Mh. Lowassa akifanya mazoezi mjini Dodoma

Mh. Lowassa akifanya mazoezi mjini Dodoma

Ha ha ha ha.......mpiga hiyo picha ungegeuza camera kwa nyuma kidogo tuone kama Hapakuwa na ambulance ikimfuata Mheshimiwa kwa nyuma ili hata likitokea lolote......si nasikia Kamanda hayupo full ngwamba kiafya......

Wafitini ndo tafuteni uongo mwingine sasa
 
Akina kinana watatangaza kumfungia asifanye mazoezi
 
Unajua mtu ukiwa na afya njema hata fikra zako ni njema. Hongera yake mzee wa Monduli, siyo wengine kukaa vikiweni kunywa kahawa na mijungu tu.
 
Naye ataanza muda sio mrefu

Sasa itabidi..Dr Slaa Kina Wassira ,na Pinda nao tuone fitness Yao ..Nadhani Pinda since was former spy atakuwa anajuwa ABC Za mazoezi na judo etc ( Lowassa ni former army captain ) ......
Can't wait to see Wassira akila jaramba
 
Anatetemeka kweli hapo gari inamfata kwa nyuma any time anaanguka.
 
Back
Top Bottom