Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

kuna mkorea 1tupo nae hapa ofisini siku ana miaka 26 sasa siku moja nilimuuliza unategemea lini kupata mtoto akaniambia hana huo mpango,nikamuuliza tena unategemea lini kuoa akasema hana mpango.nikamuuliza kwa nini huna hiyo mipango akaniambia kuwa na mtoto au mke kwa kwao ni gharama sana kama huna kipato cha kutosha na akanipigia hesabu mpaka huyo mtoto afike chuo kikuu itamgarimu hela kadhaa na akasema hapo bado kumhudumia mke.
kiufupi alisema maisha ni magumu sana ma hata akizaa mto to hata zidi 1
nilichojifunza ni kuwa ktk maisha kila moja ana tafsiri yake ya maisha kulingana na mtazamo wake na namna ya jinsi atakavyopats furaha.hvyo usitake kila mtu aishi kulingana na mtazamo wako.
 
Na wewe kama hujawahi kumiliki gari, pikipiki au Bajaj mpaka unafikisha miaka 27 jichunguze. Ina maana hutakuwa hata na uwezo wa kulea hao watoto unao wazaa 'hovyo hovyo'... Kila mtu ana path yake kwenye maisha. Kwa sie Wakristo dini yetu inatukataza kuzaa nje ya ndoa. So kama by 27 hujaoa au kuolewa, utazaaje zaaje ovyo?
 
Endelea kukariri, peleka wanao shule ya kata. Hongera kwa kusoma udsm. Afu inaonekana unafatilia sana maisha ya watu, ndio maana unasema ishu za kuzaa kisa unaangalia watu wengine wanaishije,umejuaje umewazidi kimaisha?
Acha uoga wewe zaa,ujana una mwisho huu,mtakuja kuitwa babu na watoto wenu jaman,
 
Acha uoga wewe zaa,ujana una mwisho huu,mtakuja kuitwa babu na watoto wenu jaman,
Hujanijibu mkuu.umejuaje umewazidi kimaisha hao uliosoma nao?seems unafatilia sana maisha ya watu, usije uza ngada tu.
 
Kama unachosema ni sahihi basi wengi tupo pabaya kwa kweli.

Nchi za wenzetu walioendelea hua wanasema "Bila tafiti hakuna ruhusa ya kuzungumza"

Sina shaka kama hujafanya tafiti ya ulichozungumza. Shaka yangu ni moja tuu, Je, umefanya tafiti ya hicho ulichosema ????
Na je wale waliopata watoto wao wakiwa na zaidi ya miaka 27 inakuaje ??
Mh.Reginald Mengi amepata watoto mapacha akiwa na 50 yrs plus,
Ndugu zetu wa mitaani waliochelewa kupata watoto baada ya ndoa nao vipi ??
Waliooana mapema ktk ujana wao angali na miaka 24-25 tu lakini hawakupata watoto ndani ya ndoa kwa zaidi ya miaka mitatu mpaka mitano Je ??
Wasomi wengi huchelewa kuoa, wengi wao huoa na umri wa miaka 30, lakini hakuna tafiti inayooanisha mojakwamoja kati ya wasomi na ukosefu wa watoto. Je ??

Tunahitaji tafiti madhubuti kabla ya kuamini falsafa yako hii, vinginevyo tunaomba mtizamo wa kitaalamu wa wataalam wa Afya ktk hiutli.
ni tanzania peke yake ndio inaona mtu aliezidi miaka 30 hana uwezo wa kuzaa wenzetu hata wakioana miaka 27 or 25 wayakaa hata miaka 10 ndipo waanze kuzaa jiulize watakuwa na umri gani tuacheni ujinga tutafute hela na maisha yawe strong ndipo tutafute watoto ili wapate haki zao za msingi.
 
Tatizo maisha magumu mkuu. Mimi nilikua tayari kuzaa hata nikiwa na miaka 18 ili niwakuze wanangu nikiwa bado kijana. Maisha yamefanya watu tumegonga miaka 38 bila mke wala mtoto.
Nijuavyo maisha si hoja!! Ukiishaoa riziki itakuja tu. Otomatical
Ukisema unasubiri maisha yawe mazuri utasubiri saaana
Lakini pia ukiachana na hayo baba na mama yako angelisema asubiri mambo yawe supa ungekuwapo hapa Duniani?
Sasa ni muda wako Sasa kuwalipa wazazi wako wajukuu!!
 
Nijuavyo maisha si hoja!! Ukiishaoa riziki itakuja tu. Otomatical
Ukisema unasubiri maisha yawe mazuri utasubiri saaana
Lakini pia ukiachana na hayo baba na mama yako angelisema asubiri mambo yawe supa ungekuwapo hapa Duniani?
Sasa ni muda wako Sasa kuwalipa wazazi wako wajukuu!!
Mkuu maisha yamebadilika,hatuwezi ishi kama wazazi wetu walivyoishi,mimi binafsi nimesomeshwa kwa shida sana na shule zisizo standard,sitaki wanangu wapitie nilipopitia mimi. Au ndio nyie koz ulisoma shule ya kata basi mwanao naye asome ya kata?anyway uamuzi ni wako kuchagua maisha gani uyatakayo.
 
Mkuu maisha yamebadilika,hatuwezi ishi kama wazazi wetu walivyoishi,mimi binafsi nimesomeshwa kwa shida sana na shule zisizo standard,sitaki wanangu wapitie nilipopitia mimi. Au ndio nyie koz ulisoma shule ya kata basi mwanao naye asome ya kata?anyway uamuzi ni wako kuchagua maisha gani uyatakayo.
Aiseee kazi ipo kwa namna hii,huo ni uoga wa majukumu kabisa,ok mkuu subiri kuitwa babu na mwanao,kama kuzaa kunhitaji hadi uwe na mamilion basi sawa endelea,mi nijuavyo kulea wala haihitaji mamilioniii
 
27 mingi... nimepata nikiwa na 17 asa hivi like father like daughter
 
Mtoa mada umekunywa viroba ndio ukaongea maneno hayo. Wewe oa ukiwa na 27 mi ntaoa nkiwa na 30 alafu wewr ukiwa busy unatafta ada ya mtoto mi nadeal na my wife wako
 
Acha uoga wa maisha,hata wazazi wetu wangeogopa kuzaa eti kisa wanajipanga basi amini leo hii tusingezaliwa sisi,mi wazazi wangu ni masikini lakini wamenielea na kunisomesha na leo nina maisha yangu
Usiseme wazazi wetu sema mzazi wako... Mimi baba yangu alinizaa akiwa na 30+
 
Jay Z alimpata mtoto wake wa kwanza Blue Ivy akiwa na miaka 36..Kanye Kwest alimpata North West akiwa na miaka 35..Obama alimpata Malia akiwa na umri wa miaka 37...mswahili mmoja ambaye hana nyuma wala mbele analete uharo wake hapo..jinga kabisa
 
Mkuu lazima ufahamu kwamba kila mtu has gotten his own perspective juu ya maisha, na through hiyo perspective ndipo anapoendesha maisha yake.
Hiyo moja, lakini pili unachoamini wewe kuwa ndio purpose of human life na source of happiness to human life sio lazima na wengine waamini hivyo.
Tatu, kuna issue ya being endowed naturally, kwa maana ya kwamba kuna baadhi ya watu hukosa vizazi, je nao wayachukie maisha kwa sababu wanashindwa kuzaa kipindi watakacho wao?
KUNA WATU WANGAPI WAMEZAA MAPEMA, LAKINI BADO WAKO NA MISERABLE LIFE, LAKINI HAPO HAPO WAPO WATU NI AGED NA HAWANA HAO WATOTO/WANAO KATIKA UMRI MKUBWA STILL WAKO HAPPY WITH THEIR LIFE?

Maisha ni jinsi unavyoyataza tu, has gotten nothing with its events.
Kweli Mkuu, kuna watu walizaa tangu wakiwa na miaka 18. Wakiwa na miaka 30 wakawa na lundo la watoto. Bahati mbaya mungu akawachukua wrote na ktk umri wa miaka 40 ni kana kwamba hawajawahi kuzaa. Kwahiyo mtu aachwe afanye yake kadiri alivyojaaliwa na mungu
 
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata Na woto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.

Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.

Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza
Wamepinga sana bandiko lako ila ukwel upotena sana mfano celebrity hawa yaaan ni wanapoteza....wagumu wa kufikiria watakuja na
 
mtoa mada amekumbwa na mawazo ya mtaani. katika fikra zangu nikawa najua kati ya mitandao ya kijamii yenye watu wenye weledi wa kuchambua mambo ni jamii forum na twitter kumbe si wote wenye critical thinking ability kumbe.
 
Back
Top Bottom