Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

Wengine hawana vizazi.. siyo makusudi yao..
Swadaktaa, hilo linafahamika.

Kinachozungumziwa hapa, ni wale wa kusema wanajipanga.

Maisha sio kujipanga, ndio uje kupata Mtoto.

Wapo wengi wanaojipanga, na Mambo hayawaendei vile watakavyo.

Unaweza ukawa una mipango, na Pesa japo tu ya kujikidhi mahitaji yako ikawa inakusumbua vilevile.

Sasa hapo unajipanga nini?
 
Mkuu lazima ufahamu kwamba kila mtu has gotten his own perspective juu ya maisha, na through hiyo perspective ndipo anapoendesha maisha yake.
Hiyo moja, lakini pili unachoamini wewe kuwa ndio purpose of human life na source of happiness to human life sio lazima na wengine waamini hivyo
Suala sio kuaminishana, wala kulazimishana.

Suala ni kwamba, haipendezi Umri unakutupa mkono halafu huna Mtoto/Watoto (naweka pembeni, wale wenye Matatizo ya Kizazi) na naomba waniwie radhi ikiwa kama najeruhi Hisia zao. Mada inawalenga wale Watu wa kujipanga

Tatu, kuna issue ya being endowed naturally, kwa maana ya kwamba kuna baadhi ya watu hukosa vizazi, je nao wayachukie maisha kwa sababu wanashindwa kuzaa kipindi watakacho wao?
Hawa wenye matatizo ya kizazi inaeleweka, na wala si walengwa kwenye hii mada

KUNA WATU WANGAPI WAMEZAA MAPEMA, LAKINI BADO WAKO NA MISERABLE LIFE,
Ha wapi.

Wengi wanakuwa Watu wa kuchukulia Poa

LAKINI HAPO HAPO WAPO WATU NI AGED NA HAWANA HAO WATOTO/WANAO KATIKA UMRI MKUBWA STILL WAKO HAPPY WITH THEIR LIFE?
Kuna kitu wanakikosa ila wewe huwezi jua yaliyomo moyoni mwao.

Kwa nje wanaweza onekana kama wanayafurahia Maisha yao vile.

Lakini ukweli ni kwamba kuna kitu kimepungua.

Kuwa na kila kitu unachokitaka wewe hapa Ulimwenguni, pungufu iwe Mtoto au Watoto lazima ukose raha na Amani.

Wewe unafikiri wale wanaojitolea kuwachukua Watoto wasio wa kwao na kuwalea inatokana na nini?

Na wale wanaoiba Watoto wa Watu na kuwafanya wa kwao, unafikiri inatokana na nini?

Asikudanganye Mtu, Mtoto/Watoto ni kila kitu
 
Hapa nimepitia Maoni karibia yote, na nitaanza tena ukurasa wa kwanza mpaka mwisho.

Kwa kweli nimegundua jambo.

Mleta UZI Ahsante sana
Watu wana mawazo ya hovyo sana,eti kujipanga,sijajua wanajipanga nini.
 
Hatukurupuki kijana watch out your .!
Uoga wenu tu,mbona mi nilizaa nikiwa sina kazi na mtt nilimlea vizuri na anasoma international school?.na sasa watoto watatu na wote wanaishi kwa raha,baba yao bado ningali kijana kabisa hadi raha nikiwa nao,na sijaajiliwa bali nimejiajili na pesa za kujiajili nilizipata after kuwa na watoto.mnajipanga kitu gani kwani?.maana sielewi,
 
Hapo unazungumzia walio maliza darasa la saba au vyuo vikuu? Kwa nini mnapenda penda sana kuwatisha watu, mbona wanawake wengine wanaweza kuendelea kuwa fertile mpaka umri wa miaka 55. Kumbuka kupanga ni kuchagua.
Mkuu sio kila mtu anafanikiwa kusoma.kuna watu hawajasoma na wana maisha safi.kwa hiyo ninachokwambia achana na mambo ya darasa.hapa nazungumzia umri,maana maisha ni mafupi.watu wenyewe wanywa soda,chipsi mayai,n.k huwezi kuishi miaka mingi.zaeni mapema
 
..najua unataka upate wachangiaji wengi,..kwangu masters ndio 1st priority then Ndoa mwisho mtoto..
Hao wenye masters asilimia 99 wana familia.sasa wewe sijui unaongelea nini hapa.zaa wewe acha uoga wa maishA
 
