"Mgonjwa" wetu Kinana Mbona hatembelewi kama wengine?

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Pengo akiwa Muhimbili alitembelewa
Mke+wa+MAGU.jpg

Akatembelewa Pia Nyumbani Wake

maxresdefault.jpg

Sumaye naye alitembelewa

MAG1-615x300.jpg

Bi Simba alitembelewa

gu2.jpg

Ndugai alitembelewa hadi nyumbani

maxresdefault.jpg

Na wengine Wengi, who knows hata Faru Fausta anatembelewa.

hhh.png

sasa huyu Mh. Kinana aliyetumwa India Kutibiwa kwa siku 14 na kupewa likizo baada ya Kurudi, mbona hatuoni akitembelewa na Yeyote hata kama Mh Rais Yule busy, hata Mama Samia! Au huyu Dogo mchonga mdomo, Polepole? Au anatembelewa Kisiri kama mtu aliyetupwa Evil Forest kwa Mila za Wayoruba?
 
Hahaaaa....hakika sasa nimeamini hapa Tanzania hakuna vyama vya upinzani.

Watu wote ni wanaCCM na baadhi yao ni wanaCCM bila hata kujijua!

Ndo maana wanajali yanayojiri ndani ya CCM [yawe ya kweli au ya kizushi].
 
Mkuu yuko jela ya uraiani kisa kamkosoa ShilawaDU.

Pengo akiwa Muhimbili alitembelewa
Mke+wa+MAGU.jpg

Akatembelewa Pia Nyumbani Wake

maxresdefault.jpg

Sumaye naye alitembelewa

MAG1-615x300.jpg

Bi Simba alitembelewa

gu2.jpg

Ndugai alitembelewa hadi nyumbani

maxresdefault.jpg

Na wengine Wengi, who knows hata Faru Fausta anatembelewa.

hhh.png

sasa huyuMh. Kinana aliyetumwa India Kutibiwa kwa siku 14 na kuoewa likizo baada ya Kurudi, mbona hatuoni akitembelewa na Yeyote hata kama Mh Rais Yule busy, hata Mama Samia! Au hudu Dogo mchonga mdomo Polepole? Au anatembelewa Kisiri kama mtu aliyetupwa Evil Forest kwa Mila za Wayoruba?
 
"Mchonga mdomo polepole"
 
Hahaaaa....hakika sasa nimeamini hapa Tanzania hakuna vyama vya upinzani.

Watu wote ni wanaCCM na baadhi yao ni wanaCCM bila hata kujijua!

Ndo maana wanajali yanayojiri ndani ya CCM [yawe ya kweli au ya kizushi].

Nani anazusha? Nyani wewe! Kwani hukusikia kuwa Kinana alikuwa Ngonjwa na Ametumwa India kwa Matibabu? Kwani kuulizia hali ya Mgonjwa au Kushangaa mbona hatuoni akitembelewa kama wengine Kuna Uchama Gani? Hata Bashite akipotea ghafla na wakasema ni Mgonjwa tukiulizia ni kosa? Kwani Vyama vinazika Ubinadamu? We Nyani wewe! We Nyani acha hizo vitu.
 
Picha ya ShilawaDU kwenda kumpa pole Kinana KAMWE haitakuwepo.
 
Nani anazusha wewe Nyani wewe hukusikia kuwa Kinana alikuwa Ngonjwa na Ametumwa India kwa Matibabu?

Kuna sehemu niliposema kimahsusi kuwa habari za kuumwa Kinana ni uzushi?

Au umesoma na hujaelewa ulichokisoma?

Kwani kuulizia hali ya Mgonjwa au Kushangaa mbona hatuoni akitembelewa kama wengine Kuna Uchama Gani?

Ndiyo, uchama upo.

CHADEMA si chama cha upinzani. Ni chama sindikizaji. CCM ikiwa na tatizo CHADEMA wanasikitika na kujali.

Hao si wapinzani. Ni walewale sema tu wao ni B-side....

Hata Bashite akipotea ghafla na wakasema ni Mgonjwa tukiulizia ni kosa?

Hakuna aliyesema ni kosa! Mambo ya kama ni makosa au la unayaumba akilini mwako tu.

Kwani Vyama vinazika Ubinadamu?

Sioni uhusiano wowote kati ya vyama...maziko...na ubinadamu!

We Nyani wewe! We Nyani acha hizo vitu.

Unapenda kulitajataja jina langu eeh...angalia nisije kukutokea ndotoni siku moja!
 
Mtu akiwa mahabusu ya uraiani huwa anatembelewa na viongoz wa serikali
 
Hahaaaa....hakika sasa nimeamini hapa Tanzania hakuna vyama vya upinzani.

Watu wote ni wanaCCM na baadhi yao ni wanaCCM bila hata kujijua!

Ndo maana wanajali yanayojiri ndani ya CCM [yawe ya kweli au ya kizushi].
Siyo kila jambo ndani ya CCM linapewa umuhimu na kila mtu. Ni lile tu lililo lililotoa tension kwa watu kama hili la kinana, maan taarifa zilitolewa kuwa ataongea na wanahabari wakati ule Nape anatumbuliwa, hakuonekana, uvumi ukaenea kuwa kazuiliwa nyumbani na wale jamaa. Mkuu wa kaya akasema kamtuma mahali kutibiwa, sasa watu wanauliza kama ni mgonjwa mbona hakuna anaye mjali? Au huo ugonjwa ni changa la macho? Kwahiyo wewe unaongea as if hujui chochote.
 
Hahaaaa....hakika sasa nimeamini hapa Tanzania hakuna vyama vya upinzani.

Watu wote ni wanaCCM na baadhi yao ni wanaCCM bila hata kujijua!

Ndo maana wanajali yanayojiri ndani ya CCM [yawe ya kweli au ya kizushi].

Unakuta watu kama huyo anakuwa Tegemezi ndani ya Cdm hahaha
 
Siyo kila jambo ndani ya CCM linapewa umuhimu na kila mtu. Ni lile tu lililo lililotoa tension kwa watu kama hili la kinana, maan taarifa zilitolewa kuwa ataongea na wanahabari wakati ule Nape anatumbuliwa, hakuonekana, uvumi ukaenea kuwa kazuiliwa nyumbani na wale jamaa. Mkuu wa kaya akasema kamtuma mahali kutibiwa,

That is first grade gibberish!

sasa watu wanauliza kama ni mgonjwa mbona hakuna anaye mjali?

Wewe na wenzako mmejuaje hakuna anayemjali?

Kwani kumjali ni lazima kuwe na photo-op?

Akili za kinyumbu bana.....

Au huo ugonjwa ni changa la macho?

Ugonjwa na suala binafsi.

Kwahiyo wewe unaongea as if hujui chochote.

Wewe unajua nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom