Mh. Lowassa akifanya mazoezi mjini Dodoma

Mh. Lowassa akifanya mazoezi mjini Dodoma

Asubuhi ya leo kipenzi cha watanzania na mkombozi wao ameonekana akifanya mazoezi ambayo ni sehemu ya utamaduni wake wa kila siku,tafsiri nyepesi ni kwamba mh. Lowassa anapiga jaramba kwa ajili ya kuingia magogoni 2015 wale wenye roho za husda na kuzusha kaeni tayari kwa kimbunga.

attachment.php

cc: Bernard Membe, Samuel Sitta.
 
Huyu kiumbe akichukua nchi, viongozi wazembe na wapuuzi watafute kazi zingine haraka.
 
Ha ha ha ha.......mpiga hiyo picha ungegeuza camera kwa nyuma kidogo tuone kama Hapakuwa na ambulance ikimfuata Mheshimiwa kwa nyuma ili hata likitokea lolote......si nasikia Kamanda hayupo full ngwamba kiafya......

Kwani amekua kikwete awe anafuatwa na ambulance? Hata kama anaenda airport tu ambulance ninamfuata kwa nyuma sijui anaogopa kuanguka tena
 
Kwa mtu ambaye anakubalika haina haja ya kuja hapa jf na kusema kuwa ni kipenzi cha watu kwani watu wenyewe wasingekuwa na haja ya kuambiwa/kusemewa, lakini kinachoonekana sasa ni jitihada za kuwahadaa watz kuwa mamvi anafaa kuwa rais! nani kasema watanzania wanahitaji rais badala ya unafuu wa maisha? kashfa inayomkabili ni kuwaongezea mzigo wa tz kwa.
Mimi nasema hivi mpigieni debe tu hapa jf, maana naona ni multiple ID's tu zinajibizana! ila 2015 ndio itajulikana kuwa watanzania hawana shida na rais.
 
Kaka una wivu kama mke mwenza!hakunaga zaid ya Lowassa aka mzee wa maamuzi mazito
 
Kaka una wivu kama mke mwenza!hakunaga zaid ya Lowassa aka mzee wa maamuzi mazito

Yaani kukuonga ndio maamuzi mazito!! kweli mko wengi mnaohongwa! wewe kama ni mwanaume utakuwa si riziki maana mwanaume aliyekamilika hawezi kumsifia mwanaume mwenzake. Halafu acha kutumia multiple ID's.
 
Lowassa hana mpinzani, who doesn't know his powers..? Man of action, hard working, he is the COMING PRESIDENT... yaani CCM wakikosea kumweka mwingine WATAJUTIA KOSA KUBWA KTK HISTORIA YAO...2015 for LOWASSA...mtake msitake, tht is it..!!👍👊☝🏃👋
 
Back
Top Bottom