TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,815
- Thread starter
- #41
Swali Zuri Kabisa, Mimi sina Chama, Chama Chochote Kikisimamia Uhuru na Haki, Rais wa Chama Chochote akichaguliwa Kihalali, akaongoza kwa haki, akajali sheria, akasimamia katiba bila kupinda akajali utawala wa sheria na asiwe na hila, Sitajali ni Mmasai au Myamwezi, Mmakonde au Mgogo, Mwislamu au Mkristo Ukawa au CCM Mzawa au Mhindi au Mwarabu, Nitamheshimu nitamuunga Mkono na Nikisema lolote dhidi yake Mungu anilaani. Ila Kinyume na hapo hata Akiwa Baba yangu Mzazi au Kaka yangu baba mmoja baba mmoja, Nitampinga! I hate Injustice with all my Veins, na Injustice hata Ukimfanyia ambaye unadhani anastahili kibinadamu bado ni uovu!Kwani aliyeleta mada ni Mtu wa Chadema?, how do you know that?