Dunia haswa Afrika imesha jaa!...ndio maana mnaambiwa mkome kuzaa zaa hovyo kama panya hamsikii mlivyo miafrika yeneye vichwa vigumu!
Mwishowe mnashindwa hata kujilisha,ukosefu wa madaktari,ardhi,makazi,lishe bora,usafi,vyoo,elimu,kazi na kadhalika.
Mnaishia kupakiana kwenye matumbwi mkijaribu kuzamia Uropa kwa wenzenyu waliojipanga,huku mkizama baharini,kila siku mkikamatwa baharini kwa aibu.(Africans ,Arabs,Asians).
Mnaudhi sana, suluhu ni kama vile beberu anavyowatandika fimbo tu za EBOLA,ZIKKA,UKIMWI NA VITA KILA KUKICHA ilmradi tu mpungue angalau,kwasababu haitotokea mweusi au mwarabu/masia kutia akili hivi karibuni!
Ni kwa nini msijipange kulingana na uwezo wenyu pamoja na idadi?
Ujinga wenyu hauna tiba.

Vizazi vya kipumbavu!
 
Weye wenzako wazungu wanawaza watakavyo kwenda sayari nyingine vile wakaongeze ardhi/makao na maliasili, weye unawaza ngono,mziki,chakula na kuzaliana tu.
Ni kipi kitakachowazuia wazungu kuwatawala tena kama watumwa wao mpangilio wa ulimwengu ukivunjika?
Leo hii mnaweza kujilinda kwa uwezo upi mlio nao?.
Mnaudhi sana, suluhu ni kama vile beberu anavyowatandika fimbo tu za EBOLA,ZIKKA,UKIMWI NA VITA KILA KUKICHA ilmradi tu mpungue angalau,kwasababu haitotokea mweusi au mwarabu/masia kutia akili hivi karibuni!
Ni kwa nini msijipange kulingana na uwezo wenyu pamoja na idadi?
Ujinga wenyu hauna tiba.

Vizazi vya kipumbavu!
 
Mkuu sio kila mtu anafanikiwa kusoma.kuna watu hawajasoma na wana maisha safi.kwa hiyo ninachokwambia achana na mambo ya darasa.hapa nazungumzia umri,maana maisha ni mafupi.watu wenyewe wanywa soda,chipsi mayai,n.k huwezi kuishi miaka mingi.zaeni mapema

Ni hivi: Msichana au Mvulana mpaka amalize shahada yake ya kwanza wanakuwa na Umri gani (average) tuchukulie wanao somea Engineering na Udkitari - labda tuanzie hapo.
 
Kila mtu hua anamipango yake ya kimaisha so kuzaa kwa fshion ni mambo ya kizamani huu uzi umelegeaa kidgo
 
Tatizo maisha magumu mkuu. Mimi nilikua tayari kuzaa hata nikiwa na miaka 18 ili niwakuze wanangu nikiwa bado kijana. Maisha yamefanya watu tumegonga miaka 38 bila mke wala mtoto.
Ni kujiendekeza tu, kupanga ni kuchagua. Nafurahi kumwona mwanangu akiwa 20yrs wakati mi niko 40+ yrs.
 
Ni hivi: Msichana au Mvulana mpaka amalize shahada yake ya kwanza wanakuwa na Umri gani (average) tuchukulie wanao somea Engineering na Udkitari - labda tuanzie hapo.
Mkuu si kila mtu anasoma,,mbona pia ninao malafiki zangu ambao walipata watoto wakiwa vyuo? Na walisoma hizo kozi unazozisema wewe? Hapa tunaangalia umri na wala si elimu,ebooo
 
kwaniiiii....kua na mtoto ni lazima??????
 
Mkuu si kila mtu anasoma,,mbona pia ninao malafiki zangu ambao walipata watoto wakiwa vyuo? Na walisoma hizo kozi unazozisema wewe? Hapa tunaangalia umri na wala si elimu,ebooo

Mbona unakwepa swali!!! Jibu wanahitimu shahada ya kwanza wakiwa na umri gani (kiwastani).

One morething - unaweza kutupatia takwimu za Mainjinia au madaktari wa kike walio weza kuchanganya mambo na kulea wototo huku wakiwa wanasoma first degree kwenye vitivyo tajwa hapo juu.
 
Zaa wewe acha uoga,utaitwa babu na wanao,mtu una miaka 40 mtoto wa kwanza ndio ana miaka mitano,ujinga na uoga wa maisha huo,hata wazazi wetu wangesubiri kujipanga basi tusingezaliwa
Kweli haya mawazo ya uswahilini......uswahili wao wanasemaga tommorrow will save for itself,mwisho wa siku watt wanaishia kuimba singeli na viduku.
 
Back
Top Bottom