Mh. Rais, mpandishe cheo askari huyu kwa uthubutu wake

Mh. Rais, mpandishe cheo askari huyu kwa uthubutu wake

Kama utampinga mtu kutokana na Jina lake.
Basi wewe ndo utakuwa hauna akili.
kati yako na polisi nani aliyekuwepo kwenye tukio?maelezo ya kamanda wa polisi wa morogoro ndo kasema alikuwa na panga na msumeno.
WEWE NI NANI mpaka UPINGE.?
PUNGUZA UJUAJI UTAKUWA NA AKILI.
Kweli uelewa wako unasadifu jina lako...pale kuna kina kirefu..umeona na panga na msumemo kwenye clip???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kutumia njia hyo wasingeweza kuwaokoa
Ile kumpiga kwa kitako cha bunduk ilikuwa kumtuliza..... Yule baba

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu narudia tena...umeona hyo clip...Mkuu wakati yule mzee anapigwa na kitako cha bunduki kuna watu watatu walishamdhibiti...huyo askari ndo akaja na bunduki akampiga kwa nyuma wakati mikono ya yule baba ilishadhibitiwa..na askari mwingine akiwa amemshika miguu anaelea juu ya maji...Sasa hapo kilikuwa na ulazima Gani wa kumpiga kitako cha kichwa..

Na zaidi ya hapo yule mzee alishapokonywa Mtoto na Mtoto alishatolewa Kwenye maji.
 
Sawa vizuri.
kamanda wa polisi wa morogoro amehojiwa na magazeti . akasema jamaa dishi limeyumba.,mkewe pia amehojiwa na magazeti akasema mumewe alianza kubadilika na kuongea maneno yasioeleweka,na rafiki yake alihojiwa nae akasema jamaa alianza KUCHANGANYIKIWA na kuongea maneno yasioeleweka.
pia kamanda amesema mtuhumiwa alikuwa na panga na msumeno wa kukata nondo.
Niliko magazeti hayapatikani kirahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama utampinga mtu kutokana na Jina lake.
Basi wewe ndo utakuwa hauna akili.
kati yako na polisi nani aliyekuwepo kwenye tukio?maelezo ya kamanda wa polisi wa morogoro ndo kasema alikuwa na panga na msumeno.
WEWE NI NANI mpaka UPINGE.?
PUNGUZA UJUAJI UTAKUWA NA AKILI.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu clip inayosambaa IPO clear Kabisa...na mimi sifuati Maelezo ya kamanda uchwara...naongea nilichokiona Kwenye bid clip..yule baba hakuwa na panga wala msumemo..kama hvo vitu vimepatikana Kwenye eneo la tukio sawa...ila Kwenye ile purukushani kati ya mzee na askari hakukuwa na panga wala msumemo unasema.
 
Sawa vizuri.
kamanda wa polisi wa morogoro amehojiwa na magazeti . akasema jamaa dishi limeyumba.,mkewe pia amehojiwa na magazeti akasema mumewe alianza kubadilika na kuongea maneno yasioeleweka,na rafiki yake alihojiwa nae akasema jamaa alianza KUCHANGANYIKIWA na kuongea maneno yasioeleweka.
pia kamanda amesema mtuhumiwa alikuwa na panga na msumeno wa kukata nondo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hayo yanakuthibitishia kuwa alitaka kumuua mwanae? tulipo si mbali sana na kulipotokea tukio na kinachosemwa huku ni mambo mengine ambayo hayawezi kuthibitisha unalosema wewe. Jeshi la polisi hawajatoa tamko rasmi la mahojiano na huyo mtuhumiwa. Ndio maana nimekwambia speculations zetu tuzihifadhi kidogo.
 
Mtu Mwenye mamlaka ya kuthibitisha kama mtu hayuko sawa kiakili (dishi limeyumba) ni daktari wa magonjwa ya akili pekee...sio kamanda wa Polish...mke wala Rafiki..hao wanajisemea tu kwa vile hawajui ila ninayemsikitikia zaidi ni huyo kamanda anayesema MTU kachanganyikiwa wakati haijathibitishwa na daktari...ile ndo makamanda Wetu uchwara hao..hawajui waongee nini kwa wakati Gani???
 
Polisi kama huyo unaweza kuta anakaa mwezi mzima kusubiri alipwe laki 270,000 kama 1/3 ya mshahara baad ya kukopa milioni 3 tu Equity bank.

Kwahyo, kuliko apandishwe cheo huyo mtu mmoja nakushauri mtoa post ufungue uzi kutuombea Polisi wote tuboreshewe maslahi, tuongezwe hata laki laki tu ili kupunguza hasira za ugumu wa maisha. Kinyume chake tutaendelea kuzimaliza hasira zetu kwenye maandamano ya CDM

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazingua mjuba.
 
Nna wasiwasi na wewe dish limeyumba.
Mvua mvua hizi.
Kwa heri.
Mtu Mwenye mamlaka ya kuthibitisha kama mtu hayuko sawa kiakili (dishi limeyumba) ni daktari wa magonjwa ya akili pekee...sio kamanda wa Polish...mke wala Rafiki..hao wanajisemea tu kwa vile hawajui ila ninayemsikitikia zaidi ni huyo kamanda anayesema MTU kachanganyikiwa wakati haijathibitishwa na daktari...ile ndo makamanda Wetu uchwara hao..hawajui waongee nini kwa wakati Gani???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umaonekana unaujua ukweli.
Ebu tuambie ukweli ni upi?
Kwa hiyo hayo yanakuthibitishia kuwa alitaka kumuua mwanae? tulipo si mbali sana na kulipotokea tukio na kinachosemwa huku ni mambo mengine ambayo hayawezi kuthibitisha unalosema wewe. Jeshi la polisi hawajatoa tamko rasmi la mahojiano na huyo mtuhumiwa. Ndio maana nimekwambia speculations zetu tuzihifadhi kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa pale kuna kipi cha ziada kilichofanyika MTU mwenyewe hakuwa na siraha yoyote, pili walichelewa kumdhibiti hivyo kama angekuwa na siraha angewazuru, yule alieruka hakuruka strategically alijitupa tu na mhalifu still alibaki analeta resistance hata wapokuwa zaidi ya watatu bado alikuwa akiwasumbua, ibesa mau,

Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze KUANDIKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilikuwa tu naona kama michezo ya kawaida ya kwenye maji kama coco beach na kwengineko,ingekuwa ni suala la kupandishwa cheo ungekuta wanapandishwa vyeo daily kwa jinsi wanavoipigania ccm
 
Back
Top Bottom