granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,640
- 10,650
Bro kiki KWENYE MAUTI.YULE mwamba alikuwa na panga na msumeno alafu kichwani Kisha data dishi limepoteza muelekeo.
Anaweza akakuua.
Mimi niseme tu ukweli mtu akishika panga au kisu simsogelei.
Wamejitahidi na walikuwa kwenye mazingira magumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha undezi basi...kuna sehemu Kwenye ile clip umeona msumemo na panga...??? Na Je kama msumemo ulikuwa kwa akili ya kukaa Mabomba Je mama kuna taarifa kuwa yule mdingi alikuwa anakata Mabomba...
Amadata???dishi limeyumba???imethibitishwa na daktari????