Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.

Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.

Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza
...Mkuu, Usizae tu eti uonekane kuwa una mtoto kabla ya miaka 27!
Ni medali ya Dhabu!

Jitizame kwanza. Hao Malaika unawaingiza daniani una Cha Kuwalisha? Una cha Kuwavalisha? Una Makazi ya Kuwaweka?
Usilete tu Watoto Duniani eti uonekane tu kwamba Umezaa mtoto kabla miaka 27, halafu unaishia kutujazia Chokoraa mitaani!!
Anyway, Why not kabla ya 31, if it is just choosing numbers? Why not Kabla ya 41? Or even 25?
 
Back
Top Bottom