MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
unacheza na njaa ya mtaani wamekumbuka fedha waliokataa kuwa ni ujira mdogo.... maneno mengi ya kuomba msamaha lakini sababu kuu ni hiyo.
Kwa hiyo wanataka na Nyoni, Nkya na Mponda warudi kwenye nafasi zao?
malizia na J.Ngoja niende makitaba ntarudi baadae...lazma kuna chama nyuma ya hii kama kivuli, CC.........?????nakuja
unacheza na njaa ya mtaani wamekumbuka fedha waliokataa kuwa ni ujira mdogo.... maneno mengi ya kuomba msamaha lakini sababu kuu ni hiyo.
Hakuna mtu asiyeaminika kama mtanzania. umasikini ni kitu kibaya sana. mwingine atauza hadi utu wake
Inanikumbusha siasa za udsm kutoa matamko afu kesho yake umoja wa vyuo vikuu TAHLISO unakuja na tamko lake kubatilisha maazimio ya udsm.
Nakubaliana na wewe kabisa kwa uzalendo huo huo basi hakuna haja ya kuanzisha migomo na usipopata mshahara piga kazi tuu ukisubiri kuliko kuitisha mgomo ambao unatueleza objective zako za mgomo then unarudi kupiga magoti kuomba ulikosea means ulikurupuka kugoma na hii inatoana na akili ndogo ambayo ndio hiyo inaua wagonjwa!Daktari mwenye akili sawa na weledi alipaswa asome objective za mgomo ajiridhishe ndio agome sio kugoma leo kesho umerudi kupiga magoti kwa mwajiri!
gamba limemwaga mihela na kuwachota 160!ha ha hasi mmesaini wote 160 na kuomba radhi, endeleeni kuangukia magamba mtawaliwe milele au wote 160 ni makada?