Mh. Lowassa akifanya mazoezi mjini Dodoma

Mh. Lowassa akifanya mazoezi mjini Dodoma

MWAMBIE AENDE GYM

th
th
th
 
Ndio maandalizi ya kwenda ikulu yanafanyika hivyo??
 
Kipenzi cha Watanzania !!!!!!?????? Mbona mimi ni Mtanzania halisi, na huyo siyo kipenzi changu? Sema kipenzi chako!!!!

We kipenzi chako ni Sitta? Kashabugi huyo, kaingizwa cha kike!
 
pumbavu sana wewe.kipenzi cha nani fisadi huyo. nchi aiwezi kuongozwa tena na wezi hii
 
Ukitaka kujua aina ya watu na uwezo wao wa akili pima michango ya mawazo yao. Hapa naona kama Simba ,Yanga na Okwi. Toeni maelezo yanayoeleweka. Kwa lipi ? Fedha mnazopewa au ? Mtakula siku ngapi za kupewa ? Kumbukeni" ..
.amelaaniwa amtumainiye mwanadamu..
"
 
Shida yako ni wivu tu,kama mkeo,hilo tu huna tatizo lingine na kwa bahati mbaya wivu hauna matibabu
 
Back
Top Bottom