Mh. Lowassa akifanya mazoezi mjini Dodoma

Asubuhi ya leo kipenzi cha watanzania na mkombozi wao ameonekana akifanya mazoezi ambayo ni sehemu ya utamaduni wake wa kila siku,tafsiri nyepesi ni kwamba mh. Lowassa anapiga jaramba kwa ajili ya kuingia magogoni 2015 wale wenye roho za husda na kuzusha kaeni tayari kwa kimbunga.

attachment.php

Kipenzi cha Watanzania !!!!!!?????? Mbona mimi ni Mtanzania halisi, na huyo siyo kipenzi changu? Sema kipenzi chako!!!!
 
Asubuhi ya leo kipenzi cha watanzania na mkombozi wao ameonekana akifanya mazoezi ambayo ni sehemu ya utamaduni wake wa kila siku,tafsiri nyepesi ni kwamba mh. Lowassa anapiga jaramba kwa ajili ya kuingia magogoni 2015 wale wenye roho za husda na kuzusha kaeni tayari kwa kimbunga.

attachment.php

Kati yake "white hair" na mkulu wa kaya , nani anapiga jaramba la kufa mtu ukiwatizama.
 
Attachments

  • ti4.jpg
    ti4.jpg
    36.2 KB · Views: 895
  • ti3.jpg
    ti3.jpg
    46.4 KB · Views: 901
Hongera Edward. Hot lady yuko wapi aliyemzushia edward ugonjwa. Aagaliye ya Mungu ni mengi huwezi kujua ya kesho!
 
Matatizo ya kiafya ya Edward Lowassa na Dr Wilbrod Slaa yanafanana.
 
Asubuhi ya leo kipenzi cha watanzania na mkombozi wao ameonekana akifanya mazoezi ambayo ni sehemu ya utamaduni wake wa kila siku,tafsiri nyepesi ni kwamba mh. Lowassa anapiga jaramba kwa ajili ya kuingia magogoni 2015 wale wenye roho za husda na kuzusha kaeni tayari kwa kimbunga.

attachment.php

umenifurahisha sana leo
 
Ha ha ha ha.......mpiga hiyo picha ungegeuza camera kwa nyuma kidogo tuone kama Hapakuwa na ambulance ikimfuata Mheshimiwa kwa nyuma ili hata likitokea lolote......si nasikia Kamanda hayupo full ngwamba kiafya......

Kwani nani kakwambia lowassa anaanguka hovyo kama baba mwanaasha??
 
kaz ipoooooo hayaaaa twende kaz prezdaaa,,,mtamkubal tu
 
Ha ha ha ha.......mpiga hiyo picha ungegeuza camera kwa nyuma kidogo tuone kama Hapakuwa na ambulance ikimfuata Mheshimiwa kwa nyuma ili hata likitokea lolote......si nasikia Kamanda hayupo full ngwamba kiafya......
stroke siyo mzuri ...................inachukua muda kutoka..........
 
Back
Top Bottom