sha makala acha ushabiki mwigulu kamshika nani pabaya wewe, we pumbavu usiye jua kufikili
hahaha,bunge la mwaka huu litakua tamu sana.kuanzia kesho tamthilia naweka pembeni ni bunge mwanzo mwisho.Kigwangala naye anachemka kishenzi...anasema kuwa serikali ispoacha upuuzi atachukua hatua mwenyewe...
Kwamba wanaandamana, wanaua watu na kung'oa kucha na meno...
Kama wataachwa yeye atahamasisha watu wa Nzega wawakamate na yeye atawashughulikia...
Amesema kuwa viongozi wote wa CHADEMA ni wapuuzi...
Na speaker hajaingilia kati...
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?
Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.
Kigwangala naye anachemka kishenzi...anasema kuwa serikali ispoacha upuuzi atachukua hatua mwenyewe...
Kwamba wanaandamana, wanaua watu na kung'oa kucha na meno...
Kama wataachwa yeye atahamasisha watu wa Nzega wawakamate na yeye atawashughulikia...
Amesema kuwa viongozi wote wa CHADEMA ni wapuuzi...
Na speaker hajaingilia kati...
Sishangai. Kwao, viongozi wote wa CDM ni wapuuzi isipokuwa yule aliyempa Nchemba mkanda wa Lwakatare.Kigwangala naye anachemka kishenzi...anasema kuwa serikali ispoacha upuuzi atachukua hatua mwenyewe...
Kwamba wanaandamana, wanaua watu na kung'oa kucha na meno...
Kama wataachwa yeye atahamasisha watu wa Nzega wawakamate na yeye atawashughulikia...
Amesema kuwa viongozi wote wa CHADEMA ni wapuuzi...
Na speaker hajaingilia kati...
Nashauri wabunge wetu wazitumie dakika 5 vizuri wasiwe emotional! Waachane na Mwigulu hana maana!
Nadhani ni 10, chamuhimu unagawa 2 za kwanza una mwaga ngonjera 6 una mwaka hoja, una maliza 2 za mwisho kwa kipondo.Nashauri wabunge wetu wazitumie dakika 5 vizuri wasiwe emotional! Waachane na Mwigulu hana maana!
anakwambia kwamba kazi ya usalama wa taifa imebakia kung'oa kucha na meno