Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Sasa muhuni Kama sugu si Ainu kabisa kwa Watusi wa mbeya, huwezi Kuwa mbunge halafu utumie kodi kutukana bungeni....shame on u
 
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?

Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.

iinchi inaelekea pabaya....mambo ya bungeni yameshakuwa ni kujadili ccm na chadema
 
"Dear Guest, Welcome to the UAE.
Enjoy the best network coverage
and other unmatched services only
with Etisalat. Please use<+> or
<00>before the country code for
international calls. For directory services call 181, for availability of
GPRS, MMS 3G roaming services call
Etisalat Travellers help line 8002300
& for inquiries on Tourism,
entertainment, shopping, etc call
7000-1-7000(Roaming rates apply) Have a pleasant stay in the UAE."

Watu kama wewe kule kwetu Old Moshi ni wanywa dadii na banana. Kwasababu hata mtu unywe album/vitochi vya mbege vingi namna gani, huwezi kuwa na akili ya namna hii.

Unahitaji kuombewa misa ya wafu parokiani au kigangoni.
 
Ni kiongozi gani wa CHADEMA aliyewahi kujiwajibisha/kuwajibika? Unaifahamu elimu ya Mh. Mbowe?

elimu ya mbowe inalihusuje taifa?ukisema ivo je unaifaamu elimu ya jk?ya kawamwbwa?ya lukuvi?zooote si za wale wale???
 
Mimi si mtabiri lakini BUNGE HILI WATU WATAPIGANA AU KUTUKANANA MATUIS YA NGUONI KABISAAA,MTAMBUE KUWA BADO KUNA KIBAJAJ HAJAONGEA,BADO MDEE HAJAZUNGUMZA,BADO JJ MNYIKA,BADO SILINDE
 
Sugu my big brother at work!
Hata mimi nisingeweza kuzuia temper pale ninapokumbushwa mwenendo wa elimu ya nchi hii!
Liwalo na liwe!
 
Kweli kabisa dakika mbili za kutoa hasira!
Bunge linavoenda ndo sawasawa kabisa. Kama hupendi kamwambia spika aondoe hiyo ishu ya kuwapunguzia wapinzani nafasi za kuchangia. Nawashauri wabunge wangu wa CDM ukipata dakika zako tano, tatu toa hoja yako kwa makini, mbili maliza hasira zako.
 
Back
Top Bottom