Mhadhiri TUDARCo ashtaki na Kudai fidia kwa kutengenezewa mazingira magumu ili aache kazi

Hebu funguka kidogo, ilikuwaje? Sasa ukienda kazini halafu hupangiwi majukumu ya kazi si ni jambo la heri tu! Unatumia muda huo kwa mambo mengine!

Muhimu mshahara unaingia mwisho wa mwezi.
Nilikuwa nafanyakazi kama kawaida likija swala performance walikuwa wananipa daraja baya kwa makusudi na pale nilipokuwa nafuatilia kwa nini nimepewa daraja baya waliohusi walikuwa hawanipi majibu kwani ushahiji wa utendaji wangu nilikuwa naendanao ktk majadiliano mwisho kikao kinaisha hawana majibu.
Wakawa wananihaidi kunibadilishia daraja pasipo kutekeleza kwa muda mrefu mwisho ndo wakanipa redundancy.
 
Kazi uache mwenyewe,na katika mazingira hayo magumu mshahara nilikuwa nakulipa bila wasiwasi halafu nikulipe fidia ya 130 milioni???

Sasa hapo huyo Hakimu alishindwaje kutoa maamuzi wakati kazi umeacha mwenyewe sijakusitishia mkataba?
Sheria ni msumeno Mku
 
Haya majina kabla hayajafupishwa ni vema yakafanyiwa utafiti yana akisi nini, kuna baadhi ya makabila huwezi kutamka neno hilo hadharani.
Tumaini University Dar Es Salaam College (TUDARCo)
 
Hii hapa anafanya sana mama mmoja ambaye ni Karmtibu Mtendaji wa Taasisi moja ya Uwezeshaji chini ya Ofisi ya Wazuri Mkuu. Huyu Karibu Mtendaji akiona wewe ni mwiba anaku frustrate mpaka uone kazi chungu. Yaaani toka aingie kwenye hiyo taasisi miaka 6 iliyopita ametesa sana watumishi. Wengi walijiondokea kimya kimya kwa kuomba uhamisho wenyewe kutoka Utumishi. Kuna ambaye bado hajafanikiwa kupata uhamisho hivyo anateseka mno maana kazi hampi.

Huyu mama alimnyanyasa sana ndugu yangu mpaka Karibu apate mental tukamshauri aache kazi. Lakini alivyokuwa na Mungu akamtoa pale. Sote kwenye familia tulifurahia sana na kumshukuru Mungu. Yaani kifupi tuiitana tukamshukuru Mungu.

Ila tunakujua Malipo ni hapa hapa DUNIANI. Ipo siku kama hayatamkuta huyo Mtendaji lakini yatakikuta kizazi chake.

Ametesa sana watu na inaelekea ndiyo tabia tmyake maana hata huko alikokuwa anafanya kazi kabla alitesa sana wale watumishi waliogusa maslahi yake.

Serikali iwe inachunguza sana taasisi zake kuna viongozi ambao hawafai kabisa.
Ninashukuru Mungu niliamua kujiajiri miaka mingi maana viongozi kama hao nisingewavumilia kabisa.
Kuna wengine frustration za ndoa zao wanazipeleja ofisini shwaini sana

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kazi uache mwenyewe,na katika mazingira hayo magumu mshahara nilikuwa nakulipa bila wasiwasi halafu nikulipe fidia ya 130 milioni???

Sasa hapo huyo Hakimu alishindwaje kutoa maamuzi wakati kazi umeacha mwenyewe sijakusitishia mkataba?
Waachie wanasheria hujui kitu utachekwa bure
Forced termination hiyo inaitwa
 
Mimi nilifanyiwa mambo hayo ili niache kazi mwenyewe mwisho wakanipa redundancy.

Pia swala langu lipo CMA, Ila kwa sasa namtafuta mwanasaikolojia ili anisaidie juu madhara niliyoyapata kutokana madhila ya hiyo Kampuni
Pole sana mkuu
 
Hii hapa anafanya sana mama mmoja ambaye ni Karmtibu Mtendaji wa Taasisi moja ya Uwezeshaji chini ya Ofisi ya Wazuri Mkuu. Huyu Karibu Mtendaji akiona wewe ni mwiba anaku frustrate mpaka uone kazi chungu. Yaaani toka aingie kwenye hiyo taasisi miaka 6 iliyopita ametesa sana watumishi. Wengi walijiondokea kimya kimya kwa kuomba uhamisho wenyewe kutoka Utumishi. Kuna ambaye bado hajafanikiwa kupata uhamisho hivyo anateseka mno maana kazi hampi.

Huyu mama alimnyanyasa sana ndugu yangu mpaka Karibu apate mental tukamshauri aache kazi. Lakini alivyokuwa na Mungu akamtoa pale. Sote kwenye familia tulifurahia sana na kumshukuru Mungu. Yaani kifupi tuiitana tukamshukuru Mungu.

Ila tunakujua Malipo ni hapa hapa DUNIANI. Ipo siku kama hayatamkuta huyo Mtendaji lakini yatakikuta kizazi chake.

Ametesa sana watu na inaelekea ndiyo tabia tmyake maana hata huko alikokuwa anafanya kazi kabla alitesa sana wale watumishi waliogusa maslahi yake.

Serikali iwe inachunguza sana taasisi zake kuna viongozi ambao hawafai kabisa.
Ninashukuru Mungu niliamua kujiajiri miaka mingi maana viongozi kama hao nisingewavumilia kabisa.
Mtu wa aina hii mnampeleka kwenye mahakama za kiroho tu, huku kwingine mtahangaika sana.
 
Badala ya kufikiria namna ya kuanzisha Law Firm yake na kuajiri yeye analalamikia kuajiriwa!! Hakika dunia ina vituko sana! Angeitumia hio kama fursa nzuri ya kuendesha maisha yake ambayo watoto wake wangekula hadi mwisho
 
Usikute mhadhiri alipangiwa kufundisha modules za mathematics na physics wakati yeye ni mwanasheria
 
Ukiona MTU anakuharibia ugali wako kazini bila sababu mpeleke kwa babu tuuu kazi ni ndogo sana !!! Ataingia chini ya Sem traller mwenyewe na Subaru forester alilokopa !!! Mamaeee kama bwai na iwe bwai tuuu !!! Tusichoshane maisha yenyewe mafupi
 
Back
Top Bottom