nanchi
Member
- Jan 29, 2012
- 66
- 7
Ndugu zangu watanzania wenzangu,bila kujali dini zetu,makabila,na hata vyama tunavyo toka.nimesoma na kusikiliza hotuba ya huyu mbunge lusinde wa ccm kwa sasa watu walio wengi wanakiita chama cha matusi,imenisikitisha.
Kwa wale wanaomfahamu vizuri hebu tuwekeeni hapa historia yake tangu utotoni,alilelewa na nani?ni wazazi wote wawili baba na mama,babu,bibi,wajomba,mashangazi au alizaliwa na kutelekezwa stand na kupata malezi ya mateja?
Au anataka kutuambia ametumwa na viongozi wake wa kitaifa kutukana watu wazima wenye busara na wanaoheshimika na kuaminiwa na watanzania walio wengi.
Au tuseme ni dalili za ccm kufa?ninawaomba katibu mkuu wa chadema dr slaa,mwenyekiti wa taifa na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni lisiishie hapa,na tunataka kupata taarifa kila hatua ulioifikia kuhusu hili na watanzania wenzenu tupo nyuma.
Watanzania hatupo hivyo na viongozi wa ccm tunaomba kauli yenu kwani ndio chama kinacho tuongoza hivi leo,na kama tunaongozwa na watu WAHUNI basi tujue tuchukue tahadhari mapema.naomba kuwasilisha wakuu.