Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Kuna siku mwigulu atadundwa maana amezidi kuropoka!
Amemtukana mwiguru kuwa ni mpumbavu.
Hizi bange bwana.
Na kama spika asingemzuia Nchemba kutoa taarifa tungeshuhudua senema ingine maana Mwiguru si mchezo kwa maneno.
 
kama wewe unayesoma hapa unatumia akili yako uliyopewa na mungu japo kidogo, hivi ni nani mpuuzi kati ya watu waliokataa mitaala isijadiliwe bungeni na waliotaka ijadiliwa kwa kuwa ni mibovu na baada ya matokeo kutoka kuamuliwa kuundwa tume wakati waliitetea kuwa inafaa haina haja ya kujadiliwa bungeni.ILa hawo watu wajue tunawachagua sisi na sisi sio wajinga wa kuchagua watu wakatumie kodi zetu kutetea mambo yasio na maana kwakuwa wanalinda maslahi yao tutapambana 2015
 
Weak opposition wangekuwa wamesurrender...kama bado wanapambana hiyo ni strong opposition....
But inategemea na your own translation...nani kasema wanataka kupigana?
Kigwangala ndio kasema atapambana na CHADEMA...
Kama huna hela ya King'amuzi,nenda Lumumba kuna TV unatazama bure....

Inaonekana una king'amuzi lakini unashindwa na mimi maskini nisiekuwa nacho!. Mbona Ndesamburo alishasema mwezi uliopita kwamba mnzajiandaa kuzichapa bungeni!

Sasa wewe mwanachadema gani hata hufuatilii viongozi wako?

Hii show ya juzi ya CHADEMA ni maandalizi ya utekelezaji wa maagizo ya Ndesamburo ya kupigana bungeni.

What a shame!
 
semeni vyovyote vile ukweli unabaki palepale kuwa CCM kimechoka na hakitakiwi tena kupewa uongozi mkubwa wa nchi yetu,yamebaki kutuibia maliasili zetu tu majinga makubwa haya na sasa eti yanatangaza ugaidi tanzania wakati shule na walimu wao wako hoi ile mbaya.
 
Ameonesha uchungu mkubwa kwa nchi yake "mzalendo"

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Hahahahahahaha hakika!

kwa hiyo wamejipanga kutuonyesha sisi wahaya ni magaidi?! ama kweli wahaya tumefika hatua ya chini kabisa kudhalilishwa na watu wa ajabu ajabu ambao mpaka juzi wanakuja mjini waki-share nyumba na mifugo!
 
si ajabu sugu kulipuka, itakua si yeye ni bangi tu zimelipuka mkuu, zile alizokua akivuta kabla ya kupanda majukwaani na mlegezo

Mabwawa kama wewe hamhusiki ktk mapinduzi.Mapinduzi si lelemama,na wewe ni mama kwa kauli yako tu.Usijali..utakombolewa na wengine kwa faida yako na ya kizazi chako kiazi wewe.
 
Serikali pumbavu, serikali dhaifu wakiendelea na ubabaishaji wao tutasikia kauli kali na nzito kwa hii serikali
 
Kuna siku wabunge wa ccm tutawasubiri getini pale mjengoni tuwatie bakora hasa ----- mwigulu nchemba..
 
Back
Top Bottom