!! Ukiishaoa riziki itakuja tu. Otomatical
Ukisema unasubiri maisha yawe mazuri utasubiri saaana
Lakini pia ukiachana na hayo baba na mama yako angelisema asubiri mambo yawe supa ungekuwapo hapa Duniani?
Sasa ni muda wako Sasa kuwalipa wazazi wako wajukuu!!
..tatizo unaishi kwa kubahatisha,..
 
Mi sijaona Tatizo la Mleta mada ingawa watu wanamshambulia sanaa... Kuna watu wakifikisha 25 wameshafanikiwa kuliko anayesema 30 ...

Sisi wengine mbn tumesoma shule za Kupeleka mbolea na majembe ... Ila Wazazi baadae ndo maisha yamekuwa mazuri tunasoma Vyuo vya Private.. na Mdogo wangu ambaye nimemzidi miaka 10 ndo Anafaidi Kuliko hata Sie Wawili ...

Ila Kuna Msemo Mmoja Alishaniambia Mtoto wa Ba Mkubwa.. Ukiwa na Familia Baraka Mungu Ndo Anazinwaga... Ingawa Si wote Tutaweza Pata Watoto ila Kwa Uweza Wake Mungu
Suala la Majaliwa lipo, yaani hapo nakubali bila kipingamizi.

Na suala hilo inaweza kuwa matatizo ya Kizazi, au hata pia matatizo ya Kiafya.

Yote yanawezekana.

Tukirudi kwenye mada husika,

Wewe mwenyewe umeona mfano hai kupitia Familia yenu.

Mleta Mada yuko sawa sana.

Wengi wanakuambia wanajipanga, na hao wanaojipanga wanaenda kufunga Vizazi, kitu ambacho ni hatari na baadae kama ni Mtu wa bahati mbaya, hapo inaweza ikawa chanzo cha kujitia ubovu.

Hebu wewe mwenyewe fikiria, kuna baadhi ya Wasichana kuna sindano wanadungwa, na wakishadungwa hizo sindano basi ujue huyo haingii mwezini miezi mitatu au zaidi.

Sasa hujui hapo unauharibia mfumo wa mwili kutokufanya kazi kama inavyostahili?

Je, kama yakitokea matatizo ya kutokuwa na Kizazi utatafuta Mchawi?

Na wale wengine wenye tabia ya kucholopoa Mimba eti kwasababu bado hawajajipanga, sasa kama hujajipanga! Kwanini ufanye tendo la Ndoa?

Wewe kama imeshatokea, kubali matokeo na wala usiogope kushutumiwa Mtoto wa Zinaa, mara sijui hivi, mara sijui vile.

Mtoto hana kosa hata kidogo, wenye makosa ni Wazazi.

Sasa hebu jiulize, kucholopoa Mimba si sawa na kuua?

Jibu ndio, ule ni Uuaji.

Je wewe unaedai unajipanga kufikia mpaka kukiua Kiumbe, hebu jiulize?!

Kama Mzazi wako angediriki kucholopoa Mimba ya wewe,

Je wewe ungelikuwepo hapa Ulimwenguni hadi hivi sasa tunavyozungumza?

Jibu, hapana.

Kwahiyo tutafakari
 
kuna jammaa kapata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 42 kaulize elimu yake degree 2 masters 2 diploma 1 certificate 2 phd 1
Huyo jamaa hawezi furahia Mtoto wake.

Mtoto kama mjukuu!

Maisha yenyewe mafupi haya, unang'oka unawaacha Watoto wadogo hata sura ya Baba yao Watoto watakapokua hawaikumbuki.

Raha ya Mtoto kuwahi,

Mimi Mtoto wangu wa Kwanza sasa hivi ana Umri wa miaka Saba (7), hapo ni raha tupu yaani.

Baba bado Muhuni, Mtoto nae ndio anakua.

Miezi miwili nyuma (iliopita) nilikuwa nae sana, kila wakati napiga nae misele.

Yaani mimi mwenyewe naona raha, na furaha.

Sio muda mrefu, Dogo ataanza kushika shika Chuchu Walimbwende, miaka yenyewe inavyoenda hii
 
Hapa nimepitia Maoni karibia yote, na nitaanza tena ukurasa wa kwanza mpaka mwisho.

Kwa kweli nimegundua jambo.

Mleta UZI Ahsante sana
 
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.

Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.

Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza

Hapo unazungumzia walio maliza darasa la saba au vyuo vikuu? Kwa nini mnapenda penda sana kuwatisha watu, mbona wanawake wengine wanaweza kuendelea kuwa fertile mpaka umri wa miaka 55. Kumbuka kupanga ni kuchagua.
 
Tatizo maisha magumu mkuu. Mimi nilikua tayari kuzaa hata nikiwa na miaka 18 ili niwakuze wanangu nikiwa bado kijana. Maisha yamefanya watu tumegonga miaka 38 bila mke wala mtoto.
Pole sana Kiongozi.

Ila kumbuka hakuna Maisha rahisi ndugu yangu.

Ukisubiri mpaka Mambo yajipe vile unavyotaka wewe, Ndugu yangu Uzee utakukuta na hayo mambo unayoyataka hayajipi.

Kama vipi, jitose Blaza, usiogope matokeo.

Mbona Maisha yetu sisi Watanzania Asilimia kubwa ndio mwenzangu na mie.

Wewe jaribu, nakuahidi utakapopata Mtoto japo mmoja Spidi ya kutafuta itaongezeka
 
Back
Top Bottom