Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Hao Intern hawana akili kabisa, au njaa imeyeyusha ubongo wao. Kwani walivyoshawishiwa na MAT, hawakufikiria kabla ya kujiunga? Sasa kama wanajuta, how about the lives of innocent people who are died during huo mgomo wanaojutia? Kama wamesalitiana, M/Mungu atawahukumu kwa mazambi yenu.