Teh teh teh!! Hawa Big Bon unawajua mkuu! Hawa jamaa wanapesa siku nyingi kabla ata JK hajawa RaisNingeshangaa sana kama Riziwani na yeye angegoma kuuza mafuta.
Haziitwi SHELL ila filling stations. Shell ni kampuni ya mafuta kama zilivyo BP, TOTAL etc
Teh teh teh!! Hawa Big Bon unawajua mkuu! Hawa jamaa wanapesa siku nyingi kabla ata JK hajawa Rais
Kumbe ni ya ridhiwani!!Ningeshangaa sana kama Riziwani na yeye angegoma kuuza mafuta.
Mamlaka ya serikali iliyoanzishwa kisheria inatishiwa na wafanyabiashara na inanywea na kuwasikiliza. Kweli hatuna serikali hapa
hivi unapost uongo kwa faida ya nani hapa mjini dar vituo vya mafuta vimefungwaMie nimepita Agip za mafuta zote nimeona watu wanauziwa kama kawa inategemea mdau anaishi wapi mfano wa Agip ya Camel Keko leo asubuhi walikuwa wanakamua kama kawa ile agip ya oilcom pale kwenye makutano ya nyerere rd na kawawa walikuwa wanapiga mzigo kama kawa BP movenpick ni baadhi tu ya Agip za mafuta nilizoziona ukifuata maneno ya watu na magazeti ya kibongo utaona tatizo ni kubwa sana kumbe linakuzwa tu!
Usanii.
Ikiwa kuna baadhi ya vituo vimegoma basi wanayo haki kwani serikali haiwezi kuwapangia bei bila ya kuwapunguzia kodi! huu ni usanii!
hivi unapost uongo kwa faida ya nani hapa mjini dar vituo vya mafuta vimefungwa
Wadau jana nikiwa natoka kazini nilipita sheli zote mpaka maeneo ya kwangu kwenye kiota bilabila hakuna petroli na kulikuwa na deasel kwa baadhi tu sijui hali ikoje asubuhi hii maana sijatoka bado na kimkebe changu cha mkopo hakina kitu najipanga kudandia dala dala mda si mrefu
Basi labda wanabagua watu wa kuwauzia mafuta kwani mkienda vituoni mnaenda na magwanda? mbona mnagubu sana nyie watu? tuma mtu Camel oil Keko au Oil Com ya Nyerere rd na Kawawa kama hajakununulia mafuta!
Sijasema hakuna vilivyogoma ila nimesema vipo ambavyo vipo wazi !
Godwine,amini usiamini serikali haiwezi kufanya kitu kwa hawa watu wa Asia na waaarabu.Uchumi wa Tanzania unashikiliwa na hawa watu na watanzania hawaelewi chotechote kwasababu wangejua wasingweza kuruhusu.Hapa wanaserikali yao,bunge lao na kama usemavyo walikutana Royal Palm na Kitakachoamriwa hapo ndicho kitakachofuatwa.Watanzania tutasema yote kwa kukubali to be colonised by Foreigners
Wadau jana nikiwa natoka kazini nilipita sheli zote mpaka maeneo ya kwangu kwenye kiota bilabila hakuna petroli na kulikuwa na deasel kwa baadhi tu sijui hali ikoje asubuhi hii maana sijatoka bado na kimkebe changu cha mkopo hakina kitu najipanga kudandia dala dala mda si mrefu
Wafanyabiashara wanayo haki kwa kuwa serikali haiwezi kupunguza bei ya mafuta ila linawezekana kwa kupunguza kodi na hili halihitaji uwe na degree ya uchumi ulielewe mkuu. Kesho CDM tunayoishabikia ikichukua madaraka haiwezi kuwaambia wamiliki wa viwanda vya saruji wauze cement mfuko shs 5000/= wakatili costing zikia ni juu ya bei hiyo madhalani ushuru unaokusanywa kwenye saruji na serikali ni shs 7000/= halafu unawaambia wanaozalisha wauze shs 5000/= bila kuwaondolea ushuru wakigoma kufanya production tutasema hatuna serikali kwa kuwa wenye viwanda wamekataa kutii agizo la serikali? Fikirieni kitanzania na sio kichadema.