Mh. Lowassa akifanya mazoezi mjini Dodoma

Mh. Lowassa akifanya mazoezi mjini Dodoma

Asubuhi ya leo kipenzi cha watanzania na mkombozi wao ameonekana akifanya mazoezi ambayo ni sehemu ya utamaduni wake wa kila siku,tafsiri nyepesi ni kwamba mh. Lowassa anapiga jaramba kwa ajili ya kuingia magogoni 2015 wale wenye roho za husda na kuzusha kaeni tayari kwa kimbunga.

attachment.php



Mshauri atengeneze video(15min clip akikimbia) maana hiyo picha kila mtu anaweza ,hata aliyetoka MOI.
 
hii picha ni ya mwaka gani? mbona tunadanganyana?tunamuomba akatoe hotuba uwanjani kwny mkutano kama hamjampeleka mochwari
 
Usijekuta wenye kumshabikia huyu kibabu kuwa rais ni vijana wa chini ya miaka 40. Hivi hamjitambui na kujikubali kuwa mnaweza kwa kiwango cha chini namna hii? Mtaongoza lini ninyi? Wazee wa aina ya mamvi wanatakiwa kustaafu na kuwa washauri tu na si vinginevyo! Ni aibu vijana kumwandaa na kumpigia debe kibabu kuwa rais wao. But siwashangai sana kihivyo kwa njaa mliyo nayo. Simuoni hata kwenye 10 bora za ccm! Hivi asipokuwa rais mmepanga kitu gani mbadala ili kujiliwaza? Poleni kwa kutumika mithili ya toilet tissue!

Naona hapo juu ulitaka kuchange id ukajikuta umerudia id ile ile fasta ukafuta.mwaka huu lowassa atawabemenda na bado mtaona mziki wa masai
 
Kamua baba! kamua baba! kamua baba usitumie hirizi! kamua..... Juma Nature bwana ana akili sana.

My role Model in winning strategies in all walks of life
 
RAISI WANGU LOWASA NO COMENT 2015:llama::flame::ban::rockon::welcome::juggle::yield::director::lock1::bump2::violin::majani7::A S-confused1:
 
Kati yake "white hair" na mkulu wa kaya , nani anapiga jaramba la kufa mtu ukiwatizama.

Hawa wote magamba ni wasanii tu hakuna jalamba lolote hapo ni ubishoo tu!! Jalamba analipiga mnyamwezi Lipumba usipime!!!
 
RAISI WANGU LOWASA NO COMENT 2015:llama::flame::ban::rockon::welcome::juggle::yield::director::lock1::bump2::violin::majani7::A S-confused1:

Babuuu mbona umejaza wadudu..? ndo unamshangilia lowassa wakati nape yupo pale juu anamsubiri wamfyekelee mbali
 
Babuuu mbona umejaza wadudu..? ndo unamshangilia lowassa wakati nape yupo pale juu anamsubiri wamfyekelee mbali

Wataanzia wap?Labda kama hawaipendi hyo Ccm yao!na ikishindikana kabsa tunakuja kwa mgombea binafsi sijui watatoroka nchi?
 
@Nape umeona tizi hili?? kaa tayari - ngoma ya kikubwa ndo inapiga hodi Lumumba ivoo!!! Zile siku ulizozitoaga zinaweza kukugeukia!!

attachment.php
 
babuuu mbona umejaza wadudu..? Ndo unamshangilia lowassa wakati nape yupo pale juu anamsubiri wamfyekelee mbali

nape uyo maskini wakutupwa, atuwataki watangaza njaaaaa tunamtaka yeye tu lowasa.....tanazania twataka amani na mtu mwenye maaamuzi yake yeye kama yeye,
 
Back
Top Bottom