Mh. Rais, mpandishe cheo askari huyu kwa uthubutu wake

Mh. Rais, mpandishe cheo askari huyu kwa uthubutu wake

Hiyo ndiyo kazi yake. Yaani daktari akifanikisha uperesheni apewe Cheo?Acheni ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nawashangaa hawa Jamaa eti shujaa....shujaa Gani Kwenye Kazi yako???...shujaa alikuwa yule raia muhamiaji aliyemuokoa Mtoto aliyekuwa ananing'inia gorofani kule ufaransa...ndo maana rais wa France akamwita ikulu na kumpa uraia wa France na Kazi Kwenye kitengo cha uokoaji kama sijakosea...
 
ibesa mau,

Mkuu sihoji juu ya uthubutu na utu Wema wa yule askari kitu nitakachohoji ni

1. Umesema yule baba alikuwa Anataka kumdhuru yuke Mtoto, una uhakika na hilo...Je vyombo Vya usalama vimeshathibitisha kuwa yule baba alitaka kumdhuru yule Mtoto.???

2. Amefanya kazi kubwa ya kuokoa maisha ya mtoto aliyetakiwa kukatishwa maisha yake,...Huu ni uzandiki na uzabizabina maana huna uhakika na unachosema n yule mzee sikuona jitihada zozote za kukatisha uhai wa yule mtoto..zaidi tu alikuwa anawakwepa askari wasimchukue yule Mtoto. Mkuu acha mamlaka zinazohusika zishughulikie lile tukio na majibu ya uhakika tunaweza kuyapata...tuache speculations za kizandiki.
Mama wa mtoto amekiri kuna uhalifu ulitaka kufanyika. Wewe ni nani hata ukane? Halafu katika hali ya kawaida, unawezaje kuwa na nia nzuri halafu uwakimbie askari kwakuingua kwenye maji tna ukiwa na mtoto mdogo ambaye kwa maelezo ya mama mzazi wa mtoto anadai hawana kawaida ya kwenda kuogelea?

Uhalifu Gani huo maana nimemsikiliza mama Mtoto pia...(kuwa baba alitaka kumuua Mtoto wake kama mtoa Nada anavyosema???)

Kuwakimbia askari....Je kama alipanick akaona njia bora ni kukimbia???

Hoja yangu ulikuwa kupinga kile ambacho Mleta mada aliconfirm wakati sio sahihi...yule baba alitaka kumuua Mtoto wake???hilo sio kweli...alikuwa na nia ya kumdhuru???sio kweli pia maana angekuwa na nia hyo kwa vile Mtoto hajui kuogelea (kwa Maelezo yako) basi baba angemtupa Kwenye maji ajifie huko...lakini uliona muda wote baba alikuwa ameng'ang'ania Mtoto..Sasa hyo nia mbaya ya baba kwa Mtoto iko Wapi hapa..???
 
Hamna kitu pale Mkuu...na kisheria askari haruhusiwi kumpiga mtu kichwani.....yule Jamaa angekufa pale yule askari angefunguliwa kesi ya murder...kuna sehemu askari anaruhusiwa kumpiga mtu ili akose nguvu na aweze amdhibiti...na kama umeangalia clip vzuri hakukuwa na haja ya yule askari kumpiga jamaa kitako cha kichwa, walikuwa wameshamdhibiti kwa kiasi Fulani...ingekuwa nchi za watu yule askari angeshtakiwa...Mkuu acha kushabikia vitu Vya kijinga...au na wewe ni mjeda nini???
Kulikuwa hkuna namna
Angemuua mtoto

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa hawa Jamaa eti shujaa....shujaa Gani Kwenye Kazi yako???...shujaa alikuwa yule raia muhamiaji aliyemuokoa Mtoto aliyekuwa ananing'inia gorofani kule ufaransa...ndo maana rais wa France akamwita ikulu na kumpa uraia wa France na Kazi Kwenye kitengo cha uokoaji kama sijakosea...
Mtoto angekufa mngetoa lawama pia
Dah.... Kweli ubinadam kazi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao inayoonyesha askari wakimwokoa mtoto toka mikononi mwa mzazi wake aliyedhamilia kumdhuru.

Wanao onekana ni askari wengi, lakini kuna askari mmoja mwenye uthubutu aliyetumia weledi mkubwa kumrukia mtuhumiwa ndiyo nashauri mamlaka zimpandishe cheo.

