Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.

Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.

Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza


Acha mambo ya hovyo. Undhani kila mtu anataka kuzaa haramu?
 
Post yako na uliyoyaandika inabidi utubu kwa mwenyezi Mungu sio Kila mtu hapendi kuwa na mtoto na uliyaandika yatakuja kukuhukumu hata kwa kizazi chako
 
Mbona unakwepa swali!!! Jibu wanahitimu shahada ya kwanza wakiwa na umri gani (kiwastani).

One morething - unaweza kutupatia takwimu za Mainjinia au madaktari wa kike walio weza kuchanganya mambo na kulea wototo huku wakiwa wanasoma first degree kwenye vitivyo tajwa hapo juu.
Mkuu narudia tena ,kikubwa hapa ni umri tu na sio elimu.kwa sababu elimu sijui mtu anaanza shule na umri gani,huko vyuo kuna tofauti za miaka sana,sasa ukiniambia wastani wa umri wa mtu kumaliza au kuanza stashahada nadhani ntakosa jawabu.
 
Mtoto ni zawadi toka kwa Mungu,acha kufadhaisha watu wa Mungu...inaonekana umepata mtoto hivi karibuni na hujahalalishwa wewe...
 
Watu wana mawazo ya hovyo sana,eti kujipanga,sijajua wanajipanga nini.
Mwana umepiga IKULU.

Saluti Baba ake.

Hawana mpya hao.

Wameshaua Viumbe hao kwa kisingizio cha kujipanga.

Waendelee tu kujipanga, wakishastuka Muda unakuwa umeshawatupa Mkono, yaani FAINALI.

Sasa sijui hapo watakuwa wamejipanga au WAMEJISHOKA
 
ti-salute-1402501638.jpg
 
Acha mambo ya hovyo. Undhani kila mtu anataka kuzaa haramu?
Hakuna Haramu.

Pengine unayoyafanya wewe ni Haramu zaidi ya Kiumbe ambacho unakiita Haramu.

Mtoto hana makosa hata siku moja.

Wenye makosa ni Wazazi wake wawili
 
Kweli haya mawazo ya uswahilini......uswahili wao wanasemaga tommorrow will save for itself,mwisho wa siku watt wanaishia kuimba singeli na viduku.
Na kinyume chake Watoto wanapofanikiwa hata kama wewe si Mzazi wa Mtoto, kwasababu Mtoto kafanikiwa au ana Maendeleo basi utalazimisha kusema Damu yako, eti kwakuwa Mama wa Mtoto zamani aliwahi kuwa Mpenzi wako
 
Kwahiyo kuhamasisha mtu kuzaa hata kama hawajaoa / kuolewa ni mpango wa Mungu mkuu?
Basi acha Zinaa, na Wala usithubutu kuzini.

Nikiwa na maana, usijihusishe kabisa na tendo la Ndoa.

Na usiniambie unatumia Kinga, Mpira, Zana N.K.

Nikiwa na maana tena, tendo la Ndoa ni mpaka pale utakapoOa, na kama umo kwenye Ndoa (Umeshaoa), basi usichepuke
 
Post yako na uliyoyaandika inabidi utubu kwa mwenyezi Mungu sio Kila mtu hapendi kuwa na mtoto na uliyaandika yatakuja kukuhukumu hata kwa kizazi chako
Nafikiri mnashindwa kumuelewa.

Hajawalenga wale wenye matatizo ya Uzazi/Kizazi.

Yeye amefikisha ujumbe kwa wale ambao wanaodai wanajipanga.

Na hao wa kujipanga ukiwachunguza kiundani utagundua,

Wamechangia kwa namna moja au nyingine kuUa (namaanisha ucholopoaji wa Mimba), kwa jinsia zote mbili.

Kivipi?

Kama ni Mwanamme, basi amemshawishi mwenza wake kufanya maamuzi hayo, iwe kwa kuchangia Pesa, au hata kimawazo.

Au, baada ya kumpa Ujauzito Bint wa watu kisha muhusika unakana Ujauzito, au unahama na Mji kabisa.

Na kama ni Mwanamke, amekubali kufanya uamuzi mgumu, iwe kwa kushawishiwa au kwa maamuzi yake binafsi.
 
Basi acha Zinaa, na Wala usithubutu kuzini.

Nikiwa na maana, usijihusishe kabisa na tendo la Ndoa.

Na usiniambie unatumia Kinga, Mpira, Zana N.K.

Nikiwa na maana tena, tendo la Ndoa ni mpaka pale utakapoOa, na kama umo kwenye Ndoa (Umeshaoa), basi usichepuke

Mkuu mimi sina tatizo nipo kwenye ndoa nakamua wife bila tatizo. Suala la uzinzi limenipitia mbali sana.
 
Hilo wasema wewe... Ila mm nasema hibi Usitie mtu mimba, kuua ni dhambi.
KuUa ni dhambi, umejibu vyema.

Kwahiyo wewe katika Maisha yako hujawahi kabisa kufanya tendo la Ndoa?

Naomba unijibu kwanza, ili tuendelee na mjadala
 
Mkuu mimi sina tatizo nipo kwenye ndoa nakamua wife bila tatizo. Suala la uzinzi limenipitia mbali sana.
Vizuri.

Kwahiyo hamjabahatika kupata Mtoto/Watoto?

Na mna muda gani kwenye Ndoa yenu?
 
dogo fikiri kabla ya kupost lazima ujue kila mtu ana mipango yake
 
Back
Top Bottom