Mh. Rais, mpandishe cheo askari huyu kwa uthubutu wake

Mh. Rais, mpandishe cheo askari huyu kwa uthubutu wake

Si analipwa kutokana na ile kazi au. Ni kama vilaza wanaomsifia sifia jiwe wakt ile ni kazi na analipwa (beki hasifiwi)
 
Ni kazi yake, hata madocta wanakutana na vitu vya hatari na hawapandishwi vyeo, wengine hujichoma hata sindano na kuishia kunywa PEP.
Madereva barabarani, wanaokoa maisha ya wengi, na hawaongezewi mshahara.

Huko ulaya maaskari wanajitoa mhanga sana na hawapandishwi vyeo kwani ni kazi walioichagua.
 
Ile kwa lile tukio ni ushujaa tosha,kwaiyo akipandishwa cheo inakuwa ni moja ya motisha kwake na pia itawafanya wenzake kupata morali pindi tukio jingine likija kutokea,
Ingekuwa hivi wengine tungekuwa makamishna au major general kitambo tufanye kazi kwa nafasi zetu promo zitakuja tu
 
Nimesema ingekuwa nchi za watu angeshtakiwa...hapa kwetu hawezi maana askari kupiga watu bila sababu ni kitu cha kawaida Kabisa...hata raid wenu huwa unasema RAIA walazwe chini..kwani MTU akiwa na shida ya akili ndo apigwe kitako cha bunduki kichwani.

Hivi askari watatu wenye mafunzo wanashibdwa kumdhibiti MTU Mmoja tena akiwa hana hata silaha halafu unasema eti alifanya vile ili kusaidia wenzake kumdhibiti??unachekesha Mkuu..hv unajua kuna kiasi cha nguvu askari anatakiwa kutumia anapomdhibiti mtuhumiwa ambaye hana silaha.. Kwa taarifa yako yule askari tumbo tumbo alitumia nguvu za ziada bila sababu ya Msingi...na yule Jamaa alikuwa ameshadhibitiwa hakukuwa na haja ya kumpiga kitako..
Nguvu ya ziada unaipimaje mkuu wakati haujui mpinzani wako ana mafunzo kiasi gani? Anaweza akawa hana silaha ila ni komandoo,wewe ukiwa kama askari utajuaje mkuu ili upime nguvu ya kiasi?

macson
 
Nguvu ya ziada unaipimaje mkuu wakati haujui mpinzani wako ana mafunzo kiasi gani? Anaweza akawa hana silaha ila ni komandoo,wewe ukiwa kama askari utajuaje mkuu ili upime nguvu ya kiasi?

macson

Tatizo lako na wewe ndo walewale washamba wa kolomije...ulishawai pitia mafunzo ya jeshi lolote...kama ulishapitia unaweje ukajijibu hili swali lako la kijinga..
 
Tatizo lako na wewe ndo walewale washamba wa kolomije...ulishawai pitia mafunzo ya jeshi lolote...kama ulishapitia unaweje ukajijibu hili swali lako la kijinga..
Sawa mtaalam ila usidhanie kila aliepo humu hajui kitu,najua kwa kiasi changu,nimepitia hayo mafunzo walichokifanya askari ni sahihi kabisa. Sijui wewe umepitia jeshi gani lisilojua namna ya kujihami. Busara ungejibu swali sio kuanza lugha chafu.

macson
 
Back
Top Bottom