Mh. Rais, mpandishe cheo askari huyu kwa uthubutu wake

Mh. Rais, mpandishe cheo askari huyu kwa uthubutu wake

Wametimiza wajibu wao kama askari na iyo ndio kazi yao na ndo maana wanalipwa mishahara kwa kazi ya usalama wa raia na mali zao na si kukamata wananchi ovyo na kubambikia kesi,tatizo wananchi tulishazoeshwa vibaya ya kuwa jeshi la polisi kazi yao ni kukamata ovyo na kupeana kesi sasa wanapotimiza majukumu yao halisi na yaliyo katika katiba tunafanya big deals.
 
Kuna vitu viwili hapo Kwanza polisi Ni idara si jeshi na Ni idara ambayo Ni most corrupt fitna nyingi huwezi fananisha na jeshi JWTZ mtu ambaye hata ukimpa promotion kesho kalewa madaraka anaanza vunja raia miguu kitaa!!
 
Hata na Mimi nilishangaa sana maana walikuwepo askari zaidi ya watatu...INA maana walishindwa kumdhibiti yule bwana mpaka Jamaa akampiga na Kitako cha bunduki...tena kichwani...Je akienda kupimwa ikaonekana ameathirika kiakili kutokana na kile kitako cha bunduki hapa kesi itakuweje...maana tayari kuna tarifa kuwa yule bwana hakuwa sawa kichwani. Sasa hapo tutayofautishaje kati ya madhara ya kitako na madhara ambaye yalikuwepo tangia awali.
Naomba ushahidni wa video tafadhari!!
 
hebu tone hiyo clip...

mi naskiaga tu watu mkisema kuna clip zinasambaa sjui voice record ila kwakweli hazinifikiagi kbsa,nyie mnazipataje? ebu namm nifundshen chakufanya nisipitwe.

hiyo clip sijaiona mkuu,nifanyie wepesi....
Kaangalie jukwaa la MMU post ya Mshana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba ushahidni wa video tafadhari!!


Tafadhari....Tafadhali

Mkuu kama huna connection hilo ni tatizo lako...wanaopata videos huwa ni wale wenye connection..kwa hyo kama unataka habari zisikupite...tengeneza connection Mkuu..
 
Mtafanya watu watengeneze matukio...ila serikali ingewapandisha vyeo askari wanaostahili kwa wakati..naona kama malalamiko yanazidi..tusije tukawa kama kwa majirani ambako vyombo vy dola vimeamua kufanya uhalifu..
 
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao inayoonyesha askari wakimwokoa mtoto toka mikononi mwa mzazi wake aliyedhamilia kumdhuru.

Wanao onekana ni askari wengi, lakini kuna askari mmoja mwenye uthubutu aliyetumia weledi mkubwa kumrukia mtuhumiwa ndiyo nashauri mamlaka zimpandishe cheo.

Amefanya kazi kubwa ya kuokoa maisha ya mtoto aliyetakiwa kukatishwa maisha yake, .
Kwa kweli alijitoa mhanga, kama kazi yake inavyotaka

Mh. Rais atakuwa ameona tukio nzima, Kwa kweli askari wetu wanachapa kazi sana, hata wanao wabeza wanakosea sana
Mi nadhan huu ujinga wa kila mtu akitekeleza majukumu yake ipasavyo basi lazima apewe fadhila ifike mahali ufe na utokomee kabisa maana ni ishara ya kulea taifa la watu wavivu na wasio jituma wenye malengo ya kutekeleza majukumu yao kwa kusubiri fadhira huu ujinga ufe na ukome kabisa
 
Promo hizo kwani wanalipwa mshahara kwaajili ya kazi gani mazee?
Ile kwa lile tukio ni ushujaa tosha,kwaiyo akipandishwa cheo inakuwa ni moja ya motisha kwake na pia itawafanya wenzake kupata morali pindi tukio jingine likija kutokea,
 
tuanaamini Rais wetu mpendwa Atampandisha cheo, Kwa maoni yako ungependekeza apewe cheo gani
 
Back
Top Bottom