Mh. Lowassa akifanya mazoezi mjini Dodoma

Mh. Lowassa akifanya mazoezi mjini Dodoma

Lowassa my ideal president, kuna watu wanachukia hata ukiwa na afya njema! Mzee wa maamuzi magumu.

Mkuu we tulia,wao siyo Mungu tuna Mungu mmoja tu.huu uzushi wote atawadhihirishia siku moja,ni suala la muda tu.nyota ilisalia ndani ya ccm ni lowassa tu.wengine wote vimeo
 
kuna thread hapa jf ikisema baba mzazi wa kigwangalah alalamikia kutelekezwa na mwanae. mchague uone kama hatojenga ikulu ndogo Switzerland maana kutelekeza kwake jadi.

Nasikia ana uraia pacha na anataka urais
 
watawahoji wangapi ? Kuna mwingine ametangaza nia jana pale kimboka buguruni na kutoa ofa za viroba kibao. Mwingine katangaza nia pale katikati ya kibo na mawenzi bar keko toroli. Sie twamjua ed tu

mwingine katangaza nia kwetu pazuri bar aka kpb pale tabata na walifunga bar bia nyama soda bure

nahisi ni msimu wa mavuno kwa walevu swala bar ipi yenye neema ...imagine buguruni wanapokuzarau watu wameanzia huko na vile vijitotot vidogo vinavyojiuza ukipata kura zao wakazunguka mji mzima kwa wenzao unakamata magogoni
 
mnanikumbusha zile tetesi kuwa mjomba ana ngoma. Lakini mbona tunaenda viziri tu!

sana tu nafikiri jumamosi kuna programme maalum kwa ajili ya lowassa tutaizindua
mwenye nia anaweza kusapport kwa mawazo tu sio fedha fedha zipo zingine tunagawa viko....
 
photo%2B2.JPG


Muheshimiwa Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa jimbo la Monduli akiwa anafanya mazoezi katika mitaa ya mji wa Dodoma asubuhi akifanya mazoezi kabla ya kwenda kuhudhuria vikao vya bunge maalumu la katiba vinavyoendelea mjini Dodoma.

photo%2B4.JPG
 
Usijekuta wenye kumshabikia huyu kibabu kuwa rais ni vijana wa chini ya miaka 40. Hivi hamjitambui na kujikubali kuwa mnaweza kwa kiwango cha chini namna hii? Mtaongoza lini ninyi? Wazee wa aina ya mamvi wanatakiwa kustaafu na kuwa washauri tu na si vinginevyo! Ni aibu vijana kumwandaa na kumpigia debe kibabu kuwa rais wao. But siwashangai sana kihivyo kwa njaa mliyo nayo. Simuoni hata kwenye 10 bora za ccm! Hivi asipokuwa rais mmepanga kitu gani mbadala ili kujiliwaza? Poleni kwa kutumika mithili ya toilet tissue!
 
Yaani mnahangaika mpaka nawaonea huruma.

Hangaikeni sana but ikulu ng'o
 
Hii nimeipenda...ni kuruhusu mwili uwe huru na effective, huyu yuko vizuri sana kuliiko sisi vijana na wale wa makamo...mazoezi hatuna kabisa, wacha nami nirejee nikate kilo hizi na kuondoa mafuta ya tumbo
 
Tehe tehe tehe hii comment imenifurahisha kweli hahaahah kwanini mkuu umesema hivyo?

Ha ha ha ha.......mpiga hiyo picha ungegeuza camera kwa nyuma kidogo tuone kama Hapakuwa na ambulance ikimfuata Mheshimiwa kwa nyuma ili hata likitokea lolote......si nasikia Kamanda hayupo full ngwamba kiafya......
 
Back
Top Bottom