Amefanya kazi kubwa ya kuokoa maisha ya mtoto aliyetakiwa kukatishwa maisha yake, .
Kwa kweli alijitoa mhanga, kama kazi yake inavyotaka

Mh. Rais atakuwa ameona tukio nzima, Kwa kweli askari wetu wanachapa kazi sana, hata wanao wabeza wanakosea sana
Kazi kuu ya askari ni kulinda raia na mali zake. Hivyo huyo askari ametimiza wajibu wake na malipo yake ni mshahara wa kila mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto angekufa mngetoa lawama pia
Dah.... Kweli ubinadam kazi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Unajua tunachopinga hapa ni exaggeration ya lile tukio..yaani linaonekana kama ni a very special rescue mission iliyofanikiwa sana ila kiujumla sikuona nia mbaya kwa yule Mtoto Kutoka kwa mzee wake..
 
Hata na Mimi nilishangaa sana maana walikuwepo askari zaidi ya watatu...INA maana walishindwa kumdhibiti yule bwana mpaka Jamaa akampiga na Kitako cha bunduki...tena kichwani...Je akienda kupimwa ikaonekana ameathirika kiakili kutokana na kile kitako cha bunduki hapa kesi itakuweje...maana tayari kuna tarifa kuwa yule bwana hakuwa sawa kichwani. Sasa hapo tutayofautishaje kati ya madhara ya kitako na madhara ambaye yalikuwepo tangia awali.
Kwahiyo kama ana shida ya akili wangemuacha tu mkuu? Askari alifanya anachotakiwa kufanya kwaajili ya kuwasaidia wenzake kumdhibiti mtuhumiwa,na hakuna sehemu atakapo shitakiwa.

macson
 
Umenisemea mkuu huwa najiuliza mimi niko mitandao gani maana huwa sioni chochote.
hebu tone hiyo clip...

mi naskiaga tu watu mkisema kuna clip zinasambaa sjui voice record ila kwakweli hazinifikiagi kbsa,nyie mnazipataje? ebu namm nifundshen chakufanya nisipitwe.

hiyo clip sijaiona mkuu,nifanyie wepesi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kama ana shida ya akili wangemuacha tu mkuu? Askari alifanya anachotakiwa kufanya kwaajili ya kuwasaidia wenzake kumdhibiti mtuhumiwa,na hakuna sehemu atakapo shitakiwa.

macson

Nimesema ingekuwa nchi za watu angeshtakiwa...hapa kwetu hawezi maana askari kupiga watu bila sababu ni kitu cha kawaida Kabisa...hata raid wenu huwa unasema RAIA walazwe chini..kwani MTU akiwa na shida ya akili ndo apigwe kitako cha bunduki kichwani.

Hivi askari watatu wenye mafunzo wanashibdwa kumdhibiti MTU Mmoja tena akiwa hana hata silaha halafu unasema eti alifanya vile ili kusaidia wenzake kumdhibiti??unachekesha Mkuu..hv unajua kuna kiasi cha nguvu askari anatakiwa kutumia anapomdhibiti mtuhumiwa ambaye hana silaha.. Kwa taarifa yako yule askari tumbo tumbo alitumia nguvu za ziada bila sababu ya Msingi...na yule Jamaa alikuwa ameshadhibitiwa hakukuwa na haja ya kumpiga kitako..
 
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao inayoonyesha askari wakimwokoa mtoto toka mikononi mwa mzazi wake aliyedhamilia kumdhuru.

Wanao onekana ni askari wengi, lakini kuna askari mmoja mwenye uthubutu aliyetumia weledi mkubwa kumrukia mtuhumiwa ndiyo nashauri mamlaka zimpandishe cheo.

Amefanya kazi kubwa ya kuokoa maisha ya mtoto aliyetakiwa kukatishwa maisha yake, .
Kwa kweli alijitoa mhanga, kama kazi yake inavyotaka

Mh. Rais atakuwa ameona tukio nzima, Kwa kweli askari wetu wanachapa kazi sana, hata wanao wabeza wanakosea sana
Tunaomba clip nasi ili tuongeze kumshawishi kiongozi
 
Unajua tunachopinga hapa ni exaggeration ya lile tukio..yaani linaonekana kama ni a very special rescue mission iliyofanikiwa sana ila kiujumla sikuona nia mbaya kwa yule Mtoto Kutoka kwa mzee wake..
Bila kutumia njia hyo wasingeweza kuwaokoa
Ile kumpiga kwa kitako cha bunduk ilikuwa kumtuliza..... Yule baba

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom