steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 9,573
- 10,278
SauwaaMkuu haya ni masuala ya kisheria na sio mtazamo wa nje. Nadhani kwa kuwa ni la kisheria ungepata mwongozo wa kisheria.
SauwaaMkuu haya ni masuala ya kisheria na sio mtazamo wa nje. Nadhani kwa kuwa ni la kisheria ungepata mwongozo wa kisheria.
Nilikuwa nafanyakazi kama kawaida likija swala performance walikuwa wananipa daraja baya kwa makusudi na pale nilipokuwa nafuatilia kwa nini nimepewa daraja baya waliohusi walikuwa hawanipi majibu kwani ushahiji wa utendaji wangu nilikuwa naendanao ktk majadiliano mwisho kikao kinaisha hawana majibu.Hebu funguka kidogo, ilikuwaje? Sasa ukienda kazini halafu hupangiwi majukumu ya kazi si ni jambo la heri tu! Unatumia muda huo kwa mambo mengine!
Muhimu mshahara unaingia mwisho wa mwezi.
Sheria ni msumeno MkuKazi uache mwenyewe,na katika mazingira hayo magumu mshahara nilikuwa nakulipa bila wasiwasi halafu nikulipe fidia ya 130 milioni???
Sasa hapo huyo Hakimu alishindwaje kutoa maamuzi wakati kazi umeacha mwenyewe sijakusitishia mkataba?
Sisi wangoni tunalitamka TUDAKU yaani tumatako tudogo au kajiwowowoMfano kabila gani!?
Sisi wangoni tunalitamka TUDAKU yaani tumatako tudogo au kajiwowowo
Tumaini University Dar Es Salaam College (TUDARCo)Haya majina kabla hayajafupishwa ni vema yakafanyiwa utafiti yana akisi nini, kuna baadhi ya makabila huwezi kutamka neno hilo hadharani.
Kuna wengine frustration za ndoa zao wanazipeleja ofisini shwaini sanaHii hapa anafanya sana mama mmoja ambaye ni Karmtibu Mtendaji wa Taasisi moja ya Uwezeshaji chini ya Ofisi ya Wazuri Mkuu. Huyu Karibu Mtendaji akiona wewe ni mwiba anaku frustrate mpaka uone kazi chungu. Yaaani toka aingie kwenye hiyo taasisi miaka 6 iliyopita ametesa sana watumishi. Wengi walijiondokea kimya kimya kwa kuomba uhamisho wenyewe kutoka Utumishi. Kuna ambaye bado hajafanikiwa kupata uhamisho hivyo anateseka mno maana kazi hampi.
Huyu mama alimnyanyasa sana ndugu yangu mpaka Karibu apate mental tukamshauri aache kazi. Lakini alivyokuwa na Mungu akamtoa pale. Sote kwenye familia tulifurahia sana na kumshukuru Mungu. Yaani kifupi tuiitana tukamshukuru Mungu.
Ila tunakujua Malipo ni hapa hapa DUNIANI. Ipo siku kama hayatamkuta huyo Mtendaji lakini yatakikuta kizazi chake.
Ametesa sana watu na inaelekea ndiyo tabia tmyake maana hata huko alikokuwa anafanya kazi kabla alitesa sana wale watumishi waliogusa maslahi yake.
Serikali iwe inachunguza sana taasisi zake kuna viongozi ambao hawafai kabisa.
Ninashukuru Mungu niliamua kujiajiri miaka mingi maana viongozi kama hao nisingewavumilia kabisa.
Waachie wanasheria hujui kitu utachekwa bureKazi uache mwenyewe,na katika mazingira hayo magumu mshahara nilikuwa nakulipa bila wasiwasi halafu nikulipe fidia ya 130 milioni???
Sasa hapo huyo Hakimu alishindwaje kutoa maamuzi wakati kazi umeacha mwenyewe sijakusitishia mkataba?
Sawa mwanasheriaWaachie wanasheria hujui kitu utachekwa bure
Forced termination hiyo inaitwa
Pole sana mkuuMimi nilifanyiwa mambo hayo ili niache kazi mwenyewe mwisho wakanipa redundancy.
Pia swala langu lipo CMA, Ila kwa sasa namtafuta mwanasaikolojia ili anisaidie juu madhara niliyoyapata kutokana madhila ya hiyo Kampuni
Mtu wa aina hii mnampeleka kwenye mahakama za kiroho tu, huku kwingine mtahangaika sana.Hii hapa anafanya sana mama mmoja ambaye ni Karmtibu Mtendaji wa Taasisi moja ya Uwezeshaji chini ya Ofisi ya Wazuri Mkuu. Huyu Karibu Mtendaji akiona wewe ni mwiba anaku frustrate mpaka uone kazi chungu. Yaaani toka aingie kwenye hiyo taasisi miaka 6 iliyopita ametesa sana watumishi. Wengi walijiondokea kimya kimya kwa kuomba uhamisho wenyewe kutoka Utumishi. Kuna ambaye bado hajafanikiwa kupata uhamisho hivyo anateseka mno maana kazi hampi.
Huyu mama alimnyanyasa sana ndugu yangu mpaka Karibu apate mental tukamshauri aache kazi. Lakini alivyokuwa na Mungu akamtoa pale. Sote kwenye familia tulifurahia sana na kumshukuru Mungu. Yaani kifupi tuiitana tukamshukuru Mungu.
Ila tunakujua Malipo ni hapa hapa DUNIANI. Ipo siku kama hayatamkuta huyo Mtendaji lakini yatakikuta kizazi chake.
Ametesa sana watu na inaelekea ndiyo tabia tmyake maana hata huko alikokuwa anafanya kazi kabla alitesa sana wale watumishi waliogusa maslahi yake.
Serikali iwe inachunguza sana taasisi zake kuna viongozi ambao hawafai kabisa.
Ninashukuru Mungu niliamua kujiajiri miaka mingi maana viongozi kama hao nisingewavumilia kabisa.
Asante sana MkuPole sana mkuu
Nimeona MTU anaitwa Amon Nguma nikashangaa sana hilo jina wangoni sijui itakuajeSisi wangoni tunalitamka TUDAKU yaani tumatako tudogo au kajiwowowo