Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,708
- 4,576
Lofa @ work.Nani anazusha? Nyani wewe! Kwani hukusikia kuwa Kinana alikuwa Ngonjwa na Ametumwa India kwa Matibabu? Kwani kuulizia hali ya Mgonjwa au Kushangaa mbona hatuoni akitembelewa kama wengine Kuna Uchama Gani? Hata Bashite akipotea ghafla na wakasema ni Mgonjwa tukiulizia ni kosa? Kwani Vyama vinazika Ubinadamu? We Nyani wewe! We Nyani acha hizo vitu.
