Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
Ili serikali iqualify kuitwa serikali pumbavu, ni lazma iwe na baadhi ya watu wapumbavu. Mwigulu anaqualify and so to his supporters. Sugu aliliongea hili suala akilink na suala la kupingwa kwa hoja ya Mbatia. Hivi kilichofanywa na wabunge wa CCM wakati Mbatia kaleta hoja binafsi ya kunusuru elimu ni nini hasa kama sio upumbavu???
Waziri Mkuu naye akaingia kwenye mtego wa kundi hilo la kina Mwigulu, tena kwake yeye ndo mbaya zaidi maana taarifa ya kufail kwa wananfunzi 2010 ipo ofisini mwake inagather dust, hoja ya Mbatia naye aliipuuza, then mwisho mambo yameenda kombo anaunda tume ya kufanya yale yale yalofanywa katika ripoti iliyopo ofisin mwake na anakubali yale yale yaliyopendekezwa na Mbatia akayakataa.
Huu ni upumbavu, hakuna jina zuri kwa matendo ya style hii hata kama utamtumia Profesa wa Lugha, naye ataishia kutaja neno hili hili kwa matendo ya aina hii. Tanzania inahitaji watu watendaji na sio wababaishaji na wapoteza muda. Waziri mkuu analeta ubabaishaji. Ripoti ipo ofisini inahitaji tu utekelezwaji wa ushauri uliotolewa na tume ya awali, kuunda tume mpya ni kutafuta kupoteza muda ili tusahau. Kama ilivyo katika masuala mengi sana mfano ripoti ya viwango duni vya majengo ya DSM. Hii report ipo imekaliwa, tunasubiri jengo lingine lianguke ili tuunde tume. Ni ubabaishaji tu na kulindana.
Suala la kesi ya ugaid ni kuwa limeshabackfire kwa Mwigulu, unahitaji kuwa mwendawazimu kudeny fact hii. Sasa hivi anatumia nguvu kushawish watanzania ambao wanaonyesha dhahiri kumpuuza kiongoz huyu kwa ushenz wake na siasa zake za kipumbavu. Dhuruma haiwezi ishinda haki. Tusubirie tu anguko la CCM maana inaonekana chama chenu kimekubaliana na propaganda za kihuni na kimeamua kutumia wahuni kunusuru chama. Sasa hivi Mwigulu kaachiwa mwenyewe anywe aliyoyakoroga na ndiomaana anapayuka km karogwa.
Na bado, hapo hajapanda kutoa ushahid wake mahakamani, asifikirie anavyoongea mtaani kwa jumla jumla hivi ndivyo atavyoongea mbele ya judge na mbele ya mawakili, pale ataongea anachoulizwa tu na huu upuuz anaoongea mtaani, atarudi nao bila kuulizwa mbele ya majudge, pale zinatakiwa facts tu, pumba na hisia atabak nazo. Lets wait and see jinsi mtu huyu atavyoprove upumbavu wake.