Na hiyo ndiyo shida yetu watanzania mkuu.Huyo Jamaa kanisikitisha sana alivyotoa hukumu ya moja kwa moja.
Na hiyo ndiyo shida yetu watanzania mkuu.Huyo Jamaa kanisikitisha sana alivyotoa hukumu ya moja kwa moja.
Na askari mwenzake anasema mpe kitasaHata na Mimi nilishangaa sana maana walikuwepo askari zaidi ya watatu...INA maana walishindwa kumdhibiti yule bwana mpaka Jamaa akampiga na Kitako cha bunduki...tena kichwani...Je akienda kupimwa ikaonekana ameathirika kiakili kutokana na kile kitako cha bunduki hapa kesi itakuweje...maana tayari kuna tarifa kuwa yule bwana hakuwa sawa kichwani. Sasa hapo tutayofautishaje kati ya madhara ya kitako na madhara ambaye yalikuwepo tangia awali.
hebu tone hiyo clip...
mi naskiaga tu watu mkisema kuna clip zinasambaa sjui voice record ila kwakweli hazinifikiagi kbsa,nyie mnazipataje? ebu namm nifundshen chakufanya nisipitwe.
hiyo clip sijaiona mkuu,nifanyie wepesi....
Angalia kuna uzi aliweka bwana mshana jr ndo ipo hiyo cliphebu tone hiyo clip...
mi naskiaga tu watu mkisema kuna clip zinasambaa sjui voice record ila kwakweli hazinifikiagi kbsa,nyie mnazipataje? ebu namm nifundshen chakufanya nisipitwe.
hiyo clip sijaiona mkuu,nifanyie wepesi....
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao inayoonyesha askari wakimwokoa mtoto toka mikononi mwa mzazi wake aliyedhamilia kumdhuru.
Wanao onekana ni askari wengi, lakini kuna askari mmoja mwenye uthubutu aliyetumia weledi mkubwa kumrukia mtuhumiwa ndiyo nashauri mamlaka zimpandishe cheo.
Amefanya kazi kubwa ya kuokoa maisha ya mtoto aliyetakiwa kukatishwa maisha yake, .
Kwa kweli alijitoa mhanga, kama kazi yake inavyotaka
Mh. Rais atakuwa ameona tukio nzima, Kwa kweli askari wetu wanachapa kazi sana, hata wanao wabeza wanakosea sana
kwa nini mzee na mtoto walikuwa uchi wa mnyama?
Na askari mwenzake anasema mpe kitasa
Mwendo wa Kick
Kwenye ile Clip mmoja wa waokoaji alikuwa anasisitiza apigwe picha
Alikuwa namfundisha kuogeleakwa nini mzee na mtoto walikuwa uchi wa mnyama?
sijakutaja jina mkuu acha kukurupukaUnaniuliza Mimi....Mkuu uko sawa kichwani???si kuna mamlaka zinazishughulikia hilo jambo???nadhani ndo watakuwa na majibu sahihi baada ya kumuhoji yule baba kwa nini walikuwa uchi wa mnyama na yule Mtoto.
kwa nini mzee na mtoto walikuwa uchi wa mnyama?
sijakutaja jina mkuu acha kukurupuka
hiyo ni tafsiri yakoWe kweli Kiazi...maana na ku-qoute/ku-reply comment yangu ninj...si ni kwamba uliniuliza mimi???acha ukiazi basi Mkuu???
Kuiba mabomba inahusiana vipi na kuwa uchi pamoja na mtoto mdogo!Jamani yule jamaa hakuwa ameenda kumuua motto bali alienda kuiba mabomba
Kwani alikuwa na hizo silaha mkononi au zilikutwa eneo la tukio mkuuBro kiki KWENYE MAUTI.YULE mwamba alikuwa na panga na msumeno alafu kichwani Kisha data dishi limepoteza muelekeo.
Anaweza akakuua.
Mimi niseme tu ukweli mtu akishika panga au kisu simsogelei.
Wamejitahidi na walikuwa kwenye mazingira magumu
Sent using Jamii Forums mobile app