Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,607
Mkuu na huyu ni kweli wa uswahili tena uswahilini ya kuzaliwa nayo kabisaaaaTatizo la watu wa uswahilini na mawazo yao.
Mkuu na huyu ni kweli wa uswahili tena uswahilini ya kuzaliwa nayo kabisaaaaTatizo la watu wa uswahilini na mawazo yao.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀...hivi hiyo shule ya kipingu ukiacha mambo ya michezo,performance yao kielimu ikoje?
Maisha hayana formula ndugu..kila mtu na alivyoamua kuishi.Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.
Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.
Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza![]()
![]()
![]()
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.
Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.
Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza![]()
![]()
![]()
Zaa wewe acha uoga,ndio nyie mnazaa bila uzazi wa mpango kwa sababu ya kuchelewa kuzaaMkuu na huyu ni kweli wa uswahili tena uswahilini ya kuzaliwa nayo kabisaaaa
Zaa wewe acha uoga,ndio nyie mnazaa bila uzazi wa mpango kwa sababu ya kuchelewa kuzaaMkuu na huyu ni kweli wa uswahili tena uswahilini ya kuzaliwa nayo kabisaaaa
Mkuu maisha ya sasa ni mafupi sana,kuchelewa kuzaa utakuja umuache mtoto yatima,nyie ndio mnaacha watoto yatima kabisaKila mtu ana mipango yake mkuu humu duniani na wingi wa miaka sio kigezo cha kukufanya uwe na mtoto. Umuhimu wa mtu hauthaminiki kwenye jamii etii sababu tuu una mtoto au laa. kuna watu wamewahi kuzaa lakini watoto wao wanaishi kama yatima. Everyone can be a father but it takes someone special to be a daddy and vice versa is true
Na wewe ni muathirika bila shakaKabla ya kutoa post huwe unajiuliza kwanza. Eboh
Endelea kukariri, peleka wanao shule ya kata. Hongera kwa kusoma udsm. Afu inaonekana unafatilia sana maisha ya watu, ndio maana unasema ishu za kuzaa kisa unaangalia watu wengine wanaishije,umejuaje umewazidi kimaisha?Mkuu mimi sijasoma international school ila waliosoma international school tulionana wote pale Udsm chuo na wote tunafanya kazi na wengine nimewazidi maisha kabisa
Nadhani huelewi unachokisema ndugu kila mtu ana maisha yake na plan zake .Let me tell i have one of my friend kazaa two kids on her 40 and she has money analea bila stress mana ashavuna na vya wajukuu so watoto wanakua kilain hata akisepa.You cant gurantee life only God.Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una mataso u tizo ya kizazi.
Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.
Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza![]()
![]()
![]()
Maneno kuntu kabisaWaafrika tuna safari ndefu saana kiuelewa. Unahisi kuwa na legacy ni kupata watoto wengi? Hakika ni hapana!!
Leo hii Mwl Nyerere ameacha legacy sio kwa kuwa na watoto wengi akina Makongoro!? La hasha!! Legacy ya Mwl Nyerere imetokana na kutukomboa Watanganyika na si watoto wake.
Hivyo katika maisha cha muhimu ni kufanya jambo zuri na la thamani ili legacy iwe ya kutukuka na sio kutuletea watoto wengi ambao ni kariba ya Le mutuz.
Imbecillic!!
Kweli kabisa 110%Ndio maana mnazaa watoto wanaishia kuzagaa mitaani na mkiwapeleka shule basi zile za kidumu mkononi,1st born wangu nilikua na 30 years nilikua na uhakika wa kumlea katika njia sahihi ingawa wadogo zangu walinitangulia ila niliweka malengo mtoto aje anikute nimefanya ABC's sio nisake mtoto kisa umri.
Pata mtoto ukiwa na miaka 18 na mimi 30 ila muhimu wapate malezi bora sioni sababu ya kukimbizana kama wataishia mtaani tu,kwa wale ambao wanahisi wamechelewa fanyeni vitu kwa mipango siku hizi hakuna zile za mtoto kulelewa na babu na bibi au ba'mdogo lazima tujipange hakuna haja ya kuwasikiliza haw wanaowaaminisha eti lazima mtoto aje ukiwa umri fulani.