ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,368
- 2,890
Wewe ukiwa kama Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, sisi Watanzania wenye nia njema na Nchi hii tunaomba umfikirie askari yule aliyekumbana na kadhia ya maneno ya kejeli toka kwa Adam Malima na kikundi chake, walau mpe hata " V " moja tu kwa ushupavu wake.
Askari wetu wamekuwa wakitulinda usiku na mchana lakini bado hatujawahi kutambua thamani yao, tumekuwa watu wa " kuwadhihaki " tu.
Maneno ya dharau na kejeli kama yale hayavumiliki kwa mtu tu wa kawaida, sembuse askari ambaye yupo katika majukumu yake. JPM mpandishe cheo askari yule kwa uvumilivu wake uliotukuka, vinginevyo mida hii kuna watu wangekuwa mochwari kwenye mafriji.
Ujumbe wangu natumai umefika.