Bro Jay z alimpata mtoto wake akiwa na 42 yrs old kwahiyo omba mungu akunyoeshee mipango yako.katika maisha yakoJay Z alimpata mtoto wake wa kwanza Blue Ivy akiwa na miaka 36..Kanye Kwest alimpata North West akiwa na miaka 35..Obama alimpata Malia akiwa na umri wa miaka 37...mswahili mmoja ambaye hana nyuma wala mbele analete uharo wake hapo..jinga kabisa