Mh. Rais, mpandishe cheo askari huyu kwa uthubutu wake

Mh. Rais, mpandishe cheo askari huyu kwa uthubutu wake

Kweli kabisa wanafanya kazi kubwa sana ya kuteka watetezi wa haki za binaadam
Hivi nyie huyo jamaa kila siku mnaambiwa yupo polisi anahojiea swara lakutekwa linatoka wapi??? Watu km hawa wapo wengi sana.
 
hebu tone hiyo clip...

mi naskiaga tu watu mkisema kuna clip zinasambaa sjui voice record ila kwakweli hazinifikiagi kbsa,nyie mnazipataje? ebu namm nifundshen chakufanya nisipitwe.

hiyo clip sijaiona mkuu,nifanyie wepesi....
Huna connection CONTROLA 😅😅
 
Kubwa sana...kama askari watatu wawili bwana matumbo kama drum walishindwa kumdhibiti mtu Mmoja asiye na silaha mpaka wakampiga Kitano cha bunduki kichwani...kweli walifanya Kazi kubwa sana
Kupigwa vile alipigwa ili wamtulize
Naona wewe unaponda ila ww Ungekuwa hapo usngefanga kitu bora Hao wenye vitambi wameweza

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao inayoonyesha askari wakimwokoa mtoto toka mikononi mwa mzazi wake aliyedhamilia kumdhuru.

Wanao onekana ni askari wengi, lakini kuna askari mmoja mwenye uthubutu aliyetumia weledi mkubwa kumrukia mtuhumiwa ndiyo nashauri mamlaka zimpandishe cheo.

Amefanya kazi kubwa ya kuokoa maisha ya mtoto aliyetakiwa kukatishwa maisha yake, .
Kwa kweli alijitoa mhanga, kama kazi yake inavyotaka

Mh. Rais atakuwa ameona tukio nzima, Kwa kweli askari wetu wanachapa kazi sana, hata wanao wabeza wanakosea sana
Hiyo ndiyo kazi yake. Yaani daktari akifanikisha uperesheni apewe Cheo?Acheni ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupigwa vile alipigwa ili wamtulize
Naona wewe unaponda ila ww Ungekuwa hapo usngefanga kitu bora Hao wenye vitambi wameweza

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app


Hamna kitu pale Mkuu...na kisheria askari haruhusiwi kumpiga mtu kichwani.....yule Jamaa angekufa pale yule askari angefunguliwa kesi ya murder...kuna sehemu askari anaruhusiwa kumpiga mtu ili akose nguvu na aweze amdhibiti...na kama umeangalia clip vzuri hakukuwa na haja ya yule askari kumpiga jamaa kitako cha kichwa, walikuwa wameshamdhibiti kwa kiasi Fulani...ingekuwa nchi za watu yule askari angeshtakiwa...Mkuu acha kushabikia vitu Vya kijinga...au na wewe ni mjeda nini???
 
Back
Top Bottom